Unaandika "watu wote", halafu nakuuliza "wote ni wangapi?", halafu unaruka kujibu swali?
Nataka kuonyesha ya kuwa kujua idadi si wajibu wala hakubatilishi ukweli,hivi kutokujua idadi kutabadilisha nini katika suala la jua kuwa liko juu ?
Hii wote sio lazima ifungamane na idadi,hii halihitaji akili kubwa,ndio maana nika maizi wote wenye akili timamu,kwahiyo idadi kujua si lazima na hakubadilishi maana.
Nakariri tena na tena uwe unahoji mambo baada ya kufikiri.