Chivundu Platinum Member Joined Dec 17, 2012 Posts 13,058 Reaction score 26,209 Jun 1, 2026 #121 min -me said: Kumbe wewe mzaramo bwashee Click to expand... Ni mfano tuu mkuu. π
Mrs Van JF-Expert Member Joined Mar 9, 2016 Posts 7,805 Reaction score 17,917 Jun 1, 2026 #122 min -me said: Huyo mtoto ni mkali kinouma , hata live ukibahatika muona bado ni wa moto Click to expand... Aaah wapi. Macho yako hayaoni vizuri
min -me said: Huyo mtoto ni mkali kinouma , hata live ukibahatika muona bado ni wa moto Click to expand... Aaah wapi. Macho yako hayaoni vizuri
M O N S T E R JF-Expert Member Joined Sep 26, 2022 Posts 8,317 Reaction score 19,672 Jun 1, 2026 #123 Yoda said: Katika celebrities wanawake sijui kama kuna mzuri kuliko Dua Lipa, ameukonga sana moyo wangu, nimesikitika sasa ameolewa. View attachment 3599071 View attachment 3599072 View attachment 3599073 View attachment 3599074 Click to expand... Kwanini umezubaa mpaka akaolewa? Wahenga walinena "cheleachelea utakuta mwana si wako" ndiyo hayo sasa. Vipi kuhusu kumshawishi adai talaka au atoe talaka uchukue ngoma uiweke kibindoni.
Yoda said: Katika celebrities wanawake sijui kama kuna mzuri kuliko Dua Lipa, ameukonga sana moyo wangu, nimesikitika sasa ameolewa. View attachment 3599071 View attachment 3599072 View attachment 3599073 View attachment 3599074 Click to expand... Kwanini umezubaa mpaka akaolewa? Wahenga walinena "cheleachelea utakuta mwana si wako" ndiyo hayo sasa. Vipi kuhusu kumshawishi adai talaka au atoe talaka uchukue ngoma uiweke kibindoni.
Angel Nylon JF-Expert Member Joined Jul 26, 2011 Posts 10,660 Reaction score 23,140 Jun 1, 2026 #124 Leo ndio nimeona video ya huu Wimbo wa Diamond, simba kamtoa wapi huyu mrembo? Naona amefanana na huyo Dua
Leo ndio nimeona video ya huu Wimbo wa Diamond, simba kamtoa wapi huyu mrembo? Naona amefanana na huyo Dua