DSTV yalamba hasara ya bilioni 122, gharama za vifurushi zawakimbizia wateja 486,000

Voda mi nilisajili Router ya 5G ni unyama sana speed ya 50Mbps. Kwa kuanza unalipa deposit ya 300,000 kisha unafunguliwa data mwezi mzima. Upon renewal unalipia laki na nusu kila mwezi kwa muendelezo. Ila nzuri sana hata kwa wale wenye ma smart TVs zinaweza kuwa na uhai kupitia hizo routers.
Hiyo router ya 5G inaweza kupiga kazi sehemu ambayo 5G haijafika kama huku nje ya mji?
 
AFCON nayo wameshindwaa kuonyeshaaa yani washakuwaa mbwaa hawaa...Azam akiweza kuonesha EPL aiseee dstv anazikwaaa akiwa haiii maana hata hizo channel za movie ni ushuzi mtupuuu unalipa elfu 60 channel ya movie kila siku ni hizo hizooo yani EPL ikija azam nahama jumlaaa.
 
Hizo sababu za kupoteza wateja ni uongo wameogopa wakiongea ukweli, watu watataka kujua zaidi kuhusu huo ukweli. Ni hivi, teknolojia imesababisha wao kupoteza wateja kwa namna zifuatazo
  1. Watu wanatumia smarttv kustream mechi, japo TV nyingi zinakuja na lock kwenye playstore ili usidownload apk muhimu. Ukipakua apk mfano yaccine ukiweka kwenye flash mbona unainstall vizuri tu, na bila kuilipia apk ni wewe na bando tu.
  2. Fiber na wifi za maofisini
    Watu wanatumia hizo kutazama wakitakacho kwa bei nafuu. Mfano fiber unakuta kwa mwezi ni elfu 70-80, Dstv lazima iwe kampuni.
  3. Ving'amuzi vyenye kurusha mpira, movies sawa na wao vyenye bei nafuu ni vingi. Mfano canal + elf 40-45 mtu anaona epl, uefa, laliga, bundas (DStv hana), ligue 1( Dstv hana), pia bein media wana malipo mazuri kuliko DStv iliyo chini ya makaburu,na makaburu anapenda faida kupindukia,lazima apigwe chini
  4. Vipokezi visivyo rasmi, hii ndio nafuu mnooooo, mfano watu duniani wanatumia kama starsat, ghost, freesat, mediastar na tiger

    Ingia Google mtaona hata utendaji kazi, mfano kuna kulipia mwaka mzima elfu 35-38 na unafungua canal chanel zozote, Dstv, bein kwa ujinga utalipa Dstv mwaka milion na zaidi kweli?

    Pia mtu anatumia Tsh 500 / mia tano kustream mechi, movies documentary nk kwa mwezi mfano mechi dkk 90 anatumia mb 2-3

    DStv ya nini?
    DStv watazidi kupoteza nawaambieni chawa ambao mpo huku ili kufanikisha DStv capital outflow
 
Kwa sasa ni kuwa na UNLIMITED yako tu mambo yanaenda poa,airtel unalipia 70000 unapata 13mb/s .

Unawez kustream unachotaka,unaweka apk kwenye tv yako,mpira utaangalia movie utaangalia taarifa ya habari utaona youtube.Mambo ya DSTV mara AZAM ynapitwa na wakati .

Ukiwa na intanet kila kitu kipo mkononi
 
Humu wapo pia chawa, unakuta mtu anapewa buku la fegi ili akuharibie, si ndio hao huzunguka kukagua cable mjini.
Hee! Kumbe muda wote huu unapigia chapuo wizi?? Hahahaha! Mimi najua unatangaza njia legit za kupata chaneli nyingi, nzuri na za gharama nafuu kuliko dstv?! Kumbe tena unataka tukiangalia tufunge madirisha watu wasisikie?!! Hahahah

Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
 
Hizo sababu za kupoteza wateja ni uongo wameogopa wakiongea ukweli, watu watataka kujua zaidi kuhusu huo ukweli. Ni hivi, teknolojia imesababisha wao kupoteza wateja kwa namna zifuatazo
  1. Watu wanatumia smarttv kustream mechi, japo TV nyingi zinakuja na lock kwenye playstore ili usidownload apk muhimu. Ukipakua apk mfano yaccine ukiweka kwenye flash mbona unainstall vizuri tu, na bila kuilipia apk ni wewe na bando tu.
  2. Fiber na wifi za maofisini
    Watu wanatumia hizo kutazama wakitakacho kwa bei nafuu. Mfano fiber unakuta kwa mwezi ni elfu 70-80, Dstv lazima iwe kampuni.
  3. Ving'amuzi vyenye kurusha mpira, movies sawa na wao vyenye bei nafuu ni vingi. Mfano canal + elf 40-45 mtu anaona epl, uefa, laliga, bundas (DStv hana), ligue 1( Dstv hana), pia bein media wana malipo mazuri kuliko DStv iliyo chini ya makaburu,na makaburu anapenda faida kupindukia,lazima apigwe chini
  4. Vipokezi visivyo rasmi, hii ndio nafuu mnooooo, mfano watu duniani wanatumia kama starsat, ghost, freesat, mediastar na tiger

    Ingia Google mtaona hata utendaji kazi, mfano kuna kulipia mwaka mzima elfu 35-38 na unafungua canal chanel zozote, Dstv, bein kwa ujinga utalipa Dstv mwaka milion na zaidi kweli?

    Pia mtu anatumia Tsh 500 / mia tano kustream mechi, movies documentary nk kwa mwezi mfano mechi dkk 90 anatumia mb 2-3

    DStv ya nini?
    DStv watazidi kupoteza nawaambieni chawa ambao mpo huku ili kufanikisha DStv capital outflow
Yaccine tv ni unyama sana,imenifanya siku hizi nikiangalia soka kama mtangazaji sio mwarabu nifeel bored ingawa kiarabu chenyewe hata sijui kukizungumza
 
Hizo sababu za kupoteza wateja ni uongo wameogopa wakiongea ukweli, watu watataka kujua zaidi kuhusu huo ukweli. Ni hivi, teknolojia imesababisha wao kupoteza wateja kwa namna zifuatazo
  1. Watu wanatumia smarttv kustream mechi, japo TV nyingi zinakuja na lock kwenye playstore ili usidownload apk muhimu. Ukipakua apk mfano yaccine ukiweka kwenye flash mbona unainstall vizuri tu, na bila kuilipia apk ni wewe na bando tu.
  2. Fiber na wifi za maofisini
    Watu wanatumia hizo kutazama wakitakacho kwa bei nafuu. Mfano fiber unakuta kwa mwezi ni elfu 70-80, Dstv lazima iwe kampuni.
  3. Ving'amuzi vyenye kurusha mpira, movies sawa na wao vyenye bei nafuu ni vingi. Mfano canal + elf 40-45 mtu anaona epl, uefa, laliga, bundas (DStv hana), ligue 1( Dstv hana), pia bein media wana malipo mazuri kuliko DStv iliyo chini ya makaburu,na makaburu anapenda faida kupindukia,lazima apigwe chini
  4. Vipokezi visivyo rasmi, hii ndio nafuu mnooooo, mfano watu duniani wanatumia kama starsat, ghost, freesat, mediastar na tiger

    Ingia Google mtaona hata utendaji kazi, mfano kuna kulipia mwaka mzima elfu 35-38 na unafungua canal chanel zozote, Dstv, bein kwa ujinga utalipa Dstv mwaka milion na zaidi kweli?

    Pia mtu anatumia Tsh 500 / mia tano kustream mechi, movies documentary nk kwa mwezi mfano mechi dkk 90 anatumia mb 2-3

    DStv ya nini?
    DStv watazidi kupoteza nawaambieni chawa ambao mpo huku ili kufanikisha DStv capital outflow
Mechi y dakika 90 Kwa mb2?
 
Back
Top Bottom