Dress Code Za Wanaume Nisizopenda

Dress Code Za Wanaume Nisizopenda

Umefunguka vizuri sana na nimeipenda hii, from miles nimegundua uko after smart guys and decent one. big up karucee binafsi nachukia dressing zinazovuta attention za watu hasa walio mbali, huwezi vaa nguo za rangi rangi kali hasa mchana, napenda watu simple but smart.
 
Kwangu mimi wako wanaopendeza wakivaa suruali za kubana hasa jeans....na wako pia wanaopendeza wakivaa body tight...kinachomata ni mwili wa mtu...kama mwili unalipa (wa mazoezi) why not usijishow off bana?????

Hata mabinti wanaopiga tizi utaona jinsi wanavyopenda ku show miili yao...they deserve it...
 
Sasa hata akiwa ni mvaaji safi na mpangiliaji mzuri wa viwalo,kama hakupigi mshine fresh ni bure tuh,,

mwanaume hasifiwi kuvaa,mwanaume anasifiwa kuweka pesa bank,kuhonga na kum--kaza fresh mwanamke

huwa hatuwazi p.u.m.b.u kila mara. Pole.
 
Ha ha ha haa umenichekesha Karucee i see, unamkuta mvulana kavaa suruali mapajani, boxer ya ndani haijulikani rangi yake, kiatu cha ajabua ajabu afu ju katupia kaflana alafu micheni kibaaaooo. AAHHGGRRRR

kama aliens!
 
Last edited by a moderator:
Na wale wasiovaa saa kabisa!! Eti zee zima anaangalia saa kwa kutumia simu!! Kudadeki!! Yaani wewe ni kichwa cha nyumba utaongozaje!!!?? Kweli nikiona kijana kaingia ofisini kwangu au say mwanaume wa age yangu nikicheck mkono hana saa basi najua ni bogasi tu hata nikimpa kazi hawezi kuwa time keeper!! Tupa kando!

lack of class to me.
 
karucee nimekupenda ghafla.leo nmeshnda nmenuna ila nmecheka sana baada ya kupitia uzi wako.kip it up.mwaaah

mwwaaah. Love yu tuu. Usinune sana. Life is too short to drink bad wine
 
Hii ni nchi huru kabisa haina,
Kila mtu anafanya anachofikiri kitampa furaha,
Hatufanyi vitu qa ajili ya wengine bali wenyewe.
Tunaipa roho kitu inapenda.
Wacha watu wafurahiye maisha yao Bana.


Bazazi!

thank you for telling us nothing
 
Umefunguka vizuri sana na nimeipenda hii, from miles nimegundua uko after smart guys and decent one. big up karucee binafsi nachukia dressing zinazovuta attention za watu hasa walio mbali, huwezi vaa nguo za rangi rangi kali hasa mchana, napenda watu simple but smart.

big up mwathu
 
Back
Top Bottom