mnhhhh..mleta mada umeleta hoja ... mie pia huwa sipendi hata kusikia hawa vijana wetu na vijisuruali vya dada zao na wanavivaa chini ya makalio kiasi kwamba najikuta nikiona aibu kama mwanaume...MTOTO WA KIUME LAZMA UWE BOLD AS A REAL MAN N NOT A GIRLISH MAN....KUACHA VIFUA WAZI NA MBWEMBWE ZINGINE NADHANI NI SUBJECT YA KUWATEGA MABINTI...MAANA NA NYIE NAO MNAJIFANYA KUPENDA WANAUME WALOJENGEKA MISULI MNATUITA 6-PACK MEN..
vijana woote kipindi cha nyuma tulijazana gym kujenga vifua kuvutia warembo....sasa kama mtu kifua hana na bado kaacha wazi na hasa maeneo ya dar inawezekana ni kwa joto hili linalosumbua la 38 deg of celcius.
Ha ha ha ha leooooooo!!!!ila iwe safi na good quality. Sio shingo inafika begani na kwapa inafika tumboni,
1. Kuvaa suruali za kubana.
2. Kuacha kifua wazi wakati kifua chenyewe ni deprived of flesh or on the other hand swollen with man boobs
3. Cheap jewellery
4. Wearing sneakers with soft cloth trousers. Hii ipo sana Znz halafu wanachomekea suruali kwenye socks. Makes me sick.
5. Not dressing according to age
6. Ugly belts. Those with rasta colours. Or those that don't match with the outfit.
7. Showing underwear
8. Ugly socks
9. Not wearing vests
10. Pot bellied men wearing tight tshirts that go as far as showing the shapes of their navels.
11. Very pointed shoes kama za Abunuwasi
12. Kuvaa misuruali mipana kama kanda Bongoman.
13. Kuvaa jeans zenye blingbling like you have lost your mind
Maybe am just in the mood to diss men. But whats your take on this?
baba Enock shusha suruali. Huko kifuani imefata nini? Ama valia shingoni basi!
Mkuu kwenye red, mfano No,8 socks ya pundamilia!No,7 underwear imeandika TMK wanaume lol!,No,6 Mkanda umeandika bob marry au bendela ya taifa!agh!No 4,Huuuwiii nike na suruali ya kitambaa!!wapemba ndo zao1. Kuvaa suruali za kubana.
2. Kuacha kifua wazi wakati kifua chenyewe ni deprived of flesh or on the other hand swollen with man boobs
3. Cheap jewellery
4. Wearing sneakers with soft cloth trousers. Hii ipo sana Znz halafu wanachomekea suruali kwenye socks. Makes me sick.
5. Not dressing according to age
6. Ugly belts. Those with rasta colours. Or those that don't match with the outfit.
7. Showing underwear
8. Ugly socks
9. Not wearing vests
10. Pot bellied men wearing tight tshirts that go as far as showing the shapes of their navels.
11. Very pointed shoes kama za Abunuwasi
12. Kuvaa misuruali mipana kama kanda Bongoman.
13. Kuvaa jeans zenye blingbling like you have lost your mind
Maybe am just in the mood to diss men. But whats your take on this?
how did u know? these arusha people arent welcoming at all full kuogopa mie kugegeda dada zao. dresscode ya mwanaume wa kweli ni suit bwana...cant go wrong there.
Mkuu kwenye red, mfano No,8 socks ya pundamilia!No,7 underwear imeandika TMK wanaume lol!,No,6 Mkanda umeandika bob marry au bendela ya taifa!agh!No 4,Huuuwiii nike na suruali ya kitambaa!!wapemba ndo zao
how did u know? these arusha people arent welcoming at all full kuogopa mie kugegeda dada zao. dresscode ya mwanaume wa kweli ni suit bwana...cant go wrong there.
1. Kuvaa suruali za kubana.
2. Kuacha kifua wazi wakati kifua chenyewe ni deprived of flesh or on the other hand swollen with man boobs
3. Cheap jewellery
4. Wearing sneakers with soft cloth trousers. Hii ipo sana Znz halafu wanachomekea suruali kwenye socks. Makes me sick.
5. Not dressing according to age
6. Ugly belts. Those with rasta colours. Or those that don't match with the outfit.
7. Showing underwear
8. Ugly socks
9. Not wearing vests
10. Pot bellied men wearing tight tshirts that go as far as showing the shapes of their navels.
11. Very pointed shoes kama za Abunuwasi
12. Kuvaa misuruali mipana kama kanda Bongoman.
13. Kuvaa jeans zenye blingbling like you have lost your mind
Maybe am just in the mood to diss men. But whats your take on this?
Na cheni ya bati!imeliwa na kutu! hadi basi yumo tu nivitu vingi mtu kama mwanaume unashushwa thamani kwa sababu za kutojua au ujinga basi mtu umevaa vizuri unakuja kumalizia na kacheni ka dhaabu kadunchu kama kamtoto!kakidemu au umeuramba lakini umevaa skuna kama yawale waimbaji wa rose mhando!!chines type au umevaa mkanda wa suruali ni plasitic na umechakaa upande wa baiklos sasa nini hiyo au suruali ya kitambaa ina marindakama sketi ya wanafunzi wa meta!!KakaKiiza wewe ni mwishoooo! Am dead!! Hahahhhaaaa
hapo umeua,Na cheni ya bati!imeliwa na kutu! hadi basi yumo tu nivitu vingi mtu kama mwanaume unashushwa thamani kwa sababu za kutojua au ujinga basi mtu umevaa vizuri unakuja kumalizia na kacheni ka dhaabu kadunchu kama kamtoto!kakidemu au umeuramba lakini umevaa skuna kama yawale waimbaji wa rose mhando!!chines type au umevaa mkanda wa suruali ni plasitic na umechakaa upande wa baiklos sasa nini hiyo au suruali ya kitambaa ina marindakama sketi ya wanafunzi wa meta!!
mi natumia yolanda.Mie napaka Shanti
Akyanani umenikumbusha mbali ...... yolanda..... Lakini wakati huo tulikuwa tunaonekana wa maana saanaaaa.... Anyway nikabadili na nikaanza kutumia COBRA.....mi natumia yolanda.
kama ni hivo basi mimi tayari unanipenda imebaki kuniona tu,,, hizo zote sinaga
nina swagga za kichaga full,,,suruali ya kitambaa, shati la mikono mirefu,
napenda pia pensi za kupita goti