sharifaa
Senior Member
- Jan 6, 2013
- 117
- 93
anko server ni kitu gani?Ujanja wote unaishia kwenye Server
anko server ni kitu gani?Ujanja wote unaishia kwenye Server
anko server ni kitu gani?
asante anko tayari nime noteServer ni sehemu ambayo kunaweza kuka hifadhiwa vitu kama file and other documents then watu wakawa wana pata hivyo vitu kupitia hiyo server husika waliyo hifadhi izo vitu.
We jishaue tu hapa,ngoja nikagonge viroba afu nije kufunguka hapa!!
Kukisia au kutamka kuhusu MEMBER kuwa huyu ndiye yule ni kosa hapa JF. Hilo kosa linajulikana kama "ID speculations". Kwa hiyo member kama mimi hatujui nani ni nani isipokuwa moderators. Kwa hiyo futa kauli yako Jacaranda ndio kwetu. cc Dr.zero.
Piga kiduchu a.k.a kadansana ya Nonde ndio ina mizuka halisi
Onesha wapi NIMEKISIA au NIMETAMKA nani ni nani hapa Jf mkuu Arushaone!!
Bado nina wasiwasi,ila nikifunguka hapa nitaambulia BAN!!
naogopa kuwasemea ila kama vile wameshangia mamaa, baba tofauti au cjui ni ndugu wa ukoo mmoja af baba yake naninihhh si ndo akazaa na mama yake na nanihiihh ambaye alimpa mimba akiwa darasa saba hivi kama sikosei,sasa mahusiano yao yakawa kama nanihhh yaaani ahhhhhh ila tu naogopa kusutwa japo suna.
Mambo manoah!!
Mie mzima sana my manoah,nimekumiss ujue!!!
miss u too jamani! Nafurahi kusikia ni mzima wa afya.
Vipi,utakuwepo kwenye white party?