Dr.zero V/S Baba V???!!!

Dr.zero V/S Baba V???!!!

Baba V ni mwenyekiti wangu wa mambo ya mahusiano hapa chit chat ambapo mie ni member. Kuna swali la nyongeza?
 
Last edited by a moderator:
Dr.zero uje utoe maelezo hapa!!!
Una uhusiano gani na Baba V?
kwani wewe umeona kuna nini hapo Jacaranda ndio kwetu

avatar115449_1.jpg najaribu kuangalia picha yake lakini nashindwa kuoanisha na Baba V
 
Last edited by a moderator:
Huyu dogo naona ameshapiga zile zinaitwa 'dabo panchi' sasa zinamzingua kumkichwa akiona nane anadhani ni sifuri zimebebana

mie nazani jamaa hapo juu kamaliza kuwa mbeya kuna tabia ya umbea
 
Huyu dogo naona ameshapiga zile zinaitwa 'dabo panchi' sasa zinamzingua kumkichwa akiona nane anadhani ni sifuri zimebebana

Du,naona hadi staili zenu za uandishi zinafanana,lazima kuna jambo hapa!
 
Uzee tu Dr.zero naomba mnizoee, usisahau kuja na oxygen na hidrojen vipo pale nje
Na wewe sijui umekuaje!? umekuwa mgumu sana kuelewa, ntakuja na 4 figure, dictionary, mathematical set na rula kukuelewesha
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom