Dr. Wilbroad Slaa yuko wapi?

Dr. Wilbroad Slaa yuko wapi?

Majibu ya Dr Slaa

Wapenzi wangu nawaomba watulie tu. Kama nilivyowaambia Nimeachana na Active Party Politics, walidhani maana ya kauli hiyo ni kufunga Mdomo.

===============================
Mzee ulisema 2010 ulishinda ila tu haukutangazwa, Je endapo CHADEMA ingekusimamisha mwaka huu - unatuamisha sisi wapenzi wako kwamba ungeshinda tena ila safari hii ungetangazwa mshindi na kuapishwa?.

Mwisho, je tutegemee lini -comeback yako kwenye Active policits? je utakujaje kujaje?
 
hana tija tena kwetu subiri aje na chorus nyingine nasikia ana brush kichwa kidogo huko mbele
akija atasajiri chama chake na mchumba ake
 
Wakati wowote kamanda atatua nchini kwa ajili kufuatilia matokeo ya uchaguzi mkuu na namna gani atashiriki katika kusukuma gurudumu la maendeleo ya nchi yetu. Chadema asilia inasema Karibu mheshimiwa katibu mkuu popote utakapokuwepo sisi tutakua nyuma yako hatutakuacha
 
Pole zake,na Josephine yuko naye au kabakia na Nyani Ngabu huko Newyork city?
 
Kwa mtaji huu chadema asilia inautaka uongozi uliopo kujiandaa kujiuzuru ili kupisha chama kijiunde upya. Viongozi zingatieni hilo
 
Dr slaa ni nguzo muhimu kwa Taifa letu Mhe Rais on a namna ya kumtumia,Mbowe alimuuza kwa uroho wake wa pesa
 
Pole zake,na Josephine yuko naye au kabakia na Nyani Ngabu huko Newyork city?
Kabakia na Nyani Ngabu?

Nilifikiri Nyani Ngabu ni kaka!

Nyani Ngabu ni mbadala wa Josephine? Teh teh, Astagh ........

USA baby!
 
..,kwamba kuna watu mlikuwa kwenye chama kwa kuabudu mtu kwahiyo itikadi,Sera havikuwa na maana yoyote,kwenu Chadema ilikuwa ni Dr basi!! inashangaza sana!
Kwa hiyo unataka kusema itikadi Na sera za Chadema ndio zilizomsafisha Lowassa kutoka fisadi mkuu hadi mgombea Safi wa Urais?
 
tunamshukuru ametujengea chama leo ruzuku imeongezeka toka 26% ya 2010 hadi 40% ya 2015, leo chadema inatarajia kupata ruzuku milion 450 kwa mwezi toka milioni 220 kwa mwezi 2010. Mbowe ana huruma sana kampa mtalaka wake slaa ubunge , tunamshukuru kwa kazi nzuri yeye atabakia kuwa legendari wetu wa chadema
 
So mbaya hata pesa ilimsaliti yesu, sembuse wewe kumsaliti lowasa na ukawa? Endelea kuponda maisha Baba, ulilolifanya sio geni hapa duniani, Mungu atatupigania ndani ya nchi yetu.

Mzee Lowasa alisalitiwa na CCM yake, Dr. Slaa akasalitiwa na CHADEMA.
 
Babu anasomea family therapy..kiukweli ana matatizo makubwa katika ku manage familia yake
 
Back
Top Bottom