Dr. Wilbroad Slaa yuko wapi?

Dr. Wilbroad Slaa yuko wapi?

Wewe ndiyo umejazwa ujinga na kukariri kuwa Slaa ni Mungu hawezi kupokea rushwa, kaa utambue kuwa upo peke yako unayekariri lakini wenzako wote wanajua Slaa alinunuliwa na Akina Membe kwa dola million 2 pamoja na kununuliwa Nyumba Dubai, madalali wa ununuzi na Akina Nape, makonda na Mwakyembe nk, huyo babu mchumba wa Josephine hana Mvuto tena hata mkifanya promo gani hauziki.

Wewe ndio hujitambui kwa kuamini hakuna wanadamu wasio pokea rushwa ....hakuna binadamu asiyedhaifu lakini wote kuwadhaifu hakuhalalishi wote kutenda dhambi zile zile ....wapo wazinzi wengine si wazinzi , wala rushwa wengine si wala rushwa .....
 
Uchaguzi wa 2010 CCM walikuja na hoja hizi kawaulize kwanini waliomba yaishe na kuapa kutorudia tena ....2015 waulize viongozi wa Chadema walioibuka na hoja za Josephine kumfungia Slaa nje waliulizwa nini na Slaa na kuamua kutoongelea tena hilo .....ungekuwa na hata robo ya info. ungejua viti maalum imeacha makovu gani ....mkosoeni Dr Slaa kwenye utendaji wake ...ukileta mambo ya ndoa mtaumbuka wengi ....
acha kuongea vitu usivyovijua wewe! huyu MTU ana uadilifu gani? kuna vitu huvijui nakushauri bora kukaa kimya tu Mkuu.
 
Vipi hivyo? vitaje basi ...Chadema yenyewe umeijua kwa kuletwa na mafuriko ya "mabadilikoooo Lowasaaaa" vipi bado unazungurusha mikono?
 
Pipoooooz power!!!!Chama hakijafa
Wadau tukomae kusaka mabadiriko

Mabadiliko yapi?
Mabadikiko tuliyoyaona wakati wa kuteua wagombea, wakati wa kampeni, na wakati wa uteuzi wa viti maalum umetuonyesha mengi.
Jirekebisheni ndugu yangu.
 
Vipi hivyo? vitaje basi ...Chadema yenyewe umeijua kwa kuletwa na mafuriko ya "mabadilikoooo Lowasaaaa" vipi bado unazungurusha mikono?
..,kwamba kuna watu mlikuwa kwenye chama kwa kuabudu mtu kwahiyo itikadi,Sera havikuwa na maana yoyote,kwenu Chadema ilikuwa ni Dr basi!! inashangaza sana!
 
Uchaguzi wa 2010 CCM walikuja na hoja hizi kawaulize kwanini waliomba yaishe na kuapa kutorudia tena ....2015 waulize viongozi wa Chadema walioibuka na hoja za Josephine kumfungia Slaa nje waliulizwa nini na Slaa na kuamua kutoongelea tena hilo .....ungekuwa na hata robo ya info. ungejua viti maalum imeacha makovu gani ....mkosoeni Dr Slaa kwenye utendaji wake ...ukileta mambo ya ndoa mtaumbuka wengi ....

hebu funguka vzr hapo mkuu nataman sana kujua alichowaambia MTAZAMO
 
Last edited by a moderator:
..,kwamba kuna watu mlikuwa kwenye chama kwa kuabudu mtu kwahiyo itikadi,Sera havikuwa na maana yoyote,kwenu Chadema ilikuwa ni Dr basi!! inashangaza sana!

Itikadi na sera zingeheshimiwa msingempokea mtu ambaye mlimwita fisadi na majina yote mabaya kwa miaka tisa alafu mkataka kumsafisha kwa miezi miwili .....wewe unaijua itikadi na Sera za Chadema? wanaojua walijitenga wazi ...wengine walisusa kimya kimya mkabaki "nyumbu" wafata upepo ....
 
hebu funguka vzr hapo mkuu nataman sana kujua alichowaambia MTAZAMO

Mkuu haya matusi wanayatoa mashabiki wengine hata kadi hawana....wakati viongozi wao walishaamua kuyamaliza kiutu uzima ....kabla Dr Slaa hajajitoa Chadema haya matusi yalikuwa yanatolewa na CCM ...humu vijana wote wa Chadema walikuwa wanamtetea kwa nguvu zote kama vile wanavyowatetea Mbowe, Lissu na wengine lakini wangekuwa upande mwingine wangetukanwa matusi yote unayosikia CCM wakiwatukana sasa ....hizi ndio siasa za "Unyumbu" ambazo wengine tumezikataa ...
 
Last edited by a moderator:
Baada ya CHADEMA kuingiliwa na manyang'au, Lowassa, Masha n.k., kwa nini usitoe msimamo wa nini wafusi wako wafanye katika kukabiliana na haya mafisadi?

Acha ujinga wewe,... kuwa na heshima kwa viongozi wako wa kitaifa
 
Mkuu haya matusi wanayatoa mashabiki wengine hata kadi hawana....wakati viongozi wao walishaamua kuyamaliza kiutu uzima ....kabla Dr Slaa hajajitoa Chadema haya matusi yalikuwa yanatolewa na CCM ...humu vijana wote wa Chadema walikuwa wanamtetea kwa nguvu zote kama vile wanavyowatetea Mbowe, Lissu na wengine lakini wangekuwa upande mwingine wangetukanwa matusi yote unayosikia CCM wakiwatukana sasa ....hizi ndio siasa za "Unyumbu" ambazo wengine tumezikataa ...

Ni unafiki tu unaowasumbua watanzania walio wengi.
 
Itikadi na sera zingeheshimiwa msingempokea mtu ambaye mlimwita fisadi na majina yote mabaya kwa miaka tisa alafu mkataka kumsafisha kwa miezi miwili .....wewe unaijua itikadi na Sera za Chadema? wanaojua walijitenga wazi ...wengine walisusa kimya kimya mkabaki "nyumbu" wafata upepo ....

Huu ukweli unafanya watu wapite kimyakimya kama hawaoni vile.
 
Dr. W.Slaa atakumbukwa daima na chadema.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom