Dr. Wilbroad Slaa yuko wapi?

Dr. Wilbroad Slaa yuko wapi?

Anakula fungu alilopewa kwa ile kazi maalum aliyoifanya uchaguzi wa 2015
 
Jamani hivi ni sehemu gani Canada wanalima mihogo au anaagiza huku bongo kutoka kigoma na mtwara,kama haipo naomba doctor anijibu nimpelekee ninaenda kikazi Montreal.
 
Atarudi Bongo kuomba msamaha arudi kwenye nafasi yake Chadema
Bado unaamini chadema ni tahasisi?
Ukiona mjumbe wa kamati kuu ana mamlaka kuliko mwenyekiti, ujue Kaisari alishamaliza kazi, ni suala la muda tu
Njia walizopita kakazake akina nccr lazima apite tu!
 
Bavicha mmeamua kuondoa stress kwa kuelekeza makombora kwa mzee wa watu.Bila ya sababu mtu kafungua thread anauliza Mzee alipo kama vile amezaliwa jana,na manyumbu yanaunga tela.Muacheni afanye yake mbona yeye hawachokonoi chadema?
Hivi Slaa akiamua kuwaandama chadema atabaki mtu humu?
Hii inaonesha mme mmiss sana,mtapata tabu sana kumpata KM wa aina ya Slaa.
 
engineer aliyeshirikiana na kina zitto na kuwafanya Vijana wa kileo kufatilia siasa na Hata kuipenda chadema
 
Haaaahaaaaaa ccm bhana Dr.slaa alipokuwa chadema mbona mlimuita padri mzinifu sijui anatembea na mke mwenye size ya kuwa binti yake mara cjui chama kimemshinda toka lini leo hii amekuwa mzuri kwenu na nyie ndio mnafanya watu waamini mlimtumia kutaka kuibomoa UKAWA maana toka aondoke wana ccm wanamuita shujaa na mpinzani wa kweli. Ccm muache unafki mkae kimya mkiwa mnamtetea ndio mnazidi kufanya watanzania waamini mnamtumia.
 
Tangu wale 'jamaa' wamfiche pale hotel ya Serena, kwa kweli sina imani nae sana.Na bahati mbaya hata aliyevujisha zile picha alipoteza ajira yake!Najiuliza alibadilika au ndivyo alivyokuwa? Sitaki kusema kuhusu Propesa Lipumba!

Ilinifanya pia nitafakari sana kuhusu ule 'waraka' uliowaondoa kina Mwigamba, Zitto, Kitila etc pale CDM....kuna mtu hakutajwa/alifichwa na ni kama vile waandaji wa huo waraka walikula yamini kutokumtaja huyo ambaye hakutajwa!

Natafkari pia vyama vya 'upinzani' kwa ujumla na kujiuliza hawa tunaodhani au kuaminishwa ni wapinzani ni kweli wapinzani au wapo/wanaongoza vyama vya upinzani kama sehemu ya 'kazi yao maalumu'? Nikiwaangalia kina Lyatonga, Lipumba, Maalim Seif, Slaa, Mbowe, Lowassa na wengine...kwa kweli kuna nyakati huwa napata mashaka sana na wote hawa kwa sababu mbalimbali.
 
Mara ya mwisho alikua anakula mihogo kwa wazungu uko wa dunia ya kwanza.

Sasa hivi anakula huu....

Unga.JPG
 
engineer aliyeshirikiana na kina zitto na kuwafanya Vijana wa kileo kufatilia siasa na Hata kuipenda chadema
Hivi hujui hata shetani alikuwa malaika before?? so Mungu asimtupe motoni kisa alikuwa kiongozi wa malaika wengine mbinguni??

Anyway back to topic hata mie naheshim sana mchango wa zitto na slaa kuijenga chadema ndio maana hukuwahi skia kina mbowe au lowassa wanatoa maneno ya kumkejeli kwenye mikutano ya kampeni. Mtu akifanya mazuri lakini mwishoni akaharibu hamna budi kumuacha aende kumbuka slaa naye alibembelezwa abaki akakataa sasa ulitaka chama kifanyeje?? na hakutimuliwa aliondoka mwenyewe so tunamtakia kila la kheri huko aendako lakini kumbuka HE WHO LAUGHS LAST LAUGHS THE MOST.
 
Tangu wale 'jamaa' wamfiche pale hotel ya Serena, kwa kweli sina imani nae sana.Na bahati mbaya hata aliyevujisha zile picha alipoteza ajira yake!Najiuliza alibadilika au ndivyo alivyokuwa? Sitaki kusema kuhusu Propesa Lipumba!

Ilinifanya pia nitafakari sana kuhusu ule 'waraka' uliowaondoa kina Mwigamba, Zitto, Kitila etc pale CDM....kuna mtu hakutajwa/alifichwa na ni kama vile waandaji wa huo waraka walikula yamini kutokumtaja huyo ambaye hakutajwa!

Natafkari pia vyama vya 'upinzani' kwa ujumla na kujiuliza hawa tunaodhani au kuaminishwa ni wapinzani ni kweli wapinzani au wapo/wanaongoza vyama vya upinzani kama sehemu ya 'kazi yao maalumu'? Nikiwaangalia kina Lyatonga, Lipumba, Maalim Sief, Slaa, Mbowe, Lowassa na wengine...kwa kweli kuna nyakati huwa napata mashaka sana na wote hawa kwa sababu mbalimbali.
Hamna mkuu wengi uliowataja hapo walikuwa wapinzani wa kweli sema wakati wa migogoro kwenye vyama vyao ndio ccm inaweza ingilia ikasupport upande mmoja ili kuua hiko chama kwa dhana ya AN ENEMY OF YOUR ENEMY IS YOUR FRIEND. I believe slaa na lipumba wote walikuwa wapinzani wa kwei wakati wanaanza sema kwenye migogoro wakaona waombe support ya nje kummaliza adui wao wa ndani so kipimo cha mwanasiasa wa kweli asiyekubali kutumika ni wakati wa migogoro ndani ya chama.
 
We ndo nyumbu kabisa, kati ya Mbowe na Dr Slaa nani msaliti!
Dr Slaa alisimamia kauli yake, na huo ndo msimamo wa mwanaume anayejielewa
Rudi maktaba usome tena kauli za Mbowe na ufisadi na mafisadi ndo utajielewa
duuh kumbe dr slaa hakuhusika kwenye kikao cha kumuingiza lowassa chadema??? kumbe dr slaa hakukubali lowassa awe mgombea urais?? tuacheni unafki watanzania hakuna cha usaliti wa mbowe ama laah kikao kilifanyika na kamati kuu ikaja na sauti moja ndio maana hukutokea mgawanyiko hta dr slaa alipoondoka. Yeye slaa alishakubali lowasa kuwa raisi sema mke akakataa yye akaona familia isigombane kisa siasa so akajiuzulu siasa full stop. Hayo mengine ni porojo tu za magazetini ila ukweli anaujua slaa na mke wake wa kwanni amehama chadema
 
Ni siku nyingi zimepita tangu hekaheka za uchaguzi mkuu 2015 sijamsikia kabisa aliekua mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA mwaka 2010 Dr. Wilbrod Slaa.

Kwa mnaofahamu tujuzeni yupo wapi? Je kujitoa kwake CHADEMA ndio kumempoteza? Je kuna chombo chochote cha habar kimewahi kumtafuta na kumuuliza maoni yake juu ya utendaji wa serikali ya awamu ya tano? Kama ndio maoni yake nia yapi?.
Kila jambo na wakati wake, kila falme na kitabu chake
 
We jamaa unatema pumba kweli, kwanza slaa ni msaliti, hatutaki wasaliti sisi, yeye mwenyewe ampokee lowassa halafu eti anajiuzulu, mnafiki sana yule.
Hapa kwenye picha wewe ndio yupi
e36a59f6fc4b34ffe44042e190eb1d67.jpg
 
Tangu wale 'jamaa' wamfiche pale hotel ya Serena, kwa kweli sina imani nae sana.Na bahati mbaya hata aliyevujisha zile picha alipoteza ajira yake!Najiuliza alibadilika au ndivyo alivyokuwa? Sitaki kusema kuhusu Propesa Lipumba!

Ilinifanya pia nitafakari sana kuhusu ule 'waraka' uliowaondoa kina Mwigamba, Zitto, Kitila etc pale CDM....kuna mtu hakutajwa/alifichwa na ni kama vile waandaji wa huo waraka walikula yamini kutokumtaja huyo ambaye hakutajwa!

Natafkari pia vyama vya 'upinzani' kwa ujumla na kujiuliza hawa tunaodhani au kuaminishwa ni wapinzani ni kweli wapinzani au wapo/wanaongoza vyama vya upinzani kama sehemu ya 'kazi yao maalumu'? Nikiwaangalia kina Lyatonga, Lipumba, Maalim Sief, Slaa, Mbowe, Lowassa na wengine...kwa kweli kuna nyakati huwa napata mashaka sana na wote hawa kwa sababu mbalimbali.
Nimesoma hapa nikakumbuka ule msemo.....NYANI HAONI KUNDULE! !!!!
Hivi ni nani mnafiki?????? MLIMUITA JK NI DHAIFU....HAKAI NYUMBANI MUDA WOTE NI ANGANI....ANACHEKACHEKA TU NCHI INALIWA....NI FISADI......
Maajabu sasa baada ya KUMCHUKUA BABY BOY...MKAMPITISHA KWENYE PIPA LA MAJI NA KUOMBEWA NA MCHUNGAJI ASIYE NA KANISA MSIGWA.....NDIPO NYIMBO ZIKAANZA...JK TUNAKUKUMBUKA HASA SIKU ILE YA KUNYWA CHAI NZITO IKULU.....WEWE JK ULIKUWA MTU MWEMA.....ULITUKUMBUKA......HUKUWA DHAIFU MAANA ULITUITA TUKAONGOZA NCHI WOTE......WEWE SI FISADI ASEMAYE WEWE NI FISADI AENDE MAHAKAMANI KWA OTHMAN CHANDE......SAFARI ZOOOOOTE NJE ZILIKUWA NZURIIIIII MAANA ULIKUWA UNAONANA NA OBAMA...PUTINI...EDORGAN(Rejea ombi la Sugu a.k.a Muuaji)....JK WEWE NI BORA SAAAANA TULIKUTUKANA HUKUJIBU....KWA KUWA WEWE NA BEST YAKO LOWASSA SIYO MAFISADI TUNAFUTA NA LIST OF SHAME KWENYE RECORD ZETU ZA CHAMA!!!!!!!
My take:- NANI MNAFIKI???????

Nawaza kwa sauti tu
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Dr Slaa alikuwa ni the most genuine patriotic politician kwa kipindi cha miaka ya 2000-2015, huyu jamaa ni moja kati ya wanasiasa ambao mchezo wa siasa wali uelewa na waliuweza. Na aliheshimika na kila mtu.

Of coz kuhusu sasa sidhani kama atakuwa ana furahia yanayo endela nchini, lakini pia kama angekuwepo Wapinzani wasinge kuwa kama walivo sasa kipindi hiki cha crisis. Toka aondoke hakuna aliye wezanl kuvaa buti yake.

Buti ya mnafiki nani anataka kuvaa .... ana mazuri mengi sana and he is one of the strong people I have known in my life, but aliharibu in one day
 
ccm wamemtanguliza lipumba kwanza akiishavuruga vya kutosha cuf ndipo watamruhusu kuanza kuvamia CDM
 
Back
Top Bottom