Dr. Wilbroad Slaa yuko wapi?

Dr. Wilbroad Slaa yuko wapi?

mmeambiwa hapa kazi tu, mnaanza kutafuta watu.

bado yupo kilimanjaro hotel na dr mwenzake wanaandaa ushahidi wa richimonded.
 
Tundu Lisu kwa kuwaambia watu diri za ndani za mzee Padre muasi Slaa alidhani atapotosha watu kutoka kwenye ukweli aliouzema Slaa kumve ilikua too late. Halafu UKAWA wanamtafuta mchawi kwanini wameshindwa uchaguzi mkuu wakati matokeo yalishabadilika wakati vinara wa kweli wa ukawa Prof Lipumba na Dr Slaa walipowatosa UKAWA
 
Angekuwa interested na hivyo vyeo angeshaisaliti Chadema enzi hizo ....waulize insider wa Chadema wakuambie uadilifu wake ...nyinyi mashabiki endeleeni kujazwa ujinga ....
Duh!!muadilifu kaukacha upadri na kuoa huku akizalisha mwanamke akiwa bado padri.
 
Kila ninaposikia jina la slaa roho yangu upata burudani ghafra.nampenda sana.Dr toa neno moja wafuasi wako tupone.
 
yuko na mshumbusi wanajiandaa kufungua shule na hospital kama walivyosema wenyewe
 
Angekuwa interested na hivyo vyeo angeshaisaliti Chadema enzi hizo ....waulize insider wa Chadema wakuambie uadilifu wake ...nyinyi mashabiki endeleeni kujazwa ujinga ....
Ana uadilifu gani huyo mzinzi na msaliti?Watu wa tabia za huyu babu ni wa kuwaogopa kama ukoma.
 
Duh!!muadilifu kaukacha upadri na kuoa huku akizalisha mwanamke akiwa bado padri.

Uchaguzi wa 2010 CCM walikuja na hoja hizi kawaulize kwanini waliomba yaishe na kuapa kutorudia tena ....2015 waulize viongozi wa Chadema walioibuka na hoja za Josephine kumfungia Slaa nje waliulizwa nini na Slaa na kuamua kutoongelea tena hilo .....ungekuwa na hata robo ya info. ungejua viti maalum imeacha makovu gani ....mkosoeni Dr Slaa kwenye utendaji wake ...ukileta mambo ya ndoa mtaumbuka wengi ....
 
Alipolopoka pale serena akasepa mara nikamwona startv akasepa mara akaja nikamwona na jk akiwa na chati la vyumba vyumba lkn alikuwa amekonda sn ladba tuanzie hapo kumtafuta
 
Tundu Lisu kwa kuwaambia watu diri za ndani za mzee Padre muasi Slaa alidhani atapotosha watu kutoka kwenye ukweli aliouzema Slaa kumve ilikua too late. Halafu UKAWA wanamtafuta mchawi kwanini wameshindwa uchaguzi mkuu wakati matokeo yalishabadilika wakati vinara wa kweli wa ukawa Prof Lipumba na Dr Slaa walipowatosa UKAWA

Liko na Jaji Damiani Lubuva hapa amecheka sn, anasema UKAWA hawakushindwa ila yeye ndiye alitumwa kutangaza uongo anasema yeye mwenyewe
 
@Dr Wilbroad Slaa ni public figure
Tunaotoa siku 7 ajitokeze au tinaanza na kampeni ya Bring back our Dr. Mihogo na maharage.

Dr. Ameamua kwa hiari yake kujibalalisha. Atarudi hasira za Chadema/UKAWA zitakapopungua.

Doktor hawezi kuacha kula mihogo na maharage yake US ili aje apewe "maisha bora" na serikali ya CCM. Na sasa hawa jamaa wamekuja na hapakazitu, muzee hawezi tena hayo mambo za kazi, ameshastaafu kazi, sasa anaweza kufanya press conferences tu kama atapata msaada wa kumbukumbu/ makabrasha kutoka kwa wasamaria wema kama Mwakyembe.
 
Wana jf.
Dr.Wilbroad Slaa, rais wa mioyo yetu toka uchaguzi mkuu ufanyike yuko kimya hatujasikia maoni yake. Yuko wapi rais wa mioyo yetu,? Yuko Tanzania au bado yuko mapumzikoni Marekani?
Dr. Slaa popote ulipo tunakuomba ujitokeze utoe maoni yako roho zetu zitulie.

Atakua anakaanga mihogo
 
Makamanda,
alipo Dr Slaa hapako siri Wala hapajawahi kuwa Siri. Nilipowaaga Watanzania kupitia Azam TV na baadaye STarTV niliwaambia Watanzania kuwa ninaenda Sabbatical Leave. Nitatumia wakati huo kurudi shule, kujikumbusha mambo mbali mbali mapya katika maeneo yangu ya Masomo. Mwanzoni nilifikiria kuanza na masomo ya Sheria. Hata hivyo nimeanza na masomo ya Psychotherapy na Psychoanalysis. Kwa wale wanaojua Branches mbalimbali ya Falsafa ( Philosophia) watakumbuka kuwa nilisoma Psychology kama sehemu ya Masomo yangu ya Falsafa Seminari Kuu ya Kibosho. Sasa nimeona niingie kwa undani zaidi, kufahamu zaidi Tabia na mfumo wa akili ya Binadamu unavyofanya Kazi. Hadi sasa nimekwisha kuingia kwenye Module insyodeal na Cognitive Therapy, Strategic Family Therapy, Brief Therapy.

Wapenzi wangu nawaomba watulie tu. Kama nilivyowaambia Nimeachana na Active Party Politics, walidhani maana ya kauli hiyo ni kufunga Mdomo. Nilisema pale patakapohitaji kupiga kelele nitapiga kelele kupinga uonevu wa aina yeyote, kupinga ufisadi wa aina yeyote. Nitasimamia misingi yote muhimu katika Taifa langu kwa kutumia haki zangu za Kikatiba ( ikiwa ni pamoja na kusimamia uchumi wa Taifa letu.

Bonyeza HAPA kuweza kujua yupo wapi
 
Tunaotoa siku 7 ajitokeze au tinaanza na kampeni ya Bring back our Dr. Mihogo na maharage.

Dr. Ameamua kwa hiari yake kujibalalisha. Atarudi hasira za Chadema/UKAWA zitakapopungua.

Doktor hawezi kuacha kula mihogo na maharage yake US ili aje apewe "maisha bora" na serikali ya CCM. Na sasa hawa jamaa wamekuja na hapakazitu, muzee hawezi tena hayo mambo za kazi, ameshastaafu kazi, sasa anaweza kufanya press conferences tu kama atapata msaada wa kumbukumbu/ makabrasha kutoka kwa wasamaria wema kama Mwakyembe.
Umenikumbusha kaulimbiu za ugambani. Tujiulize ni ipi iliyoweza kujigeuza katika ukweli au kubadilisha maisha ya wakereketwa kuanzia 'ujamaa ni imani' > 'hapa ruksa tu' > 'uwazi na ukweli' > 'maisha bora kwa kila mbongo' na sasa 'hapa kazi tu'.
 
Wana jf.
Dr.Wilbroad Slaa, rais wa mioyo yetu toka uchaguzi mkuu ufanyike yuko kimya hatujasikia maoni yake. Yuko wapi rais wa mioyo yetu,? Yuko Tanzania au bado yuko mapumzikoni Marekani?
Dr. Slaa popote ulipo tunakuomba ujitokeze utoe maoni yako roho zetu zitulie.
Yupo Dubai kajificha kwenye ile Nyumba aliyonunuliwa na Membe kwa mapesa ya marehemu Gadafi, kaamua kukaa huko kwanza afiche Sura baada ya kugundua kuwa watu wengi wanajua kuwa alinunuliwa ili kuihujumu kambi ya Ukawa.
 
Back
Top Bottom