Dr. Wilbroad Slaa yuko wapi?

Dr. Wilbroad Slaa yuko wapi?

Makamanda,
alipo Dr Slaa hapako siri Wala hapajawahi kuwa Siri. Nilipowaaga Watanzania kupitia Azam TV na baadaye STarTV niliwaambia Watanzania kuwa ninaenda Sabbatical Leave. Nitatumia wakati huo kurudi shule, kujikumbusha mambo mbali mbali mapya katika maeneo yangu ya Masomo. Mwanzoni nilifikiria kuanza na masomo ya Sheria. Hata hivyo nimeanza na masomo ya Psychotherapy na Psychoanalysis. Kwa wale wanaojua Branches mbalimbali ya Falsafa ( Philosophia) watakumbuka kuwa nilisoma Psychology kama sehemu ya Masomo yangu ya Falsafa Seminari Kuu ya Kibosho. Sasa nimeona niingie kwa undani zaidi, kufahamu zaidi Tabia na mfumo wa akili ya Binadamu unavyofanya Kazi. Hadi sasa nimekwisha kuingia kwenye Module insyodeal na Cognitive Therapy, Strategic Family Therapy, Brief Therapy.

Wapenzi wangu nawaomba watulie tu. Kama nilivyowaambia Nimeachana na Active Party Politics, walidhani maana ya kauli hiyo ni kufunga Mdomo. Nilisema pale patakapohitaji kupiga kelele nitapiga kelele kupinga uonevu wa aina yeyote, kupinga ufisadi wa aina yeyote. Nitasimamia misingi yote muhimu katika Taifa langu kwa kutumia haki zangu za Kikatiba ( ikiwa ni pamoja na kusimamia uchumi wa Taifa letu.

Shukrani zangu za dhati kwa kile ambacho ulikuwa unafanya wakati upo CHADEMA (Kutetea haki za wanyonge wa Tanzania ambao ndio walala hoi wa nchi hii na ndio walipa kodi wakubwa wa nchi hii bila wizi wala kukwepa hiyo kodi na kulipa inapotakiwa. Wale wanaokula keki ya taifa bila kunawa mikono hawalipi kodi kwa wakati na hata ile wanayolipa ni ndogo sana pia hawalipi kwa wakati unaokubalika (on time).

Pongezi za dhati kwa kujiendeleza na masomo ambayo huwa tunasema unajifunza kila siku hadi utakapoingia kaburini. Panapo majaliwa ya mwenyezi mungu na rehema zake tele tutaifikisha Tanzania kwa vizazi vijavyo huku tukiwa mashujaa wa kutetea wanyonge wa nchi yetu.
 
Umenikumbusha kaulimbiu za ugambani. Tujiulize ni ipi iliyoweza kujigeuza katika ukweli au kubadilisha maisha ya wakereketwa kuanzia 'ujamaa ni imani' > 'hapa ruksa tu' > 'uwazi na ukweli' > 'maisha bora kwa kila mbongo' na sasa 'hapa kazi tu'.

Kazi tu ipi? Kazi tu ndiyo imefanywa na Timu ya Taifa? Kazi tu ndiyo bomoa bomoa kule mwenge? Kwa nini hawakupita kutangaza kwanza wameenda kuvunja maduka usiku? Kazi tu ndiyo kuiba mali za watu usiku?au kazi tu ni kuogopa kutangaza na kubomoa mchana kwa kuhofia wangeshindwa kuiba mali za watu kwenye maduka.
 
Angekuwa interested na hivyo vyeo angeshaisaliti Chadema enzi hizo ....waulize insider wa Chadema wakuambie uadilifu wake ...nyinyi mashabiki endeleeni kujazwa ujinga ....

Wewe ndiyo umejazwa ujinga na kukariri kuwa Slaa ni Mungu hawezi kupokea rushwa, kaa utambue kuwa upo peke yako unayekariri lakini wenzako wote wanajua Slaa alinunuliwa na Akina Membe kwa dola million 2 pamoja na kununuliwa Nyumba Dubai, madalali wa ununuzi na Akina Nape, makonda na Mwakyembe nk, huyo babu mchumba wa Josephine hana Mvuto tena hata mkifanya promo gani hauziki.
 
Tundu Lisu kwa kuwaambia watu diri za ndani za mzee Padre muasi Slaa alidhani atapotosha watu kutoka kwenye ukweli aliouzema Slaa kumve ilikua too late. Halafu UKAWA wanamtafuta mchawi kwanini wameshindwa uchaguzi mkuu wakati matokeo yalishabadilika wakati vinara wa kweli wa ukawa Prof Lipumba na Dr Slaa walipowatosa UKAWA
Lipumba na Slaa hawakutosa Ukawa toka moyoni isipokuwa Walinunuliwa baada ya kuweka njaa mbele, Lipumba alipewa dola million 1 ndiyo maana yeye aliondoka kijanja kwa visingizio ya kisanii sanii, lakini Dr slaa yeye alipendelewa kwa kupewa dola million 2 pamoja na kununuliwa Nyumba Dubai kwa pesa za marehemu Gafafi ambazo zilitolewa na Membe ambaye ni Adui namba majo wa Lowasa na Ukawa.
 
Makamanda,
alipo Dr Slaa hapako siri Wala hapajawahi kuwa Siri. Nilipowaaga Watanzania kupitia Azam TV na baadaye STarTV niliwaambia Watanzania kuwa ninaenda Sabbatical Leave. Nitatumia wakati huo kurudi shule, kujikumbusha mambo mbali mbali mapya katika maeneo yangu ya Masomo. Mwanzoni nilifikiria kuanza na masomo ya Sheria. Hata hivyo nimeanza na masomo ya Psychotherapy na Psychoanalysis. Kwa wale wanaojua Branches mbalimbali ya Falsafa ( Philosophia) watakumbuka kuwa nilisoma Psychology kama sehemu ya Masomo yangu ya Falsafa Seminari Kuu ya Kibosho. Sasa nimeona niingie kwa undani zaidi, kufahamu zaidi Tabia na mfumo wa akili ya Binadamu unavyofanya Kazi. Hadi sasa nimekwisha kuingia kwenye Module insyodeal na Cognitive Therapy, Strategic Family Therapy, Brief Therapy.

Wapenzi wangu nawaomba watulie tu. Kama nilivyowaambia Nimeachana na Active Party Politics, walidhani maana ya kauli hiyo ni kufunga Mdomo. Nilisema pale patakapohitaji kupiga kelele nitapiga kelele kupinga uonevu wa aina yeyote, kupinga ufisadi wa aina yeyote. Nitasimamia misingi yote muhimu katika Taifa langu kwa kutumia haki zangu za Kikatiba ( ikiwa ni pamoja na kusimamia uchumi wa Taifa letu.

Ungetusaidia sana kama pia kwenye psychoanalysis ungeangalia watu wanaoingilia ndoa za watu je wana matatizo ya akili au vipi?

Si vibaya unadodosa pia chanzo kikuu cha egocentric people kushindwa kutumia vioo kujitazama pima
 
Makamanda,
alipo Dr Slaa hapako siri Wala hapajawahi kuwa Siri. Nilipowaaga Watanzania kupitia Azam TV na baadaye STarTV niliwaambia Watanzania kuwa ninaenda Sabbatical Leave. Nitatumia wakati huo kurudi shule, kujikumbusha mambo mbali mbali mapya katika maeneo yangu ya Masomo. Mwanzoni nilifikiria kuanza na masomo ya Sheria. Hata hivyo nimeanza na masomo ya Psychotherapy na Psychoanalysis. Kwa wale wanaojua Branches mbalimbali ya Falsafa ( Philosophia) watakumbuka kuwa nilisoma Psychology kama sehemu ya Masomo yangu ya Falsafa Seminari Kuu ya Kibosho. Sasa nimeona niingie kwa undani zaidi, kufahamu zaidi Tabia na mfumo wa akili ya Binadamu unavyofanya Kazi. Hadi sasa nimekwisha kuingia kwenye Module insyodeal na Cognitive Therapy, Strategic Family Therapy, Brief Therapy.

Wapenzi wangu nawaomba watulie tu. Kama nilivyowaambia Nimeachana na Active Party Politics, walidhani maana ya kauli hiyo ni kufunga Mdomo. Nilisema pale patakapohitaji kupiga kelele nitapiga kelele kupinga uonevu wa aina yeyote, kupinga ufisadi wa aina yeyote. Nitasimamia misingi yote muhimu katika Taifa langu kwa kutumia haki zangu za Kikatiba ( ikiwa ni pamoja na kusimamia uchumi wa Taifa letu.

Nadhani unafurahia sana sasa ukiangalia kinachoendelea... SMH
 
So mbaya hata pesa ilimsaliti yesu, sembuse wewe kumsaliti lowasa na ukawa? Endelea kuponda maisha Baba, ulilolifanya sio geni hapa duniani, Mungu atatupigania ndani ya nchi yetu.
 
  • Thanks
Reactions: Art
Makamanda,
alipo Dr Slaa hapako siri Wala hapajawahi kuwa Siri......... Hata hivyo nimeanza na masomo ya Psychotherapy na Psychoanalysis. Kwa wale wanaojua Branches mbalimbali ya Falsafa ( Philosophia) watakumbuka kuwa nilisoma Psychology kama sehemu ya Masomo yangu ya Falsafa Seminari Kuu ya Kibosho. Sasa nimeona niingie kwa undani zaidi, kufahamu zaidi Tabia na mfumo wa akili ya Binadamu unavyofanya Kazi. Hadi sasa nimekwisha kuingia kwenye Module insyodeal na Cognitive Therapy, Strategic Family Therapy, Brief Therapy.

Wapenzi wangu nawaomba watulie tu. Kama nilivyowaambia Nimeachana na Active Party Politics, walidhani maana ya kauli hiyo ni kufunga Mdomo. Nilisema pale patakapohitaji kupiga kelele nitapiga kelele kupinga uonevu wa aina yeyote, kupinga ufisadi wa aina yeyote. Nitasimamia misingi yote muhimu katika Taifa langu kwa kutumia haki zangu za Kikatiba ( ikiwa ni pamoja na kusimamia uchumi wa Taifa letu.
Muzee umesomeka.
Huku bondeni tumekosa mtu wa kugawana nae mihogo na maharage.

Strategic family therapy ni muhimu sana hasa baada ya Mchungaji Mshenga kuanika vitu mbaya kadamnasi.

Mimi nilishindwa kukufahamu ulipokuwa unafanya zile press conferences zako lakini ndio tumeshapewa Makufuli na NEC.

Vipi unaona kuna umuhimu wa kupiga kelele kuhusu ZEC na CCM Zanzibar ili kusimamia misingi muhimu ya Taifa?

Dr, Funguka kidogo na nikutakie masomo mema na yenye manufaa kwako, na familia yako na Taifa kwa ujumla.

Kwangu bado napata tabu kuamini umeamua kung'atuka kutoka fani ya siasa hai. Chadema walikufanya nini?

Huku ni hapakazi tu.
 
Hana thamani tena, kachuja... Hata akirudi star TV hawatahangaika kumhoji.
 
Makamanda,
alipo Dr Slaa hapako siri Wala hapajawahi kuwa Siri. Nilipowaaga Watanzania kupitia Azam TV na baadaye STarTV niliwaambia Watanzania kuwa ninaenda Sabbatical Leave. Nitatumia wakati huo kurudi shule, kujikumbusha mambo mbali mbali mapya katika maeneo yangu ya Masomo. Mwanzoni nilifikiria kuanza na masomo ya Sheria. Hata hivyo nimeanza na masomo ya Psychotherapy na Psychoanalysis. Kwa wale wanaojua Branches mbalimbali ya Falsafa ( Philosophia) watakumbuka kuwa nilisoma Psychology kama sehemu ya Masomo yangu ya Falsafa Seminari Kuu ya Kibosho. Sasa nimeona niingie kwa undani zaidi, kufahamu zaidi Tabia na mfumo wa akili ya Binadamu unavyofanya Kazi. Hadi sasa nimekwisha kuingia kwenye Module insyodeal na Cognitive Therapy, Strategic Family Therapy, Brief Therapy.

Wapenzi wangu nawaomba watulie tu. Kama nilivyowaambia Nimeachana na Active Party Politics, walidhani maana ya kauli hiyo ni kufunga Mdomo. Nilisema pale patakapohitaji kupiga kelele nitapiga kelele kupinga uonevu wa aina yeyote, kupinga ufisadi wa aina yeyote. Nitasimamia misingi yote muhimu katika Taifa langu kwa kutumia haki zangu za Kikatiba ( ikiwa ni pamoja na kusimamia uchumi wa Taifa letu.

Baada ya CHADEMA kuingiliwa na manyang'au, Lowassa, Masha n.k., kwa nini usitoe msimamo wa nini wafusi wako wafanye katika kukabiliana na haya mafisadi?
 
Alipolopoka pale serena akasepa mara nikamwona startv akasepa mara akaja nikamwona na jk akiwa na chati la vyumba vyumba lkn alikuwa amekonda sn ladba tuanzie hapo kumtafuta

Asipopewa kitengo na CCM atakufa huyu mzee,
 
Tundu Lisu kwa kuwaambia watu diri za ndani za mzee Padre muasi Slaa alidhani atapotosha watu kutoka kwenye ukweli aliouzema Slaa kumve ilikua too late. Halafu UKAWA wanamtafuta mchawi kwanini wameshindwa uchaguzi mkuu wakati matokeo yalishabadilika wakati vinara wa kweli wa ukawa Prof Lipumba na Dr Slaa walipowatosa UKAWA
Ulimbukeni wa mapenzi umemponza huyo Dokta wenu
 
Nataka niulize pale azina kama.huwa halipwi kweli maana uzee ule kujidhalilisha c jambo dogo

Huyu analipwa kabisa mkuu na inasemekana hata anasomeshwa na CCM,labda kutafuta wachumba ndio pekee anafanya peke yake.
 
Dr...yuko anasoma...kwel elim haina.mwisho.....
 
Huyu analipwa kabisa mkuu na inasemekana hata anasomeshwa na CCM,labda kutafuta wachumba ndio pekee anafanya peke yake.

Kuwa mjinga uzee ni aibu ya watoto, wajukuu yaani kweli udr ni kila kitu
 
Back
Top Bottom