Dr. Wilbroad Slaa yuko wapi?

Dr. Wilbroad Slaa yuko wapi?

Overrated!!
CDM aren't realy doing well!, but they just think they are doing well lakini wako nyuma sanaa. Take it from me the avarage citizen.
CDM would be better off now with Dr Slaa than, who ever they have now.

Wako nyuma sana!!! How?
 
Lowasa alipigiwa kura kweli? Zilikuwa ngapi?
Kwa hiyo hao wabunge 150 walikuwa misukule?
Lubuva angepora matokeo ya ubunge wakati hawakugombea?
Hacha utani
nooo hyo wabunge 150 si propaganda zenu wapi imeandikwa kuwa atakuja na wabunge 150?? hilo swali alishawajibu akasema "mnataka wote waliokuwepo kule waje huku sasa nani atakayetupa siri zao" trust me HAO ambao magufuli anaowaita wasaliti ndio walisaidia kumpa ushindi mkubwa lowassa kupata kura nyingi ndani ya ccm.
lowassa aligombea kwa maridhiano ya viongozi wa UKAWA so kma ambavyo duni aliingia chadema na akapewa ugombea mwenza bila vikwazo na lowassa pia alikwisharidhiwa na viongozi wa UKAWA kuwa mgombea urais na kura zilipigwa za wazi kumuafiki pale ukumbini kma ndio mgombea wa ukawa na watu wote ukumbini walinyanyua mikono juu kwa furaha kuonyesha kuafiki yye ndie mgombea .
kuhusu lubuva sihitaji kukuelezea zaidi maana pia nna ndigu wengi tu huko chamani kwenu na ukitaka nifuate pm nikupe majina yao na hao bila aibu walinieleza jinsi walivyohangaika juu na chini kuhakikisha goli la mkono linamuokoa magu.... we kataa kubali ila wote tunajua kuwa magu kura hazikutosha na kwakuwa nguvu kubwa mliweka bara mkajikuta mmejisahau zenji mwisho ikabidi mfute tu matokeo maana kuiba mlichelewa
 
Ni siku nyingi zimepita tangu hekaheka za uchaguzi mkuu 2015 sijamsikia kabisa aliekua mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA mwaka 2010 Dr. Wilbrod Slaa.

Kwa mnaofahamu tujuzeni yupo wapi? Je kujitoa kwake CHADEMA ndio kumempoteza? Je kuna chombo chochote cha habar kimewahi kumtafuta na kumuuliza maoni yake juu ya utendaji wa serikali ya awamu ya tano? Kama ndio maoni yake nia yapi?.
Yupo nyumbani kwake
 
Kwa namba hizi hata yeye huko aliko atakuwa anazisoma kisirisiri tena kwa kirumi
 
Nyie wote walewale. (CCM=CDM)

Hata nyinyi yule mgombea urais wenu wa 2015 mlimuita fisadi kwa miaka 8.

Nyani haoni kundule.

Haaaahaaaaaa ccm bhana Dr.slaa alipokuwa chadema mbona mlimuita padri mzinifu sijui anatembea na mke mwenye size ya kuwa binti yake mara cjui chama kimemshinda toka lini leo hii amekuwa mzuri kwenu na nyie ndio mnafanya watu waamini mlimtumia kutaka kuibomoa UKAWA maana toka aondoke wana ccm wanamuita shujaa na mpinzani wa kweli. Ccm muache unafki mkae kimya mkiwa mnamtetea ndio mnazidi kufanya watanzania waamini mnamtumia.
 
engineer aliyeshirikiana na kina zitto na kuwafanya Vijana wa kileo kufatilia siasa na Hata kuipenda chadema
kuna msemo husemwa [HASHTAG]#fedha[/HASHTAG] fedheha watu walipenda fedha wakalisusa jembe Dr slaa na zzk sasa wanaumbuka
 
Mbona yupo huku kitaa karatu nmemuona wiki iliyopita Mara mbili...au ndio mnapaita Canada?
Canada zipo nyingi sana, dar peke yake zipo 2, bunju na Tegeta, huenda na karatu ipo
 
Ni siku nyingi zimepita tangu hekaheka za uchaguzi mkuu 2015 sijamsikia kabisa aliekua mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA mwaka 2010 Dr. Wilbrod Slaa.

Kwa mnaofahamu tujuzeni yupo wapi? Je kujitoa kwake CHADEMA ndio kumempoteza? Je kuna chombo chochote cha habar kimewahi kumtafuta na kumuuliza maoni yake juu ya utendaji wa serikali ya awamu ya tano? Kama ndio maoni yake nia yapi?.
yupo au unatariafa nyingine juu yake
 
Dr. Wilbroard Slaa ni pigo na pengo kubwa sana kwa upinzani, aseee tumekosa kauli za kufikrisha na kuumiza vichwa vyetu leo hii ni Tundu Lissu tu anaejitahidi ila viatu vya huyu mzee bado vina mpwaya sana, ana dissolve kiurahisi muno. Inaonekana yale maandamano ya zamani yalikuwa yanatokana na huyu mzee mana toka asepe maandamano yamekufa kabisa.
 
Back
Top Bottom