Dr. Wilbroad Slaa yuko wapi?

Dr. Wilbroad Slaa yuko wapi?

Dr Slaa alikuwa ni the most genuine patriotic politician kwa kipindi cha miaka ya 2000-2015, huyu jamaa ni moja kati ya wanasiasa ambao mchezo wa siasa wali uelewa na waliuweza. Na aliheshimika na kila mtu.

Of coz kuhusu sasa sidhani kama atakuwa ana furahia yanayo endela nchini, lakini pia kama angekuwepo Wapinzani wasinge kuwa kama walivo sasa kipindi hiki cha crisis. Toka aondoke hakuna aliye wezanl kuvaa buti yake.
Uongozi wa kipindi cha 2000-2015 unafanana na wa sasa? Kama ni Great thinker utaona kuna utofauti mkubwa sana thats why unaweza kumuona zitto yupo direction gani? Zito wa 2005 ni sawasawa na wa sasa? By the way ni maoni yako kama uko conscious mfuatilie [HASHTAG]#TUNDULISU[/HASHTAG] nyuma ya Dr.Slaa na sasa
 
duuh kumbe dr slaa hakuhusika kwenye kikao cha kumuingiza lowassa chadema??? kumbe dr slaa hakukubali lowassa awe mgombea urais?? tuacheni unafki watanzania hakuna cha usaliti wa mbowe ama laah kikao kilifanyika na kamati kuu ikaja na sauti moja ndio maana hukutokea mgawanyiko hta dr slaa alipoondoka. Yeye slaa alishakubali lowasa kuwa raisi sema mke akakataa yye akaona familia isigombane kisa siasa so akajiuzulu siasa full stop. Hayo mengine ni porojo tu za magazetini ila ukweli anaujua slaa na mke wake wa kwanni amehama chadema
Kuwa mjumbe wa kamati kuu aina maana kila kitu unakubali, kwenye vikao vya maamuzi ni wengi wape, kama hukubaliani na maamuzi ya kikao unajiuzuru, na hiyo ndo demokrasia!
Kwani kikao cha kamati kuu ndo kiliteua mgombea!? Au umesahau kidogo, kazi ya mkutano mkuu ilikuwa nini?
Au hukumbuki Mbowe alivyowabuluza wajumbe!
Alafu unasema Dr Slaa ndo anajua, sasa mbona unaongelea mambo yake ya Mume na Mke!?
Huwezi kuleta makapi ya ccm, ukatuambia ni wana chadema, hatutawakubali milele
 
Uongozi wa kipindi cha 2000-2015 unafanana na wa sasa? Kama ni Great thinker utaona kuna utofauti mkubwa sana thats why unaweza kumuona zitto yupo direction gani? Zito wa 2005 ni sawasawa na wa sasa? By the way ni maoni yako kama uko conscious mfuatilie [HASHTAG]#TUNDULISU[/HASHTAG] nyuma ya Dr.Slaa na sasa
let me assure you upinzani upo imara kuliko wakati wowote ule na lazima uelewe kuwa TAASISI ni zaidi ya watu ssa ukiinvest kwa mtu ndio madhara yake hayo hutawahi ku move on kwa kigezo cha ALITUSAIDIA sana. Trust me hata kesho mbowe akivuruga mambo na akashinikizwa ajiuzuru trust me hakuna atakayeondoka naye na chadema itaendelea kukuwa zaidi kma zitto na influence yote ile pamoja na slaaa waliondoka chadema ila bado kwa ushirikiano wa karibu na UKAWA especially wenzetu wa CUF ambao nao waliondokewa na kiongozi muhim sana kwenye chama bado tukaweza kupata ushindi mkubwa kuliko wakati wowote uke trust me kuwa then jua kwamba upinzani ni zaidi ya mtu mmoja. Na kma mlishindwa kugawanyika kupitia zitto na slaa basi hautawahi kugawanyika tena.
 
We jamaa unatema pumba kweli, kwanza slaa ni msaliti, hatutaki wasaliti sisi, yeye mwenyewe ampokee lowassa halafu eti anajiuzulu, mnafiki sana yule.
We unambishia Iceman third dimension, ??? Huyo ni moja ya intellectual from Chuga anajua anachokiongea, nenda mitaa ya Sakina utamkuta
 
Kuwa mjumbe wa kamati kuu aina maana kila kitu unakubali, kwenye vikao vya maamuzi ni wengi wape, kama hukubaliani na maamuzi ya kikao unajiuzuru, na hiyo ndo demokrasia!
Kwani kikao cha kamati kuu ndo kiliteua mgombea!? Au umesahau kidogo, kazi ya mkutano mkuu ilikuwa nini?
Au hukumbuki Mbowe alivyowabuluza wajumbe!
Alafu unasema Dr Slaa ndo anajua, sasa mbona unaongelea mambo yake ya Mume na Mke!?
Huwezi kuleta makapi ya ccm, ukatuambia ni wana chadema, hatutawakubali milele
sasa maana ya vikao ni nini?? si mnafanya decision as a group ili mtoke na msimamo mmoja kma chama?? wwe unafkiri hata UKUTA kila mwanachadema alikubaliana nao especially viongozi??? ila kwa kuwa mnaamua kama chama then ni kazi ya kila kiongozi na mwanachama kuusimamia uamuzi ule either uliusupport kwenye kikaoor not?? ASSUMING ALIMKATAA LOWASA KWENYE KIKAO sasa yye alitaka uamuzi wake uheshimiwe then uamuzi wa kina lisu mbowe baregu ukataliwe??? sasa hapo itakuwa kikao au udikteta??
muhim ni kuwa kikao mnajadili then mnapambana kwa hoja mwisho wa siku mnakuja na decision moja ssa yeye alikubali kumleta lowassa chadema ssa ilibidi asimamie mpka mwisho..... ssa kma alikuwa hamtaki angejiuzuru mapema sio kumkaribisha afu baadae anajiuzuru ukizingatia kwa shinikizo la mke wake so sad
 
let me assure you upinzani upo imara kuliko wakati wowote ule na lazima uelewe kuwa TAASISI ni zaidi ya watu ssa ukiinvest kwa mtu ndio madhara yake hayo hutawahi ku move on kwa kigezo cha ALITUSAIDIA sana. Trust me hata kesho mbowe akivuruga mambo na akashinikizwa ajiuzuru trust me hakuna atakayeondoka naye na chadema itaendelea kukuwa zaidi kma zitto na influence yote ile pamoja na slaaa waliondoka chadema ila bado kwa ushirikiano wa karibu na UKAWA especially wenzetu wa CUF ambao nao waliondokewa na kiongozi muhim sana kwenye chama bado tukaweza kupata ushindi mkubwa kuliko wakati wowote uke trust me kuwa then jua kwamba upinzani ni zaidi ya mtu mmoja. Na kma mlishindwa kugawanyika kupitia zitto na slaa basi hautawahi kugawanyika tena.
Ahsante.Thats why nilikuwa nampa info ndugu yangu alichokiongea sis sahihi. Kila kiongozi/Jambo vina wakati wake.
 
sasa maana ya vikao ni nini?? si mnafanya decision as a group ili mtoke na msimamo mmoja kma chama?? wwe unafkiri hata UKUTA kila mwanachadema alikubaliana nao especially viongozi??? ila kwa kuwa mnaamua kama chama then ni kazi ya kila kiongozi na mwanachama kuusimamia uamuzi ule either uliusupport kwenye kikaoor not?? ASSUMING ALIMKATAA LOWASA KWENYE KIKAO sasa yye alitaka uamuzi wake uheshimiwe then uamuzi wa kina lisu mbowe baregu ukataliwe??? sasa hapo itakuwa kikao au udikteta??
muhim ni kuwa kikao mnajadili then mnapambana kwa hoja mwisho wa siku mnakuja na decision moja ssa yeye alikubali kumleta lowassa chadema ssa ilibidi asimamie mpka mwisho..... ssa kma alikuwa hamtaki angejiuzuru mapema sio kumkaribisha afu baadae anajiuzuru ukizingatia kwa shinikizo la mke wake so sad
Haikuwa kazi Dr Slaa kuamua ni nani awe mwanachama!Lowasa ana haki ya kuwa mwanachama
Hapa issue ni Lowasa kuwa mgombea
Rejea uwongo alivyowadanganya viongozi wa chadema kuwa atakuja na wabunge 150 na wenyeviti kibao wa ccm!
Sasa alileta nini?

Siyo kazi ya katibu mkuu kuamua nani awe mwanachama!
Hapa tunaongelea ulaghai wa Lowasa kwa chadema,
Aliwaambia atakuja na wabunge 150, pamoja na wenyeviti 50 wa ccm!
Sasa alikuja na nini?
Kwa MTU mstaarabu na unayejielewa kama hukubaliani na maamuzi ya vikao, unajiuzuru ili waliokubaliana na hayo maamuzi waendelee
Wakulaumiwa ni Mbowe kwa nini aliendelea kutdanganya kuwa katibu mkuu yupo likzo wakati akijua Dr Slaa alishajizuru kwa kupinga mwizi kugombea urais kupitia CHAMA chetu!?
Kwa huo uamuzi hatujui nani mwenye madaraka makubwa ndani ya CHAMA kati mwenyekiti na mjumbe wa kamati kuu!
Time will tell
 
Mzee Slaa yupo Canada, na aliweka wazi kwamba ameamua kiachana na mambo ya siasa
 
Uongozi wa kipindi cha 2000-2015 unafanana na wa sasa? Kama ni Great thinker utaona kuna utofauti mkubwa sana thats why unaweza kumuona zitto yupo direction gani? Zito wa 2005 ni sawasawa na wa sasa? By the way ni maoni yako kama uko conscious mfuatilie [HASHTAG]#TUNDULISU[/HASHTAG] nyuma ya Dr.Slaa na sasa

Zitto wa 2005-2010 na wa 2010-12 na wa 2013- sasa, ni kina Zitto tofaut kabisa.
Dr Slaa kwanza hatakiwi awekwe kwenye level ya mwana siasa yeyote hata Zitto hayuko kwenye Class ya Slaa.
Najua mambo yamebadilika ndio maana nasema, Dr Slaa kwa uwezo wake wa kisiasa angeweza ku tackle ishu nyingi za sasa kuliko hawa wengine walio baki.
Pengine angeshindwa? May be maana huwezi jua, lakin nampa benefit of doubt kutokana na uwezo wake wa hali ya juu kuliko wana siasa wengine.
 
Dr Slaa alikuwa ni the most genuine patriotic politician kwa kipindi cha miaka ya 2000-2015, huyu jamaa ni moja kati ya wanasiasa ambao mchezo wa siasa wali uelewa na waliuweza. Na aliheshimika na kila mtu.

Of coz kuhusu sasa sidhani kama atakuwa ana furahia yanayo endela nchini, lakini pia kama angekuwepo Wapinzani wasinge kuwa kama walivo sasa kipindi hiki cha crisis. Toka aondoke hakuna aliye wezanl kuvaa buti yake.

Angekuwapo wafuasi wa Chadema wengi wangukuwa marehem/vilema, hii si awamu ya maandamano na migomo. Dk Slaa siasa zake za maandamano zingeleta maafa makubwa kwa cdm ni bora alivyopotea hii awamu inahitaji akili kuliko jazba na mihemko.
 
Hapa kwenye picha wewe ndio yupi
e36a59f6fc4b34ffe44042e190eb1d67.jpg
 
Attachments

  • chadema wadeki barabara.jpg
    chadema wadeki barabara.jpg
    25.9 KB · Views: 29
Haikuwa kazi Dr Slaa kuamua ni nani awe mwanachama!Lowasa ana haki ya kuwa mwanachama
Hapa issue ni Lowasa kuwa mgombea
Rejea uwongo alivyowadanganya viongozi wa chadema kuwa atakuja na wabunge 150 na wenyeviti kibao wa ccm!
Sasa alileta nini?

Siyo kazi ya katibu mkuu kuamua nani awe mwanachama!
Hapa tunaongelea ulaghai wa Lowasa kwa chadema,
Aliwaambia atakuja na wabunge 150, pamoja na wenyeviti 50 wa ccm!
Sasa alikuja na nini?
Kwa MTU mstaarabu na unayejielewa kama hukubaliani na maamuzi ya vikao, unajiuzuru ili waliokubaliana na hayo maamuzi waendelee
Wakulaumiwa ni Mbowe kwa nini aliendelea kutdanganya kuwa katibu mkuu yupo likzo wakati akijua Dr Slaa alishajizuru kwa kupinga mwizi kugombea urais kupitia CHAMA chetu!?
Kwa huo uamuzi hatujui nani mwenye madaraka makubwa ndani ya CHAMA kati mwenyekiti na mjumbe wa kamati kuu!
Time will tell
anayeamua mgombea urais ni mbowe au mkutano mkuu?? mkutano mkuu wakimpigua kuda nyingi sana lowassa na akawa ameshinda?? fomu zilikuwa wazi naye kma mwanachama yeyote yule akachukua fomu hakuna shortcut yotote lowasa alipitia..... sasa kma alimkubali yye kuwa mwanachama kwanni akatae lowassa kutumia haki yake ya kugombea nafasi yoyote ya uongozi ndani ya chama???? mbona yye alikatawa ccm ubunge alipokuja chadema aliruhusiwa kugombea ubunge karatu bila masharti ssa kwanni kwa lowassa iwe nongwa???
khusu wabunge 150 na propaganda zenu zote labda niseme unafkiri lowassa angeshinda bila kura za wana ccm wenzake waliotaka mabadiliko??? hao 150 kma unavyitaka tuamini basi unajuaje kma ndio waliosababisha ccm ianguke vibaya na kuokolewa na lubuva and jecha??? hvi hujui kwanni magufuli ana lia na wasaliti ndani ya chama??
 
Wh
Atarudi Bongo kuomba msamaha arudi kwenye nafasi yake Chadema
What? Are you serious? Dr Slaa hawezi kujidhalilisha namna hiyo! Wamewezekana hao hao waliobaki waliomtanganza mtu fulani fisadi miaka 8 lakini sasa wanamuita malaika! Unafiki gani huu!!
 
anayeamua mgombea urais ni mbowe au mkutano mkuu?? mkutano mkuu wakimpigua kuda nyingi sana lowassa na akawa ameshinda?? fomu zilikuwa wazi naye kma mwanachama yeyote yule akachukua fomu hakuna shortcut yotote lowasa alipitia..... sasa kma alimkubali yye kuwa mwanachama kwanni akatae lowassa kutumia haki yake ya kugombea nafasi yoyote ya uongozi ndani ya chama???? mbona yye alikatawa ccm ubunge alipokuja chadema aliruhusiwa kugombea ubunge karatu bila masharti ssa kwanni kwa lowassa iwe nongwa???
khusu wabunge 150 na propaganda zenu zote labda niseme unafkiri lowassa angeshinda bila kura za wana ccm wenzake waliotaka mabadiliko??? hao 150 kma unavyitaka tuamini basi unajuaje kma ndio waliosababisha ccm ianguke vibaya na kuokolewa na lubuva and jecha??? hvi hujui kwanni magufuli ana lia na wasaliti ndani ya chama??
Lowasa alipigiwa kura kweli? Zilikuwa ngapi?
Kwa hiyo hao wabunge 150 walikuwa misukule?
Lubuva angepora matokeo ya ubunge wakati hawakugombea?
Hacha utani
 
Dr Slaa alikuwa ni the most genuine patriotic politician kwa kipindi cha miaka ya 2000-2015, huyu jamaa ni moja kati ya wanasiasa ambao mchezo wa siasa wali uelewa na waliuweza. Na aliheshimika na kila mtu.

Of coz kuhusu sasa sidhani kama atakuwa ana furahia yanayo endela nchini, lakini pia kama angekuwepo Wapinzani wasinge kuwa kama walivo sasa kipindi hiki cha crisis. Toka aondoke hakuna aliye wezanl kuvaa buti yake.
He is overrated!

CDM are doing real well at this time more than at any moment in their history..beggining with approach and output.

The only PROBLEM is - THE WAY THEY ARE DOING AIN'T THE WAY YOU EXPECTED...take it or leave it!!!
 
Overrated!!
CDM aren't realy doing well!, but they just think they are doing well lakini wako nyuma sanaa. Take it from me the avarage citizen.
CDM would be better off now with Dr Slaa than, who ever they have now.
 
Back
Top Bottom