wewe umeshawah kuleta uzushi humu mara nyingi.
Safari hii utaaibika ,siamini kama Na wewe mchumia TumboNina akili timamu kabisa. Nina tuzo za uandishi wa habari za uchunguzi. Amini nilichoposti hapa.
Nina akili timamu kabisa. Nina tuzo za uandishi wa habari za uchunguzi. Amini nilichoposti hapa.
Kamanda sijawahi kuposti upuuzi.
Mod, najua wapo watakaobeza na hata kutukana lakini napata ushujaa wa kuyasema haya. Dk. slaa usiku huu anaingia makao makuu kukabidhi gari, kadi, walinzi na cheo. Anajitoa chadema. Naomba uzi huu uachwe hapa hapa ili baadaye nihukumiwe kwa haki.
Chanzo: mimi mwenyewe.
Asipoondoka tukufanye nini?
I bet mleta mada sio Manyerere