Dr. W. Slaa anaondoka CHADEMA


Lengo halikuwa kumtoa kenge ukamuweka mamba! Fikiria kabla hujafanya maamuzi ya kuleta mawazayako hapo
 
Ewe mwandishi uliyekuwa na Tuzo za uandishi wa habari za uchunguzi, kama lipo ulisemalo nilitegemea Mpaka sasa kuona hata dalili ya post kwenye mitandao but still kimya. Hii inadhihirisha ni kweli Dr. Anapata wakati mgumu kuchangamana na Mh. Lowassa lakini bado ni vigumu kwa yeye kuchagua kufurahisha kundi kubwa la mafisadi walioko CCM na mfumo wao kwa ajili ya yule mmoja aliyeamua kubadilika na kuchagua njia sahihi
 
kiongozi bora ni yule ayejua msimamo wake na anaweza kusimamiya msimamo wake.
 
Nilikuwepo leo pale ufipa,pengine kutokana na watu kuwa wengi sikumuona.Dr,ila kuna picha nimeiona Dr akiwasili pale ufipa katika shughuli ya kimkabidhi Dr Fomu
Hata kama hii habari haitakuwa kweli (naamini ni kweli kwa kuwa J Manyerere ni mzee mwenzangu na huwa hasemi uongo) lakini kitu kimoja ni hakika kwa kuangalia matukio: kwamba Dr. Slaa hajafurahishwa na ujio wa EL. Haiwezekani Katibu Mkuu wa Chama asiwepo kwenye tukio la kukaribishwa EL na pia katika tukio la kuchukua Form bwna EL.
 

Na kawaida katibu mkuu ndio anatoa fomu kumkabidhi mgombea
 

Hutaki Dr afanye maamuzi sahihi kwa maslai mapana ya taifa...bila shaka wewe utakuwa mnufaika wa zile 10 bn
 
Kwani shida ni nini
Tusubiri kesho tuone tumhukumu mwandishi
 

The world post.. I salute you 100times.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…