nabiidaniel
JF-Expert Member
- Feb 25, 2014
- 2,087
- 2,844
Ila kama kweli lengo lenu ilikuwa kutuweka roho juu... nimeudhika sana... sijui niwatukane?Asante sana strategists wa Chadema kwa hii movie, kwa leo niishie hapo.
Ila kama kweli lengo lenu ilikuwa kutuweka roho juu... nimeudhika sana... sijui niwatukane?Asante sana strategists wa Chadema kwa hii movie, kwa leo niishie hapo.
kuna mtu amehack hii akaunt itakuwa si ya manyerere jackton
Kwa kweli kama Dk slaa ukifanya maamuzi mazuri kama hayo yan ww utakuwa mwanaume wa shokaaaa bigup slaaaaNajua wapo watakaobeza na hata kutukana lakini napata ushujaa wa kuyasema haya. Dk. slaa usiku huu anaingia makao makuu kukabidhi gari, kadi, walinzi na cheo. Anajitoa chadema. Naomba uzi huu uachwe hapa hapa ili baadaye nihukumiwe kwa haki.
Chanzo: mimi mwenyewe.
Pigo kubwa kwa CHADEMA. Wabaki mafisadi tu
Naendelea kusisitiza, amini niliyoyaleta hapa. Hili si jukwaaa la porojo na wala siwezi kushusha hadhi yangu kwa kuleta uongo. Dk. Slaa anaondoka usiku huu. Take my word.
Mleta mada kabla ya Thread hii nilikuwa nakuheshimu sana bt nw.....
Dr Slaa hawezi kuodoka Chadema hata Kama mtajaribu kumnunua kwa mabilioni.
Dr Slaa si mroho Wa vyeo kiasi kwamba asipopewa nafasi ya kugombea urais ndio aondoke kwenye Chama!
Sasa mkuu umeongea na mkewe au SlaaNimezungumza na Dr. Slaa jioni anasema huo ni uzushi. Hajajiuzulu wala walatoki Chadema. Mkewe alipokea simu na kugomba
mnafiki anajichanganya...