Kimbunga
Platinum Member
- Oct 4, 2007
- 14,952
- 10,037
Haya Zitto aliyasema hayaSiondoki chadema INA jasho langu LA kutosha!! Dr slaa
Haya Zitto aliyasema hayaSiondoki chadema INA jasho langu LA kutosha!! Dr slaa
Kwani Tumaini Makene yupo wapi mbona ishu kama hz hazitolei ufafanuzi haraka
Slaa kahongwa hela hiyo inajulikana..aisee.slaa kweli wananchi mamilion nyuma yake leo unatakankuwasaliti kwa style hii..kweli ccm itatawala milele
Namheshimu sana huyu mzee...extremely principled...huwa hapindishi kama "mwenyekiti"
Huyo Ndiyo Mwanaume na siyo wale akina Mbowe, Tundu Lisu,Lowasa &Co.!
Ndiyo Slaa wewe ndiyo ulipikwa na ukapikia na Unasimama kwa kile unachokiamini na siyo kuyumbishwa na kununulika Fedha, Mungu akutangulie kwenye safari yako, mchango wako unajulikana, na hakuna takataka yoyote yule atakayeweza kulifuta Hilo!
.
.
.
Respect!
....ndio maana nimesisitiza kwenye bandiko langu kuwa siamini bado taarifa hii....na nilichoandika ni angalizo tu kwa dr. Slaa....asifanye maamuzi ya kuacha chama wakati huu muhimu...bali ajue kuwa chama kwanza mengine baadae....Lengo wamelisisitiza wenyewe kuwa ni kuwatoa ccm madarakani kwa namna yoyote....na sasa wamempokea lowassa kama mkakati maalumu wa kuwatoa ccm madarakani....basi wasimame pamoja na wenzao wa UKAWA .....ili wafanikishe hili...Mambo mengine yaje baadae....Ningependelea sana wakati huu kuskia kuwa Dr. Slaa anakwenda kugombea ubunge Karatu....ama jimbo lolote hapa dar....maana hakika atashinda....alafu wakiwatoa ccm madarakani hawa ndio future leaders wa taifa hili....kuna nafasi lukuki wakifanikiwa.....zikiwamo uwaziri mkuu nk.....Tuweke akiba....tukumbuke mapito.....tusubiri uhakika wa taarifa hizi.....
Slaa kahongwa hela hiyo inajulikana..aisee.slaa kweli wananchi mamilion nyuma yake leo unatakankuwasaliti kwa style hii..kweli ccm itatawala milele
Hapa ni dhahiri kwamba Mbowe ndiye Msalitislaa ndio katusaliti au Mbowe?
Nimezungumza na Dr. Slaa jioni anasema huo ni uzushi. Hajajiuzulu wala walatoki Chadema. Mkewe alipokea simu na kugomba
Hili ni tukio kubwa na muhimu katika historia ya nchi yetu, hakika tunakwenda kuizila ccm
Nina akili timamu kabisa. Nina tuzo za uandishi wa habari za uchunguzi. Amini nilichoposti hapa.
Slaa kahongwa hela hiyo inajulikana..aisee.slaa kweli wananchi mamilion nyuma yake leo unatakankuwasaliti kwa style hii..kweli ccm itatawala milele
lowasa alisema ccm si mama yake, kwani Slaa yeye cdm ni mama yake?!Si kweli, kuondoka kwa Dr Slaa cdm ni kama kukata mti kwa chini ukiwa juu umeukwea!