Dr. W. Slaa anaondoka CHADEMA

Dr. W. Slaa anaondoka CHADEMA

Acha uongo wako Dr. Slaa in kiongozi anajua siasa lengo lake no kuhakikisha ccm inaondoka madarakani
 
Mungu ni mwema sana..ana makusudi makubwa na siasa za Tanzania..ni wakati wa kuliombea taifa letu pendwa..ni wakati wa kushikamana kwa upendo,utu,heshima,ustahimilivu mkubwa..Kila linalotokea na kutimilika Mungu ameruhusu litokee kwa sababu..Tumshukuru Mungu kwa kila jambo..
 
Tulia dawa ikuingia mbona umepagawa Dr.Slaa anaenda kumuangukia Zitto sijui mtafanyaje mtabakia na fisadi Lowassa wasiwasi wa nini.
Mkuu rais ya mioyo ya watanzania ndani ya CHADEMA yupo kama hayupo! Kuna siku server ya JF itapigwa kombora ili tusiweze ku retrieve baadhi ya kauli za makamanda ambazo wamekuwa wakizitoa humu.
 
attachment.php
Hawa watoto ndiyo watakaompigia kura fisadi Lowassa nasikia wote wamejiandikisha jana.
 
Tulia dawa ikuingia mbona umepagawa Dr.Slaa anaenda kumuangukia Zitto sijui mtafanyaje mtabakia na fisadi Lowassa wasiwasi wa nini.

Dr Slaa hawezi kufanya hivyo maana nako huko atakuwa ameramba matapishi yake, kweli tuweke akiba ya maneno.

Ni Chadema ndio wanapaswa wamuangukie Dr Slaa, wakikubali Dr Slaa aondoke sasa athari zake hawataweza kuzimudu sasa.
 
Najua wapo watakaobeza na hata kutukana lakini napata ushujaa wa kuyasema haya. Dk. Slaa usiku huu anaingia makao makuu kukabidhi gari, kadi, walinzi na cheo. Anajitoa CHADEMA. Naomba uzi huu uachwe hapa hapa ili baadaye nihukumiwe kwa haki.

Chanzo: Mimi mwenyewe.

vita inaendelea,wapo watakaofia vitani,wapo watakaopata majeraha lakini mapambano hayatakoma mpaka ushindi upatikane
 
Maamuzi ya dr.Slaa haya ya kuondoka CDM yamenifurahisha sana,kwamaana yanaendana na mawazo yangu. Nilipodhibitisha ujio wa Lowasa UKAWA nilisema pamoja na kuwa kura yangu ni moja lkini inathamani kubwa. UKAWA siwapi kura yangu kwa upuuzi walioufanya.Bravo@dr.Slaa
 
Kwani Dr. Silaa si bado ana nafasi ya kuchukua fomu kuomba ridhaa ya kuchaguliwa. Hoja ya yeye kuondoka mbona haina msingi. hadi leo Dr. Silaa alikuwa amechukua fomu ya kugombea uraisi?
 
Whatever happens huyu Babu asingekuwa Raisi wa hii nchi, yeye aende popote, inaonesha yeye ndo mwongo kuhusu ufisadi wa Lowasa
 
Dr Slaa yupo, haondoki chadema, yupo na ataendelea kuwepo daima.

Dah asante sana Mkuu,huyu mleta maada nimemuuliza zaidi ya mara mbili,Dr Slaa kwa nini akakabidhi vifaa usiku,hajajibu.Watu wengine pamoja na heshima zao na kutumia verified User Names bado wanadiriki kujishushia hadhi kwa siasa nyepesi nyepesi tu.Mkuu Invisible please mpatie haki yake mleta maada ikifika kesho asubuhi.
 
Last edited by a moderator:
Najua wapo watakaobeza na hata kutukana lakini napata ushujaa wa kuyasema haya. Dk. Slaa usiku huu anaingia makao makuu kukabidhi gari, kadi, walinzi na cheo. Anajitoa CHADEMA. Naomba uzi huu uachwe hapa hapa ili baadaye nihukumiwe kwa haki.

Chanzo: Mimi mwenyewe.

Weka updates uhukumiwe mkuu!
 
Dr Slaa hawezi kufanya hivyo maana nako huko atakuwa ameramba matapishi yake, kweli tuweke akiba ya maneno.

Ni Chadema ndio wanapaswa wamuangukie Dr Slaa, wakikubali Dr Slaa aondoke sasa athari zake hawataweza kuzimudu sasa.
Mkuu siku hizi si tunaambiwa siasa ni science uwa hamna adui wa kudumu.
 
Acha uongo wako Dr. Slaa in kiongozi anajua siasa lengo lake no kuhakikisha ccm inaondoka madarakani

Kuna watu wasiojua siasa ambao kwao lengo ni vyeo, lakini kuna watu ambao lengo lao la siasa ni msingi wa anachosimamia.Sio jambo rahisi kweli kwa Dr Slaa ambaye maisha yake yote amesifika kama mpambanaji wa ufisadi na ambaye amemtuhumu sana tena akisema ana ushahidi usio na shaka kuwa Lowassa ni fisadi alafu leo ampigie kampeni ya uraisi.Sio jambo rahisi sana.
 
Back
Top Bottom