Naendelea kusisitiza, amini niliyoyaleta hapa. Hili si jukwaaa la porojo na wala siwezi kushusha hadhi yangu kwa kuleta uongo. Dk. Slaa anaondoka usiku huu. Take my word.
Naendelea kusisitiza, amini niliyoyaleta hapa. Hili si jukwaaa la porojo na wala siwezi kushusha hadhi yangu kwa kuleta uongo. Dk. Slaa anaondoka usiku huu. Take my word.
Ni wapi imeandikwa Slaa anahama? Imeandikwa anaondoka, sasa kwani kuondoka ni lazima ahamie sehemu nyingine?
Huyo Ndiyo Mwanaume na siyo wale akina Mbowe, Tundu Lisu,Lowasa &Co.!
Ndiyo Slaa wewe ndiyo ulipikwa na ukapikia na Unasimama kwa kile unachokiamini na siyo kuyumbishwa na kununulika Fedha, Mungu akutangulie kwenye safari yako, mchango wako unajulikana, na hakuna takataka yoyote yule atakayeweza kulifuta Hilo!
.
.
.
Respect!
Najua wapo watakaobeza na hata kutukana lakini napata ushujaa wa kuyasema haya. Dk. slaa usiku huu anaingia makao makuu kukabidhi gari, kadi, walinzi na cheo. Anajitoa chadema. Naomba uzi huu uachwe hapa hapa ili baadaye nihukumiwe kwa haki.
Chanzo: mimi mwenyewe.
Dr Slaa hawezi kuodoka Chadema hata Kama mtajaribu kumnunua kwa mabilioni.
Dr Slaa si mroho Wa vyeo kiasi kwamba asipopewa nafasi ya kugombea urais ndio aondoke kwenye Chama!
Najua wapo watakaobeza na hata kutukana lakini napata ushujaa wa kuyasema haya. Dk. slaa usiku huu anaingia makao makuu kukabidhi gari, kadi, walinzi na cheo. Anajitoa chadema. Naomba uzi huu uachwe hapa hapa ili baadaye nihukumiwe kwa haki.
Chanzo: mimi mwenyewe.
Naendelea kusisitiza, amini niliyoyaleta hapa. Hili si jukwaaa la porojo na wala siwezi kushusha hadhi yangu kwa kuleta uongo. Dk. Slaa anaondoka usiku huu. Take my word.
Hadhi yako kushi-neh huna tofauti Na mtu aliyejinyeaNaendelea kusisitiza, amini niliyoyaleta hapa. Hili si jukwaaa la porojo na wala siwezi kushusha hadhi yangu kwa kuleta uongo. Dk. Slaa anaondoka usiku huu. Take my word.
Nina akili timamu kabisa. Nina tuzo za uandishi wa habari za uchunguzi. Amini nilichoposti hapa.
Kwa nini Dr alishindwa kutumia influence yake kwenye kamati kuu kuzuia hili fisadi kuhamia CDM? Nashindwa kabisa kuelewa haya mambo.Nitakua na amani sana kama Dr Slaa atachukua uamuzi huu.
Hata kama ukawa watashinda sipendi kuona Slaa akiwa sehemu ya ushindi heshima yake ni kubwa sana.
Historia ya upinzani itamlinda .
Liza-bomu kwenye kiwango chakePigo kubwa kwa CHADEMA. Wabaki mafisadi tu