Dr. W. Slaa anaondoka CHADEMA

kuna mtu amehack hii akaunt itakuwa si ya manyerere jackton

Kwa kweli kama Dk slaa ukifanya maamuzi mazuri kama hayo yan ww utakuwa mwanaume wa shokaaaa bigup slaaaa
 
Aennde tu mana hakunna namna nyingine lakini ukawa tunasonga mmbele daima
 
Naendelea kusisitiza, amini niliyoyaleta hapa. Hili si jukwaaa la porojo na wala siwezi kushusha hadhi yangu kwa kuleta uongo. Dk. Slaa anaondoka usiku huu. Take my word.

Mkuu kuna watu wana bp za kupanda.twende taratibu kidogo
 
Ni kweli anaondoka, amesema hawezi kukengeuka na mambo ya kupita, anaamini alichokuwa anakitetea miaka yake yote ya kutumikia Chadema, wenye haraka acha watangulie
 
Si kweli, kuondoka kwa Dr Slaa cdm ni kama kukata mti kwa chini ukiwa juu umeukwea!
 
Slaa kahongwa hela hiyo inajulikana..aisee.slaa kweli wananchi mamilion nyuma yake leo unatakankuwasaliti kwa style hii..kweli ccm itatawala milele
 
Bado hajakabidhi tu huko ofisini? Ni kwa nini afanye makabidhiano usiku?
 
Dr wa ukweli hawezi kukubali kula matapishi yake.
Asimamie kile anachokiamini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…