Few months ago, kuna member mmoja hapa aliulizia juu ya dr. Ulimboka.
Nimeutafuta ule uzi sijauona!!
So kwa kupitia thread hii, naomba nimjulishe kuwa dr ulimboka yuko poa, nimekutana nae jioni hii hapa boma - hai.
Nimeongea nae!
Yuko poa and ok.
Mungu walinde wote wanaoteswa kwa ajili ya kutetea haki.
Amen!!
raia masikini wengi walikufa sababu ya huo mgomo wa madaktari wakiongozwa na uyo ulimboka,viongozi wa utibiwa nje waliokufa ni masikini.
Uyo Ulimboka alivuna alichopanda na siku zote malipo ni hapa hapa duniani.
migomo yenyewe haikusaidia waliambiwa kama utaki kazi uache,mishahara waliyotaka ni sawa na bajeti nzima hivo tungesimamisha shughuli zote tungekuwa tunalipa mishahara tu.
uyo ni muuaji mkubwa
Mungu atakulaani wewe, kizazi chako na wengine wote walio na wanaopotosha ukweli. Ukweli ni kuwa mishahara haikuwa ajenda namba moja bali huduma bora za afya. Watanzania wengi walikufa na wanaendelea kufa kwa sababu zile ambazo zilipiganiwa na madaktari. Unafiki wenu wa kubadili madhumuni ya migomo ya watumishi utawahukumu siku ya mwisho.
Ni kweli mkuu mgomo wenyewe ulikuwa wa kishamba mambo mengine hayatekelezeki kabisa halafu wao wamekomaa lakini ni wazi kuwa walikuwa na lao jambo siyo bure.atakulaani wewe mwenyewe,ule mgomo wa madaktari ulisababisha vifo vya masikini wala siyo kukomoa viongozi.Pamoja na kugoma nini kimebadilika? zaidi waliambiwa waache kazi na wao wenyewe wakajirudisha kazini.
Kuna njia nyingi za kufikisha malalamiko siyo kwa mgomo,madaktari wakigoma ni mahafa makubwa sana kwa raia masikini.Ndugu yako angekufa kwa sababu ya mgomo huo ndio ungeelewa nini nasema.
Najua Tanzania na nchi nyingi za Africa tuna matatizo kwenye sekta za Afya tofauti na nchi zilizoendelea lakini lazima ujue maendeleo hayaji kwa siku moja,ulaya wameanza kuendelea toka karne ya 15,kamwe usijifananishe nao.
Cha muhimu serikali iboreshe sekta za afya lakini madaktari wanaogoma wanakomoa wananchi masikini,wenye uwezo wanaenda hospitali binafsi ,wengine ata nje ya nchi.
usilete siasa hapa angalia wanaotaabika ni hakina nani,uyo ulimboka kitendo alichofanyiwa siyo kizuri ila siwezi kumuonea huruma sababu kuna watu walikufa kwa sababu ya kuongoza huo mgomo uliokuja kushindwa.
Na ata hao madaktari walimsaliti ,kwenye shida hawakuwa naye,mgomo wa madaktari usiufananishe na migomo ya bodaboda au wasukuma mikokoteni.
Madaktari wakigoma ni majanga wala usiunge mkono,huyo ulimboka ni smart kwako tu,mi kwangu ni muhuaji tena aliyetelekezwa na madaktari wenzake
Tapeli alikuwa anayafuta umaarufu ameupata
Dah.....kweli we kiaziraia masikini wengi walikufa sababu ya huo mgomo wa madaktari wakiongozwa na uyo ulimboka,viongozi wa utibiwa nje waliokufa ni masikini.
Uyo Ulimboka alivuna alichopanda na siku zote malipo ni hapa hapa duniani.
migomo yenyewe haikusaidia waliambiwa kama utaki kazi uache,mishahara waliyotaka ni sawa na bajeti nzima hivo tungesimamisha shughuli zote tungekuwa tunalipa mishahara tu.
uyo ni muuaji mkubwa
ulimboka ni bonge la mshamba.i was very wrong to think he was a real activist/hero kumbe boya tuu.alishindwa kusimamia alicho kianzisha bada ya kurejea toka SA.ccm wakamtekenya kidogo nae akatekenyeka na sasa kalegea kabisa.nchi hii bhana hakuna mtu real karibu wote ni ma-pretender.nyambafffff uli.