Hata likitokea lile ambalo baadhi yetu hatutaki litokee ukweli ni kwamba serikali ya CCM inawajibika moja kwa moja kwa kilichomtokea.
Hebu achaneni na haya mambo ya mungu bana....huyo mungu alikuwa wapi wakati jamaa anatekwa na wakati anapewa kipondo? Kwa nini hakuzuia hayo yote kutokea?
Hebu achaneni na haya mambo ya mungu bana....huyo mungu alikuwa wapi wakati jamaa anatekwa na wakati anapewa kipondo? Kwa nini hakuzuia hayo yote kutokea?
mnasema kuna ulinzi mkali wa wenyewe madaktari?? hao wanaomponya mnauhakika nao????? kuna yeyote kati yenu kawahii Kuangalia picha inaitwa 24????.kama ndio basi mtapata jibu nini naamanisha.....
naam ni wengi.na nikujulishe tu pia kuwa wako wamama wengi wanaokufa (martenal deaths) kwa kukosa ambulance au mafuta ya kujaza kwenye ambulance kuwapeleka hosp na wangine wengi wanafia huko hosp kwa kukosa 'madaktari' ,vifaa na au madawa.hali kadhalika kwa watoto wadogo wengi wanakufa kila siku kwa kukosa dawa au vifaa basic tu mfano oxygen nk.vifo vya namna hii vipo vingi sana lakini pia haviandikwi huku jf maana jf itajaa thread hizo tu kama likifanyika hilo.Dr Ulimboka alitapatwa na aliyoyapata kutoka kwa serikali yako dhaifu na wauji kwa sababu alikuwa anawapigani hao ambao hatuwandiki humu wala hamna anayefatilia habari zao pia anapigania HAKI ya wanaowahudumia hao.Even if he dies(Mungu atuepushe na hilo),ameanzisha movement ambayo it will never be cracked down by threats,police,army,courts or killings.surely i tell u.Hapana wangapi wanokufa kwa kukosa matibabu na hamuandiki humu JF
ashukuru Mungu kua ni mtu anajulikana, leo hii kuna binadamu wengine ambao wametekwa na majambazi au wameumizwa vibaya hawataweza kupata huduma kama ya huyo doctor kwa kua madaktari wako kwenye mgomo
Hapana wangapi wanokufa kwa kukosa matibabu na hamuandiki humu JF
kuna kitu amelishwa huyo na anaweza potea bila kuongea chochote kile inabidi kitu kifanyike mapema ukweli ndo unapotea hivyo lets only play
Si kweli kabisa.Ulimboka na Nyerere tunamhitaji nani? Kafe Nyerere sembuse Kiongozi wa MigomoMUNGU sikia kilio chetu, mmponye huyu mtu. Tunamuhitaji sana.
acha upumbavu,, tena funga huo mdomo wako kama umekosa cha kuchangia., badala ya kujenga wewe unabomoa.