Dr slaa ziarani katika mikoa ya shinyanga, Kigoma, Tabora na Singida.

Sijuwi Kama atapata watu! Waitara yupi? Mkuu wa Majeshi?

Halafu jifunze juu ya uandishi uliosahihi! Jifunze kuweka paragraph na matumizi ya herufi kubwa!

Next time ntakutoza kwa uhakiki wa thread yako yaani proof reading!
 
michango mingine ni kujidhalilisha tu
 
Kila la heri Dr. Slaa na timu ya CHADEMA mikoani.

Dr. Slaa nina swali dogo:
Kamanda Alphonce Mawazo amefanya kazi nzuri vijijini katika Kanda ya Ziwa kwa takriban miaka miwili sasa. Kwa vile Tume ya Uchaguzi (NEC) imetangaza mwezi Februari 2014 kuwa zitafanyika chaguzi za madiwani ktk kata 26 (naomba nirekebishwe kama nimekosea hapo), na huenda Kamanda Mawazo akaurdi Arusha kwenda kugombea, Je mna mkakati gani kuhakikisha kazi kubwa na nzuri ya Bw. Mawazo na timu yake inaendelea?

b) Kupata watu kama Kamanda Mawazo katika vijiji vingi zaidi na Kata ili moto wa mabadiliko, uwajibikaji na maendleo yawafikie wananchi wengi zaidi? Asante.
 
KAZI NJEMA "THE NEXT PRESIDENT OF TANZANIA" WATASHINDANA NASI LAKINI HAWATASHINDA "kwani mkono wa mungu upo na CDM"
Hivi wewe unategemea Slaa atakuja awe raisi?kweli unaota ndoto za mchana,nani achague zee la miaka 70 kutuongoza maisha yenyewe ya africa,likitufia kabla miaka 5 haijaisha?tuingie hasara Thubuuuuutu
 
mimi ni mkristo hiyo hainiumi kama mapadri na wachungaji walivyojazana chadema

Mimi Mkristo inaniuma kuona Gaidi Shekh Ilunga anatamka hadharani Mapadri wauawe lakini hakamatwi kwa sababu Viongozi wengi wa CCM ni Waislamu hivyo wanambeba Muislamu mwenzao.
 
Kigoma anatemebele jimbo gani huyo padriiiiiii

Udini jamani...mwacheni mungu aitwe mungu,msitake kupandikiza udini ktk kila jambo,mie sipendi tofauti kama hizi.kama huna la kuongea usiwakarahishe wengine.
 
Unawekaje Ziara ya Katibu Mkuu kwenye Mtandao Waitara? Tujifunze kufanya kazi kwa Taratibu za kiofisi sasa Si kila kitu jamiiforum. Tujirekibishe kwa hili sasa
 
chacha-wangwe.jpg

Mzimu huu utawafuata Popote Walipo katika Maisha yao yaliyobaki.

ccm mzimu wa korimba umewamaliza.
 
Mimi Mkristo inaniuma kuona Gaidi Shekh Ilunga anatamka hadharani Mapadri wauawe lakini hakamatwi kwa sababu Viongozi wengi wa CCM ni Waislamu hivyo wanambeba Muislamu mwenzao.

We leta utani na mgaidi tu! Ukiwaona utaongea huo ----- wako?
 
Rais anayeongoza kupitia kwenye mioyo wa Watanzania tunakuamini sana............. Piga kazi Rais Dr.W.Slaa watanzania tupo nyuma yako

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Hivi wewe unategemea Slaa atakuja awe raisi?kweli unaota ndoto za mchana,nani achague zee la miaka 70 kutuongoza maisha yenyewe ya africa,likitufia kabla miaka 5 haijaisha?tuingie hasara Thubuuuuutu

Hebu tumuulize huyo aliandika eti " watashindana nasi lakini hawatashinda" na kusema eti wana Mungu! Ame Quote biblia, kwa maana hiyo sisi tusiokuwa na dini chadema haituhusu!
 
Rais anayeongoza kupitia kwenye mioyo wa Watanzania tunakuamini sana............. Piga kazi Rais Dr.W.Slaa watanzania tupo nyuma yako

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums

Kwenye mioyo ya wagalatia na wanakaskazini.
 
Last edited by a moderator:
Watu wanatoa kamasi kusikia Rais anapitia maeneo fulan ya mwandiga.... Bravo CDM.
 
Katibu mkuu wa Chadema Dr. Slaa anatarajia kufanya ziara ya kukagua uhai wa chama na kuangalia ujenzi wa chama kupitia Chadema ni msingi kama ifuatavyo:tarehe 04.12.2013 atakuwa Kahama,tarehe 05.12.2013 hadi tarehe 13.12.2013 atakuwa Kigoma,tarehe 14.12.2013 hadi tarehe 22.12.2013 atakuwa Tabora na tarehe 23.12.2013 hadi tarehe 24.12.2013 atakuwa mkoani Singida.wahusika wote fanya maandalizi ya ziara hii kwa kuzingatia ratiba na kwa maelezo zaidi wasiliana na mimi.wananchi wote kupitia njia hii mnajulishwa kushiriki katika zoezi hili kwani kila jimbo kutakuwa na mikutano ya hadhara.asanteni kwa kupokea taarifa na kuwajuza wengine.CHADEMA NI VEMA!

Ngojeni muone picha za uongo zikimwagwa akiwa huko.

Anajaribu kuponesha majeraha.

Kigoma Oyeeeeeee! yu aja huyo!
 
Huyo ndie Rais Mtarajiwa 2015, hivyo anaanza ziara za kujifahamisha mikoani siyo barani ulaya. Nyumbani kwanza atii. Hivyo Kigoma lazima afike, kwani hawezi kuwa Rais wa mwisho Tabora atii. Nyie mamluki mliopandikizwa na Siisiieem kwenda kuleta fujo huko nawahakikishieni kwamba midomo hiyo itabaki wazi atakavyo heshimika huko.
Mtu mzima hatishiwi nyau
 
chacha-wangwe.jpg

Mzimu huu utawafuata Popote Walipo katika Maisha yao yaliyobaki.

wenye mungu yaani yesu mizimu ni mapepo tunayakemea kwa jina la yesu ,itawatafuna washirikina waganga,wachawi na wafuga majini maccm.sio cdm wanaomtegemea mungu wanaomtolea mungu sadaka sio nyie mnaotoa kafara za maharubino you fool
 
Back
Top Bottom