Dr. Slaa Vs Lowassa Urais 2015

Nani unaona anafaa kuwa Rais kati ya Wawili hawa?

  • Edward Lowassa

    Votes: 103 13.0%
  • Dr. Willibrod Slaa

    Votes: 640 80.6%
  • Wote hawafai/sijaamua

    Votes: 51 6.4%

  • Total voters
    794
  • Poll closed .
Status
Not open for further replies.
Mleta mada tupia majibu basi muda siumeisha au unachakachua
 
Utaratibu huu hautakupa majibu sahihi ya Nani zaid. Tafuta njia nyingine na iwe sr kwa wapiga kura.
 
Dr Slaa ndiye sululisho tosha la watanzania.
 
Utaratibu huu hautakupa majibu sahihi ya Nani zaid. Tafuta njia nyingine na iwe sr kwa wapiga kura.

Mkuu kuna sehemu ya kupiga kura hapo juu pia ...................!!
 
Hata mlevi akiulizwa swali hili atakupa jibu kuwa ni Dr.Slaa
 
Slaa mpango mzima cheki kwanza hiyo wa2 wametubu zambi zaó za kuitumikia ccm wamerudisha tiketi za kwenda jehanamu zenye rangi ya kijani na kukabathiwa veti vya uzima na mafanikio vyenye rangi ya bluu na nyeupe.
 
Mmekosa mambo ya msingi ya kujadili kwa mustakabali wa Taifa'
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…