Dr. Slaa Vs Lowassa Urais 2015

Nani unaona anafaa kuwa Rais kati ya Wawili hawa?

  • Edward Lowassa

    Votes: 103 13.0%
  • Dr. Willibrod Slaa

    Votes: 640 80.6%
  • Wote hawafai/sijaamua

    Votes: 51 6.4%

  • Total voters
    794
  • Poll closed .
Status
Not open for further replies.

mnachekesha alishinda kwa kura za jf au kanisani tuu?
 

Na chadema mtujibu utajiri mbowe kaupata wapi?
toka lini tajiri akawa mtetezi wa wanyonge?
 
Hawa wote hawafai kuwa marais wa nchi wajiandae kwenda kustaafu, nchi haiongozwi na watu wenye uroho wa madaraka kiasi hiki.
 
JF ingekuwa ndo inatuchagulia rais Slaa angeshinda 2010

Tangiapo dr slaa alishinda ila Tiss na Nec ikamuokoa baba Riz 1. Kama huamini waulize kwa nini tume ya uchaguzi mpaka leo hawajabandika matokeo ya urais kwenye net yao wakati ya wabunge walibandika?
 
Ndugu zangu, EL ndani ya CCM hakuna wa kumweza. Mhe. JK analijua na kila mmoja ndani na nje ya CCM analijua hilo. Ebu kwa muda wako, jaribu kufanya utafiti hata kwa watu, sijajua huyu Bwana anatumia mbinu zipi🙂. Polepole, jamaa pamoja na kelele za akina Kaka Nape, anazidi kupanda chati...Come 2015, EL hata kamatika na kwa vyovyote ataukwaa URAIS. If you can not defeat them, simply join them!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…