Umeona eeeeeh!!!!!!!!!!!! Dr. Slaa ni chaguo la Mungu alitakiwa kuwa Rais toka 2010 sema tu mafisadi walifisadi ila 2015 wajaribu ujinga wao cha moto watakipata @ Sweetlady
Tepeli ampe nani urais mwizi wa wake za watu
Nimechoshwa tu na mambo ya nchi hii bana. Nikajiweka pembeni kuepusha msongamano. I am now only doing what is within my powers.bht !!!!!! ... Nikajua umehamia nchi ambayo jf haishiki lol.... Kura za dr wetu wa ukweli zimeshatosha dia wangu..... Anasubiri tu kuapishwa 2015
Nimechoshwa tu na mambo ya nchi hii bana. Nikajiweka pembeni kuepusha msongamano. I am now only doing what is within my powers.
Duu! nasikitika sijampigia kura Dr wa Ukweh sababu natumia mchina leo!