Dr. Slaa Vs Lowassa Urais 2015

Nani unaona anafaa kuwa Rais kati ya Wawili hawa?

  • Edward Lowassa

    Votes: 103 13.0%
  • Dr. Willibrod Slaa

    Votes: 640 80.6%
  • Wote hawafai/sijaamua

    Votes: 51 6.4%

  • Total voters
    794
  • Poll closed .
Status
Not open for further replies.
Kwa upande wa ccm nataka Lowassa apitishwe kwenye kura zao za maoni huku CDADEMA wakimsimamisha Dr Slaa na Hapo ndipo nitamchagua Dr Slaa ila ikiwa ni kati ya Lowassa CCM Zitto CDM bila shaka kura yangu itaenda kwa Lowassa.
 
Naona Dr Slaa anakimbila kupiga A plus ni mchakato mzuri
 
!
!
lowasa ana kura yangu.....haki ya Mungu, nitachagua ccm kama lowasa atagombea,kinyume na hapo nitachagua CDM hata wakiweka kivuli
 
Wote wa Kaskazini..! Ritz, Faiza fox hawataki watu wa ukanda huo. Weka mmoja wa kutokea Zanzibar ili na wapate kupiga kura.
 

Dr. W. P. Slaa
 
-mara mwizi wa wake za watu

-msaliti wa imani
-anaunga mkono matumizi ya pombe haramu,


Unachotakiwa kufanya ni kupiga kura tu.... Hayo mengine kafungue uzi wako ujieleze huko.... Usituharibie kura gamba wewe
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…