Jamani mwnzenu mbona nashindwa kupiga kura? Natumia jf mobile na nikiclic kwnye vote now kuna message inaniambia "You did not select an option to vote for. Please
press back to return to the poll and choose an
option before voting." Msaada plz!!
Siasa za Tanzania sijapata ona ndio Mara ya kwanza ktk maisha yangu kuona chama cha upinzani(CDM) kinampigia debe mtu wa upinzani CCM(EL)haiangalii upepo kwa EL mmebug meen