Dr. Slaa tafadhali sana baba, tumeyaona uliyoyafanya

Umenigusa sana. Kama ningepata fursa ya kukutana na Dr. Slaa Nimemwambia maneno haya.

Dr. Slaa umebeba maisha yetu mkononi mwako. Wengine tunaweza kufa kwa pressure iwapo utahama chadema maana itatuchukua miaka mingine 20 kujenga chadema.

Hurumia Roho zetu naza wapendwa wetu zilizopotea kwenye harakati za ukombozi. We need you this time ever

Mwiba hutokea ulipoingilia, tafuteni chanzo muacheni Dr atafakari. Lakini mbona tumeambiwa anatayarisha vikao vya CC

1438286894492.jpg

1438286932403.jpg

Ina maana tumedanganywa?
 
Dk mm nilikwamini na kukubali kwa mchango wako kwa chadema,yale uliyapigania ndo yamerudi kuwa chadema ni haki yako ya msingi kuwaacha hao wapumbavu na chama chao,mara mia urudi ccm kwani bado unatakiwa kwa mchango wa taifa,
 
Mbowe kamfanyia kitu kibaya sana Slaa.
* Mkuu sio Mbowe, hukumsikia Tundu Lissu huo uamuzi wa kina ulishirika viongozi wote (mwenyekiti, katibu, makamu wenyeviti wawili, naibu katibu mkuu wawili, wajumbe wa kamati kuu, n.k)...kwahiyo hata Slaa alishiriki kwenye uamuzi huo...
 
Pia atambue kupitie edo kura nyingi tu zipo kwa wana ccm wengi tu tunaoishi nao.wanasema wazi watampa kura ya urais edo
 
Ha ha haaaaa . . . . . . tutaelewana tu. . . . !!!!

Punguzeni mapenzi kwa vyama. . .. .wananchi ndio wanavipa vyama kiburi. . .Leo mngekuwa na msimamo hili lisingekuwa hivi, wangejali mapokeo ya wanachama ila kiko wapi???!!!!

Endeleeni tu na "nguvu ya umma" . . . . . . .
 
Team Lowassa bhana hashindwi mtuwamemkata,tumempitisha dirishani kwa ajiliya kuuwasha moto!Kazi ipo aiseeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Kweli kabisa. Beat liliwahi sana. Mbowe alipaswa kutumia busara na hekima. Tatizo na yeye amekuwa kama Lowasa huyo huyo. Hapendi kuwa chini ya mtu

Mkuu tangu lini umeanza kuwatakia mema chadema?
 
Man ni kweli mleta mada anachosema...watulie wawe kitu kimoja. Impact ya mamvi ni kubwa mno.
 
Sisi tunakupenda sana, na tunajua umeifanyia chadema makubwa na tunajua ulishinda uchaguzi ila walikuibia kura zako. Tunajua hata sasa ungegombea ungeshinda.
Nia ya chadema nini? Jibu ni kuondoa mfumo wa ccm na kama uko tayari basi tunakuomba uwe mvumilivu ili tutumie hii Silaha tuliyoiokota ikiwa imetupwa na maadui zetu ccm tuwauwe wenyewe maana tunajua nia yako ni kutosikia ccm. Tusaidie sisi waja wako tuko nyuma yenu. Mwache EL agombee na tunaomba umsaidie ktk kampeni. Tunajua Ruto wa kenya alikuwa maarufu sana lakini kaamua kumwachia kenyata na mwisho wa siku wakashinda kwa kishindo. MUMGU AKUBARIKI UWE NA HEKIMA KATIKA HILI.

Kwakweli Tafadhali Dr... tunayoyasikia yabaki kua prpaganda ..

Pia kwa maamuzi yeyote utakayoyafanya Elewa hakuna mtu anaweza kua maarufu kuliko Chama .
 
Sisi tunakupenda sana, na tunajua umeifanyia chadema makubwa na tunajua ulishinda uchaguzi ila walikuibia kura zako. Tunajua hata sasa ungegombea ungeshinda.
Nia ya chadema nini? Jibu ni kuondoa mfumo wa ccm na kama uko tayari basi tunakuomba uwe mvumilivu ili tutumie hii Silaha tuliyoiokota ikiwa imetupwa na maadui zetu ccm tuwauwe wenyewe maana tunajua nia yako ni kutosikia ccm. Tusaidie sisi waja wako tuko nyuma yenu. Mwache EL agombee na tunaomba umsaidie ktk kampeni. Tunajua Ruto wa kenya alikuwa maarufu sana lakini kaamua kumwachia kenyata na mwisho wa siku wakashinda kwa kishindo. MUMGU AKUBARIKI UWE NA HEKIMA KATIKA HILI.

Una mwambia mchungaji aambatane na mwizi? Kwa maslahi ya kidunia au akatae kuongozana na mwizi kwa maslahi mapana ya kumpendezesha mungu na binadamu!
Wewe unaebembeleza unafanya hivyo kwakuwa unatumikia tumbo ukweli kamwe huwezi kuuona,
 
Bahati mbaya sana ndani ya JF wengi hatutumii ID halisi.... Zingewaumbua wengi
Watu wana uhuru wa kuongea upuuzi wowote kwakuwa wamejificha kwenye kichaka cha utambulisho bandia
 
Mbowe kalamba fedha, anajuwa Urais hakuna.

Angeziacha fedha angekuwa si mchagga. Hana sababu yoyote ya kumkubali mgonjwa awe Rais.

Na nnamashaka sana watamuumiza huko huko chadema, wana sababu zipi za kumpenda ghafla Lowasa?
 
Halafu sikuzote wapuuzi ni wale wasiopenda kujibu hoja, kazi yao wanayoijua ni kusoma along the lines na kukariri kama wimbo (majuha) bila kuchambua na ikibidi kujenga hoja mbadala, unaweza kuwaita 'akili mgando' ukiwaambia nenda mbele, kushoto kulia wataenda kama 'robot'
 
Mbowe kalamba fedha, anajuwa Urais hakuna.

Angeziacha fedha angekuwa si mchagga. Hana sababu yoyote ya kumkubali mgonjwa awe Rais.

Na nnamashaka sana watamuumiza huko huko chadema, wana sababu zipi za kumpenda ghafla Lowasa?

Tumebadirishia gia angani!
 
Back
Top Bottom