ALU255
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 2,089
- 2,126
Nilikuwa mstari wa mbele sana mtaani kwangu kuwahimiza kuwa ENL fisadi wakati ule bado yupo CCM na kwa jinsi alivyokuwa na nguvu nilijua atagombea tu urais sasa mtaani kwangu sina amani maana nliwaaminisha kuwa UKAWA ndo chama cha ukombozi na DR.SLAA ndo mkombozi mwenyewe niliwahimiza wasichague CCM kwa maana LOWASSA fisadi na nikawahakikishia ufisadi wake kwa kuwasikilizisha maneno ya Tundu LIssu alivyoisimamia shoo sasa ni wiki ya pili hii nakimbia mtaani kwangu kukwepa aibu hii maana niliemsema fisadi ndo kaja kwenye chama nilichowahamasisha wakichague (chama cha ukombozi) af mtu niliyewaambia ndiye mkombozi mwenyewe simuelewi aliko ni aibu tupu kwangu sijui hata nitamsafisha vipi ENL.ili watu warudi kwenye chama cha ukombozi japo mkombozi mwenyewe tumeshampoteza..
DR.SLAA naomba urudi kundini tuendelee na safari yetu ya ukombozi ukiondoka utatupoteza wengi ujue wewe ndio mkombozi wetu sasa safari yetu imeshaingia dosari dereva wetu kipofu(mbowe) ni bora urudi tu DR. ukihama chama ninaachana na siasa....