Napenda kukujulisha kuwa Ruto hajamwachia kenyata ila waliungana. Halafu kwa wanasiasa wenye kuchukia rushwa,ufisadi na wizi kama Dr slaa na mlm nyerere huwezi kuwaambia waungane na mlarushwa na fisadi kwani kiongozi bora ni yule mwenye kujua msimamo wake na anaweza kusimamiya msimamo wake.Sisi tunakupenda sana, na tunajua umeifanyia chadema makubwa na tunajua ulishinda uchaguzi ila walikuibia kura zako. Tunajua hata sasa ungegombea ungeshinda.
Nia ya chadema nini? Jibu ni kuondoa mfumo wa ccm na kama uko tayari basi tunakuomba uwe mvumilivu ili tutumie hii Silaha tuliyoiokota ikiwa imetupwa na maadui zetu ccm tuwauwe wenyewe maana tunajua nia yako ni kutosikia ccm. Tusaidie sisi waja wako tuko nyuma yenu. Mwache EL agombee na tunaomba umsaidie ktk kampeni. Tunajua Ruto wa kenya alikuwa maarufu sana lakini kaamua kumwachia kenyata na mwisho wa siku wakashinda kwa kishindo. MUMGU AKUBARIKI UWE NA HEKIMA KATIKA HILI.
Dr akifanya hivo atasaliti mabadiliko ila ndo itadhihirisha umma naye hakuwa ana maanisha alichokua anakitenda.nasikia mnataka kumchukua kwa kumhonga bilioni 10, tafadhali hata akiondoka hatakuwa na madhara kwa ukawa kama lowasa alivyoleta madhara kwenu.
Yaani kapi la CCM mnaita kifaa? Kweli machadema yamechanganyikiwa na yameishiwa
sisi tunakupenda sana, na tunajua umeifanyia chadema makubwa na tunajua ulishinda uchaguzi ila walikuibia kura zako. Tunajua hata sasa ungegombea ungeshinda.
Nia ya chadema nini? Jibu ni kuondoa mfumo wa ccm na kama uko tayari basi tunakuomba uwe mvumilivu ili tutumie hii silaha tuliyoiokota ikiwa imetupwa na maadui zetu ccm tuwauwe wenyewe maana tunajua nia yako ni kutosikia ccm. Tusaidie sisi waja wako tuko nyuma yenu. Mwache el agombee na tunaomba umsaidie ktk kampeni. Tunajua ruto wa kenya alikuwa maarufu sana lakini kaamua kumwachia kenyata na mwisho wa siku wakashinda kwa kishindo. Mumgu akubariki uwe na hekima katika hili.
Dr. Slaa nakuomba sana ulihurumie taifa la Tanzania. Ninaomba uweke mbele damu ya Watanzania kuliko kitu chochote. Yote yanayotokea chadema ni kwa sababu watu walijua upo. Ninakuomba Dr. ukubali kuisikiliza sauti ya Roho Mtakatifu. Maisha ni mafupi. Jishushe tu Mungu atakuinua. Hasira ya mwanadamu haitendi haki ya Mungu.
Mungu tukumbuke waTanzania na utuhurumie. Tumeteseka mno.
Sisi tunakupenda sana, na tunajua umeifanyia chadema makubwa na tunajua ulishinda uchaguzi ila walikuibia kura zako. Tunajua hata sasa ungegombea ungeshinda.
Nia ya chadema nini? Jibu ni kuondoa mfumo wa ccm na kama uko tayari basi tunakuomba uwe mvumilivu ili tutumie hii Silaha tuliyoiokota ikiwa imetupwa na maadui zetu ccm tuwauwe wenyewe maana tunajua nia yako ni kutosikia ccm. Tusaidie sisi waja wako tuko nyuma yenu. Mwache EL agombee na tunaomba umsaidie ktk kampeni. Tunajua Ruto wa kenya alikuwa maarufu sana lakini kaamua kumwachia kenyata na mwisho wa siku wakashinda kwa kishindo. MUMGU AKUBARIKI UWE NA HEKIMA KATIKA HILI.
nasikia mnataka kumchukua kwa kumhonga bilioni 10, tafadhali hata akiondoka hatakuwa na madhara kwa ukawa kama lowasa alivyoleta madhara kwenu.
Mmeanza kumbembeleza. Hayo maneno alipaswa kuongea mwenyekiti wako.mtatizo yule ni DJ Zero