Kumbuka karne hii hatuchagui chama ila tunachagua kiongozi atakayeweza tekeleza matakwa ya wananchi hivyo anaweza kutokea ccm au chama chochote.
haiwezekani kiongozi atoke ccm
Kumbuka karne hii hatuchagui chama ila tunachagua kiongozi atakayeweza tekeleza matakwa ya wananchi hivyo anaweza kutokea ccm au chama chochote.
Isiwe tu sanaa maana kuna kama maswali mawili matatu labda tujiulize...
1) Slaa kuendelea kukaa kimya je inaisiadia UKAWA na Mgombea wao??
2) Je Slaa kujiunga kwenye uwanja wa mapambano nini itakuwa impact yake??
3) Tumewasikia ACT-Wazalendo leo wakiibeba agenda ya UFISADI Je Slaa akiamua kuvunja ukimya na kujiunga na hao wazelendo kusimamia kile anachokiamini yaani VITA DHIDI YA UFISADI nini itakuwa athari kwa LOWASA na UKAWA??
Tanzania nchi ya ajabu sana,yaani mtu mzima na akili yake,tena si ajabu kiongozi wa serikali na mwana chama wa ccm anaamini Tanzania vita ya wizi na ufisadi inapiganwa kwa maneno.kiukweli unaweza wakati mwingine kujuta kuzaliwa TanzaniaIsiwe tu sanaa maana kuna kama maswali mawili matatu labda tujiulize...
1) Slaa kuendelea kukaa kimya je inaisiadia UKAWA na Mgombea wao??
2) Je Slaa kujiunga kwenye uwanja wa mapambano nini itakuwa impact yake??
3) Tumewasikia ACT-Wazalendo leo wakiibeba agenda ya UFISADI Je Slaa akiamua kuvunja ukimya na kujiunga na hao wazelendo kusimamia kile anachokiamini yaani VITA DHIDI YA UFISADI nini itakuwa athari kwa LOWASA na UKAWA??
Slaa kuendelea kukaa kimya inasaidia ukawa ndio ingawa inaleta maswali mengi kwa makamanda wa CDM.....
Slaa akijiunga Leo ktk kampeni italeta nguvu sn na itakua km tsunami vile!
Slaa hawezi kutoka Cdm na kujiunga na ACT ata iweje.....
Swala La ufisadi sijui unalitizama vipi kwa upande Wa ukawa? Unataka kusema ukawa ni mafisadi kwa kumkaribisha Lowassa?
Tangu tumeanza kupingana hii vita tumepata matokeo gani.the only way and true way to fight ufisadi,rushwa and any uchafu in our country is to kick out ccm.basiIsiwe tu sanaa maana kuna kama maswali mawili matatu labda tujiulize...
1) Slaa kuendelea kukaa kimya je inaisiadia UKAWA na Mgombea wao??
2) Je Slaa kujiunga kwenye uwanja wa mapambano nini itakuwa impact yake??
3) Tumewasikia ACT-Wazalendo leo wakiibeba agenda ya UFISADI Je Slaa akiamua kuvunja ukimya na kujiunga na hao wazelendo kusimamia kile anachokiamini yaani VITA DHIDI YA UFISADI nini itakuwa athari kwa LOWASA na UKAWA??
Muorobani wa ufisadi ndani ya nchi hii ni rasimu ya pili ya Warioba ambayo CCM kwa ujumla wao waliikataa na si bla bla za Magufuli kwenye majukwa. Tufike hatua tujifunze kutengemea systems na si watukm ulifuatilia uzinduz wa ukawa utakubaliana na mm kuwa hakutoa ahad ya kupambana na ufisad, amezidiwa na magufuli... unategemea nn km anapata kigugumiz kupambana na ufisad
Dr. Slaa popote ulipo wewe nakuomba mzee wangu endelea kujichimbia... umejizolea sifa kedekede kwa watanzania na uimara wa chama chako.... Kujitoa akili kama Mbowe ili kumpigia kampeni Lowassa mzee wangu utakuwa umepoteza maksi nyingi kwa Watanzania....
Mimi bado natembea kwenye itikadi zako. Heri kujiunga ACT au kuanzisha chama kipya mpaka 2020 utakuwa upo juuu... Achana na Mbowe, Mtei hawa ni wachumia tumbo hawana uchungu na taifa letu.
Chama cha CCM kilisema Dr ni mzinzi na maneno machafu kibao, leo munakula matapishi
Jana tu, Lowassa na Sumaye wameonja joto ya jiwe. Makombora ya Kitila Mkumbo, Habib Mchange na Kiongozi wa Chama, yalikuwa badaa. Sipati picha Slaa akifunguka.
Watanzania wanahitaji mabadiliko na sio blah! blah! kama wanasheresha sherehe maneno mengi CCM wanayaongea ahadi nyingi wanzitoa lakini ifike mahali watanzania waamke wasiwewapumbavu miaka54 ni mingi ukilinganisha na hali tuliyonayoukawa kwan mlimwambiaje lowassa na wafuasi wake?
msigwa "wanaomfuata lowassa inabidi wakapimwe akili" leo kiko wap?kwan mtu kama huyo asiitwe mpumbavu na lofa?