Kama ni kweli Gwajima amekuwa mwanachama wa CCM tangu 1994 sasa naanza kuamini kuwa Lowassa hakuenda CHADEMA kwa bahati mbaya

HaMachiach

JF-Expert Member
Dec 15, 2015
3,133
2,000
ASKOFU GWAJIMA: NAGOMBEA UBUNGE

"Kama mlivyosikia Mh. Rais na Katibu Mkuu wa CCM, Bashiru Ally alivyosema kuwa wale watu wanataka kumsaidia Rais kuwatimizia wananchi azma yao basi waanze kupitapita na kuangalia nini kinawezekana kwahiyo nikaaamua nipite pale nimwombe na Mungu nione kama ataniruhusu basi tunaendelea"

"Naishi Kawe, kama CCM kikinipa ridhaa naona Kawe pananoga, sijawahi kuwa mwanachama wa CHADEMA, nimekuwa mwana CCM tangu mwaka 1994" Askofu Josephat Gwajima, Askofu Mkuu na Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la Ufufuo na Uzima.

NOTE: Kama ni kweli Gwajima amekuwa mwanachama wa CCM tangu 1994 sasa naanza kuamini kuwa Lowassa hakuenda CHADEMA kwa bahati mbaya na yote yaliyotokea baada ya yeye kuja CHADEMA ikiwemo yeye na Wabunge na madiwani waliotoka naye CCM kuamua kurejea nyumbani it was a planned mission. No wonder alisema amerudi CCM, CCM ni nyumbani na hataki maswali kwa sababu hakuna mtu anayeweza kuulizwa kwa nini ameamua kurudi nyumbani. Mwenda kwao si mtumwa.

Sijui ni AKILI gani ilitumika hadi CHADEMA ikamuamini huyu "MSHENGA" wa Lowassa.

Beyond reasonable doubt sasa nakubaliana na hoja zote na maswali yote ya Wilbroad Slaa. The man was right kuuliza tunampokea Lowassa kama ASSET au LIABILITY? Swali hili waliompokea walishindwa kulijibu hadi lilipojijibu lenyewe na linaendelea hadi leo.

Kadhia zote, madhila zote na mtifuano wote unaoendelea kufukuta ndani ya CHADEMA hadi leo ni matokeo ya ujio wa Lowassa akiletwa na mshenga huyu Gwajima.

Katika makosa ambayo CHADEMA wanafaa kujilaumu na kujutia sana ni kumuamini Kachero mbobezi Gwajima kuingia mpaka vikao nyeti vinavyojadili mikakati ya CHADEMA. Hapa chama kilijisalimisha kwa adui chenyewe.

Unaweza kumbeza Gwajima kama Askofu wa Ufufuo na Uzima ila ni hatari sana kumbeza Gwajima kama Kachero mbobezi. Ni hatari zaidi kumbeza Gwajima ambaye CHADEMA kwa ridhaa yao wenyewe walimuamini awaletee mgombea "mshenga" na kisha wakamwagia siri zote za chama wakiamini kuwa Gwajima ni mpinzani mwenzao.

Mtego sawia na huu huenda ukainasa ACT-Wazalendo au CHADEMA endapo Kachero mbobezi Bernard Membe ataamua kujiunga na ACT-Wazalendo kisha ACT-Wazalendo wakaunda Muungano wa mashirikiano na CHADEMA.

Naona hoja za vide za ngono za Gwajima zinaanza kuibuliwa na CHADEMA. Mimi nasema hoja hiyo haina nguvu wala mashiko maana wakati video zile zimetoka CCM walikuwa mstari wa mbele kuzilaani na kuzikashifu vikali lakini vijana wa CHADEMA waliimbishwa wimbo kuwa wasema kuwa video zile ni feki tu, zimeeditiwa n.k. Leo ukisimama kusema Askofu mwenyewe huyu alicheza video za ngono watu wanakuona mwendawazimu tu.

Nimalizie kwa kusema iwapo CCM wataamua kumtumia kijasusi Gwajima kwenye uchaguzi Mkuu huu, CHADEMA itajuta upya kwa nini ilimuamini Gwajima. Nasema itajuta upya kwa sababu hadi sasa ipo kwenye majuto na maumivu makali.

Hakuna wakati wowote ambao mikakati na mipango ya kijasusi ya CHADEMA imefeli au kuvuja kama kipindi hiki cha 2015 hadi sasa baada ya Gwajima kumchumbia Lowassa kwa CHADEMA. Ule ushenga umezua jambo, umezua tafrani. Ndoa imevunjika ila bado mizimu ya Lowassa na Gwajima imekataa kutoka CHADEMA inaendelea kuiguguna na kuiwewesesha usiku na mchana.

Nini maoni yako?

Remmy Cameroon
Sauti ya wasio na sauti
 
leadermoe

Member
Feb 15, 2017
33
125

Tate Mkuu

JF-Expert Member
Jan 24, 2019
10,272
2,000
Hakuna Jasusi Mbobezi wala nini! Gwajima ni mission town tu! Mnafiki, kigeugeu, mzee wa mikwara mingi, Mzinzi wa wake za watu, wasichana waishio ktk mazingira magumu,

na pornstar aliyejirekodi kizembe filamu fupi ya ngono na muumini wake, huku akituaibisha wanaume wenzake kwa kumaliza mchezo ndani ya dk chache tu!

Watakao mchagua Gwajima, hawana budi kupimwa akili.
 
Bujibuji Simba Nyanaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
63,736
2,000
Hakuna Jasusi Mbobezi wala nini! Gwajima ni mission town tu! Mnafiki, kigeugeu, mzee wa mikwara mingi, Mzinzi anayejirekodi kizembe filamu fupi fupi za ngono huku akituaibisha wanaume wenzake kwa kumaliza mchezo ndani ya dk chache tu!

Watakao mchagua Gwajima, hawana budi kupimwa akili.
KWENYE kampei atafufua misukule, msikose kuja kuona sanaa za mshenga
 
Ta Nanka

JF-Expert Member
Oct 8, 2013
987
1,000
Kama kuna makosa makubwa ambayo CHADEMA wamewahi kufanya ni hili la kumkaribisha Edo. Lilikuwa ni kosa kubwa mno la kiufundi.
ASKOFU GWAJIMA: NAGOMBEA UBUNGE

"Kama mlivyosikia Mh. Rais na Katibu Mkuu wa CCM, Bashiru Ally alivyosema kuwa wale watu wanataka kumsaidia Rais kuwatimizia wananchi azma yao basi waanze kupitapita na kuangalia nini kinawezekana kwahiyo nikaaamua nipite pale nimwombe na Mungu nione kama ataniruhusu basi tunaendelea"

"Naishi Kawe, kama CCM kikinipa ridhaa naona Kawe pananoga, sijawahi kuwa mwanachama wa CHADEMA, nimekuwa mwana CCM tangu mwaka 1994" Askofu Josephat Gwajima, Askofu Mkuu na Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la Ufufuo na Uzima.

NOTE: Kama ni kweli Gwajima amekuwa mwanachama wa CCM tangu 1994 sasa naanza kuamini kuwa Lowassa hakuenda CHADEMA kwa bahati mbaya na yote yaliyotokea baada ya yeye kuja CHADEMA ikiwemo yeye na Wabunge na madiwani waliotoka naye CCM kuamua kurejea nyumbani it was a planned mission. No wonder alisema amerudi CCM, CCM ni nyumbani na hataki maswali kwa sababu hakuna mtu anayeweza kuulizwa kwa nini ameamua kurudi nyumbani. Mwenda kwao si mtumwa.

Sijui ni AKILI gani ilitumika hadi CHADEMA ikamuamini huyu "MSHENGA" wa Lowassa.

Beyond reasonable doubt sasa nakubaliana na hoja zote na maswali yote ya Wilbroad Slaa. The man was right kuuliza tunampokea Lowassa kama ASSET au LIABILITY? Swali hili waliompokea walishindwa kulijibu hadi lilipojijibu lenyewe na linaendelea hadi leo.

Kadhia zote, madhila zote na mtifuano wote unaoendelea kufukuta ndani ya CHADEMA hadi leo ni matokeo ya ujio wa Lowassa akiletwa na mshenga huyu Gwajima.

Katika makosa ambayo CHADEMA wanafaa kujilaumu na kujutia sana ni kumuamini Kachero mbobezi Gwajima kuingia mpaka vikao nyeti vinavyojadili mikakati ya CHADEMA. Hapa chama kilijisalimisha kwa adui chenyewe.

Unaweza kumbeza Gwajima kama Askofu wa Ufufuo na Uzima ila ni hatari sana kumbeza Gwajima kama Kachero mbobezi. Ni hatari zaidi kumbeza Gwajima ambaye CHADEMA kwa ridhaa yao wenyewe walimuamini awaletee mgombea "mshenga" na kisha wakamwagia siri zote za chama wakiamini kuwa Gwajima ni mpinzani mwenzao.

Mtego sawia na huu huenda ukainasa ACT-Wazalendo au CHADEMA endapo Kachero mbobezi Bernard Membe ataamua kujiunga na ACT-Wazalendo kisha ACT-Wazalendo wakaunda Muungano wa mashirikiano na CHADEMA.

Naona hoja za vide za ngono za Gwajima zinaanza kuibuliwa na CHADEMA. Mimi nasema hoja hiyo haina nguvu wala mashiko maana wakati video zile zimetoka CCM walikuwa mstari wa mbele kuzilaani na kuzikashifu vikali lakini vijana wa CHADEMA waliimbishwa wimbo kuwa wasema kuwa video zile ni feki tu, zimeeditiwa n.k. Leo ukisimama kusema Askofu mwenyewe huyu alicheza video za ngono watu wanakuona mwendawazimu tu.

Nimalizie kwa kusema iwapo CCM wataamua kumtumia kijasusi Gwajima kwenye uchaguzi Mkuu huu, CHADEMA itajuta upya kwa nini ilimuamini Gwajima. Nasema itajuta upya kwa sababu hadi sasa ipo kwenye majuto na maumivu makali.

Hakuna wakati wowote ambao mikakati na mipango ya kijasusi ya CHADEMA imefeli au kuvuja kama kipindi hiki cha 2015 hadi sasa baada ya Gwajima kumchumbia Lowassa kwa CHADEMA. Ule ushenga umezua jambo, umezua tafrani. Ndoa imevunjika ila bado mizimu ya Lowassa na Gwajima imekataa kutoka CHADEMA inaendelea kuiguguna na kuiwewesesha usiku na mchana.

Nini maoni yako?

Remmy Cameroon
Sauti ya wasio na sauti
 
KENZY

JF-Expert Member
Dec 27, 2015
20,198
2,000
Chadema kule kuna kelele tu hakuna master mind!.. maana ukiwasikiliza kina lissu hiyo 2015 waliona lowasa ndo alifaa kugombea!.. na kuna wataalum wao ndio waliowashauri hivyo...😅

Tokea hapo nikawaona hakuna kitu pale maana hapo kabla walikuwa wakimtaja mpk misuli ikiwatoka kuwa jamaa fisadi!!.. baadae alipoamia kwao wakaanza kumsafisha! Sahivi hata hawamuongelei..!!

Hata kama tutailaumu ccm hivi sijui vile lkn ukweli ni kuwa upinzani bado watakalishwa na michezo ya ccm!.. kugombea tume huru tu hakutoshi bado wajue kucheza na zile ngoma wanazochezeshwa...
Sahivi hata ukiangalia upinzani hakuna wa kumpiku magu picha inajionyesha kabisa licha ya kuwa wamekuwa wakipiga kelele kuwa uongozi wake wa hovyo sasa wao kuna kiongozi wao yupi anaweza kusimama na huyu wanaemuona hazingatii uongozi stahiki..??

Mwisho wa siku watakuja hapa na kuandika kachukue buku 7 yako..😂
Badala wapambane kujenga viongozi watakaoweza kusimama vyema wao ndo kwanza wanawasimamisha viongozi wa wale wanaoshindana nao!..
Hichi kiti kibovu kupindukia ila kwakuwa vipofu hawawezi kuona!.
 
Blood of Jesus

JF-Expert Member
Sep 19, 2016
1,497
2,000
Ndipo demokrasia ya nchi zetu hizi imefika.

Lowasa alikuwa asset (by then). Zaidi ya kura milioni sita uchaguzi mkuu sio mchezo. Mambo huwa yanabadilika.

Gwajima akigombea ubunge, nitamfuta kwenye maana!
 
Automata

JF-Expert Member
Mar 3, 2015
2,922
2,000
KAWE TWENDE NA GWAJIMAAA!

Mdee kanyaga kanyaga, CHADEMA kanyaga, mawifi fekiii....
 
Prince Kunta

JF-Expert Member
Mar 27, 2014
19,341
2,000
Njaa tu hakuna cha jasusi mbobezi hapo, uyo Gwajima anafanya yote hayo ili kanisa lake lisivunjwe pale ubungo
 
Crimea

JF-Expert Member
Mar 25, 2014
19,414
2,000
Ndipo demokrasia ya nchi zetu hizi imefika.

Lowasa alikuwa asset (by then). Zaidi ya kura milioni sita uchaguzi mkuu sio mchezo. Mambo huwa yanabadilika.

Gwajima akigombea ubunge, nitamfuta kwenye maana!
Haya mwenye kura zake ndio huyo karudi! Mme baki na nini sasa hivi?
 
Ulimakafu

JF-Expert Member
Mar 18, 2011
24,186
2,000
Hakuna Jasusi Mbobezi wala nini! Gwajima ni mission town tu! Mnafiki, kigeugeu, mzee wa mikwara mingi, Mzinzi wa wake za watu, wasichana waishio ktk mazingira magumu,

na pornstar aliyejirekodi kizembe filamu fupi ya ngono na muumini wake, huku akituaibisha wanaume wenzake kwa kumaliza mchezo ndani ya dk chache tu!

Watakao mchagua Gwajima, hawana budi kupimwa akili.
Ha haa haaaaaa.
 
idawa

JF-Expert Member
Jan 20, 2012
24,591
2,000
Ujio wa Lowasa ndani ya Chadema utaitafuna Chadema kwa miaka mingi sana, labda yafanyanyike mabadiliko makubwa kwenye uongozi wa juu.

Chadema ina wafuasi wengi sana, ambao wakipewa mwamko na maono mapya kitarudi kuwa tishio kubwa kwa Chama tawala.

Ila kwa uongozi uliopo huu, wataendelea kupambana ruzuku isikate chamani sio kutaka kuchukua nchi kama ilivyoonekana 2010-2015.
 
fazili

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
9,038
2,000
ASKOFU GWAJIMA: NAGOMBEA UBUNGE

"Kama mlivyosikia Mh. Rais na Katibu Mkuu wa CCM, Bashiru Ally alivyosema kuwa wale watu wanataka kumsaidia Rais kuwatimizia wananchi azma yao basi waanze kupitapita na kuangalia nini kinawezekana kwahiyo nikaaamua nipite pale nimwombe na Mungu nione kama ataniruhusu basi tunaendelea"

"Naishi Kawe, kama CCM kikinipa ridhaa naona Kawe pananoga, sijawahi kuwa mwanachama wa CHADEMA, nimekuwa mwana CCM tangu mwaka 1994" Askofu Josephat Gwajima, Askofu Mkuu na Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la Ufufuo na Uzima.

NOTE: Kama ni kweli Gwajima amekuwa mwanachama wa CCM tangu 1994 sasa naanza kuamini kuwa Lowassa hakuenda CHADEMA kwa bahati mbaya na yote yaliyotokea baada ya yeye kuja CHADEMA ikiwemo yeye na Wabunge na madiwani waliotoka naye CCM kuamua kurejea nyumbani it was a planned mission. No wonder alisema amerudi CCM, CCM ni nyumbani na hataki maswali kwa sababu hakuna mtu anayeweza kuulizwa kwa nini ameamua kurudi nyumbani. Mwenda kwao si mtumwa.

Sijui ni AKILI gani ilitumika hadi CHADEMA ikamuamini huyu "MSHENGA" wa Lowassa.

Beyond reasonable doubt sasa nakubaliana na hoja zote na maswali yote ya Wilbroad Slaa. The man was right kuuliza tunampokea Lowassa kama ASSET au LIABILITY? Swali hili waliompokea walishindwa kulijibu hadi lilipojijibu lenyewe na linaendelea hadi leo.

Kadhia zote, madhila zote na mtifuano wote unaoendelea kufukuta ndani ya CHADEMA hadi leo ni matokeo ya ujio wa Lowassa akiletwa na mshenga huyu Gwajima.

Katika makosa ambayo CHADEMA wanafaa kujilaumu na kujutia sana ni kumuamini Kachero mbobezi Gwajima kuingia mpaka vikao nyeti vinavyojadili mikakati ya CHADEMA. Hapa chama kilijisalimisha kwa adui chenyewe.

Unaweza kumbeza Gwajima kama Askofu wa Ufufuo na Uzima ila ni hatari sana kumbeza Gwajima kama Kachero mbobezi. Ni hatari zaidi kumbeza Gwajima ambaye CHADEMA kwa ridhaa yao wenyewe walimuamini awaletee mgombea "mshenga" na kisha wakamwagia siri zote za chama wakiamini kuwa Gwajima ni mpinzani mwenzao.

Mtego sawia na huu huenda ukainasa ACT-Wazalendo au CHADEMA endapo Kachero mbobezi Bernard Membe ataamua kujiunga na ACT-Wazalendo kisha ACT-Wazalendo wakaunda Muungano wa mashirikiano na CHADEMA.

Naona hoja za vide za ngono za Gwajima zinaanza kuibuliwa na CHADEMA. Mimi nasema hoja hiyo haina nguvu wala mashiko maana wakati video zile zimetoka CCM walikuwa mstari wa mbele kuzilaani na kuzikashifu vikali lakini vijana wa CHADEMA waliimbishwa wimbo kuwa wasema kuwa video zile ni feki tu, zimeeditiwa n.k. Leo ukisimama kusema Askofu mwenyewe huyu alicheza video za ngono watu wanakuona mwendawazimu tu.

Nimalizie kwa kusema iwapo CCM wataamua kumtumia kijasusi Gwajima kwenye uchaguzi Mkuu huu, CHADEMA itajuta upya kwa nini ilimuamini Gwajima. Nasema itajuta upya kwa sababu hadi sasa ipo kwenye majuto na maumivu makali.

Hakuna wakati wowote ambao mikakati na mipango ya kijasusi ya CHADEMA imefeli au kuvuja kama kipindi hiki cha 2015 hadi sasa baada ya Gwajima kumchumbia Lowassa kwa CHADEMA. Ule ushenga umezua jambo, umezua tafrani. Ndoa imevunjika ila bado mizimu ya Lowassa na Gwajima imekataa kutoka CHADEMA inaendelea kuiguguna na kuiwewesesha usiku na mchana.

Nini maoni yako?

Remmy Cameroon
Sauti ya wasio na sauti
Gwajima ana dhambi nyingi atubu kwanza mbele ya watanzania, pia ni mkabila sana hafai kabisa.
 
G Sam

JF-Expert Member
Apr 20, 2013
11,218
2,000
I smell something.
Gwajima sio kachero na hajawahi kuwa kachero.
Niamini mimi
Wewe mkuu umejua, ukweli ni kuwa kwa sasa Gwajima anatafuta uteuzi. Lolote ataongea ili kupata points za ushindi. Gwajima alikuwa mtu wa Chadema kitambo sana!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom