Dr. Slaa silaha ya maangamizi kwa Lowassa

Leo ccm wanampenda dr.slaa wakati wamemtukana sanaaa.......na hao wanaojiita ACT....walikuwa wanamtukana sana leo mwamtaka mwacheni mzee wa watu.....

Kwanin Nyie Hamkumuacha Lowassa Baada Ya Matusi Na Kashfa Zote Mlizompa?
 
mali asili zetu zinapaswa kulindwa na kufaidisha wazawa wajukuu wetu wataishi Tanzania ya aina gani mbona mnataka wawe watumwa kwenye nchi yao wenyewe ?
Badilikeni jamani kama CCM imeshika madaraka miaka 54 haijakomboa watanzania kutoka katika umaskini na ufukara unaonuka mnategemea watakomboka lini?
Muda ni sasa wa kujaribu upande mwingine washilingi watanzania hali zao ni duni wanatia huruma jamani hivi huwa mnaangalia documentary ? huwa mnaenda vijijni? nakuona wanaishije watu wamekata tamaa hawajui hata kesho zao zitakuaje tuache kuwa wabinafsi tufikirie watanzania wengine.Hali ni mbaya mnoo
 
Kwanin Nyie Hamkumuacha Lowassa Baada Ya Matusi Na Kashfa Zote Mlizompa?
Lowassa alikuwa kwenye dimbwi la mafisadi, huko lazima ashambuliwe. Tunataka Tanzania mpyaa. CCM ndo wanaendesha dili za kufilisi wananchi. Ndo maana tunataka tujue nan kagawiwa zile pesa za ESCROW alizochota singasinga...
 
we respect you Slaa, always you live in our heart but for the time being what matters and something which is very important is change. please Dr join us

ninyi na katibu mkuu wenu mnaamini vitu tofauti.Dr.anasimamia principles na viongozi wenu wengine wanaongozwa na shauku na uchu wa madaraka na wanaitaka dola ''kwa gharama yoyote ile''.mwanasiasa makini kama Slaa hawezi waunga mkono kamwe sababu mafanikio(kama yatakuwepo) yanayokuja baada ya kuvunja miiko na kuacha kusimamia unachoamini huwa hayadumu na mwisho wake ni aibu....
 
Mwaka huu nachagua chama.hao wenye ilani nzuri walilifanyia taifa nini zaidi ya kuhamisha twiga,kuiba kupitia epa,escrow,nktuchague UKAWA na Lowasa .
 
Mkuu ondoa wasiwasi na sio rahisi kwa Dr.Slaa kuihama CHADEMA maana anajua nini anafanya na nahisi kati ya week mbili hizi atakuwa karejea kwenye kikosi cha UKAWA na alishakanusha kuhama CHADEMA na atabaki kuwa "katibu mkuu wa CHADEMA"...aliyasema haya tarehe-22 j'mosi kabla ya uzinduzi wa kampeni za CCM tareh-23 kwa kupinga kauli ya CCM eti wangempokea Dr. Slaa ile siku ya uzinduzi wa kampeni za CCM pale Jangwani...

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI.

Kwa siku kadhaa ndani ya mitandao ya kijamii wanachama wa chama cha mapinduzi (CCM) wamekuwa wakilitumia jina langu kwamba eti wamenishawishi kujiunga na chama chao na kuwa siku ya jumapili tarehe 23/08/2015 nitajiunga na chama chao, katika uzinduzi wa kampeni zao

WALIYOYAFANYA.

1. Ni kweli na dhahiri kwamba CCM wamenishawishi kwa fedha na vyeo ili nijiunge na chama chao.
2. Wamewatuma wazee wengi sana kuja kunishawishi akiwemo katibu mkuu wao, mkuu wa usalama wa taifa, wazee wa chama chao nk.

MASWALI YA KUJIULIZA.

1. Kwa nini CCM wananifuata wakati huu na sio wakati mwingine?
2. Je, mbona mwaka 1995 walinitusi sana nilipoamua kuhama CCM, hali kadhalika mwaka 2010?
3. Je, sio kwamba CCM maji ya shingo yamewafikia?
4. Je, kwa nini wananiahidi vyeo vikubwa na mapesa mengi wakati huu na sio wakati mwingine kama wao walitambua kwamba nilistahili kuyapata hayo miaka iliyopita?

TAHADHARI.

1. Kwa hatua hiyo ni kwamba CCM wanatambua kwamba wamepoteza mvuto kwa wananchi hivyo hatuna budi kuyatafuta mabadiliko nje ya CCM.
2. Sina mpango wala sifikirii kukihama chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) chini ya mwavuli wa UKAWA.
3. Baada ya CCM kuyaona mafuriko ya ukawa sasa wamegundua kwamba kuelekea uzinduzi wa kampeni zao walitumie jina langu ili angalau wapate watu wengi kwa sababu wanaelewa fika kwamba wamepoteza mvuto (MSIDANGANYIKE).
4. Siwezi kuyasaliti matumaini ya watanzania kwa maslahi yangu binafsi.
5. Hilo ndio goli la mkono wanalolisubiri kwa miujiza (Yesu atakapokuja kwa mara ya pili).

MWISHO.

Nawatakia kila la kheri katika kuyatafuta mabadiliko nje ya CCM, daima tusife moyo tupo pamoja na tutashinda kwa nguvu ya umma.

Wenu katika ukombozi,
Dr. Wilbrod Slaa,
KATIBU MKUU, CHADEMA.
 
Bad timing bro, hakuna kitachowarudisha nyuma wananchi kwa sasa, kapige kura mchague mgombea mwenye Sera unazoona zinakufaa. Kila kitu kina zama zake. Tusonge mbele
 
Ally Kanah

Ni kweli watu wanataka mabadiliko lakini kuna njia Sahihi za kufikia Mabadiliko zilizo sahihi, hatuwezi kufikia Mabadiliko kwa kubadili gia angani haiwezekani ni kosa.

Juzi hapa Warundi walifanya Mabadiliko lakini ni Mabadiliko yasiyokubalika (haramu) wakazuiwa na kuambiwa wapite njia inayofaa ingawaje wananchi wengi walishangilia na kuunga mkono Mabadiliko yale.

Dr Slaa alikua mpambanaji wa UFISADI na alijipambanua kwa hilo kwa hiyo kujitenga na Siasa za Mwenyekiti wake yuko sahihi, lakini kujiondoa au kukaa kimya ktk Siasa ni kukubali kufa kifo cha Aibu ktk Medani ya Vita, ni sawa na Mateka Mnyonge aliyesalimu Amri.

Bado siamini kama Dr Slaa anaweza kufa kifo cha aina hiyo kufia kichakani!!,

Zamani kulikua kunatumika lugha za ukakamavu "Jitokeze kama wewe ni Mwanaume"

Naamini Dr Slaa ni Mwanaume hawezi kula Matapishi yake.
 
Last edited by a moderator:
Dr.Slaa hawezi kuchangamana na mafisadi, hizo siasa wanaweza akina Mbowe na wenzie.

Wanasiasa wasioweza kuishi kwenye misimamo na misingi yao.

Wanasiasa wasio na falsafa, wanasiasa vigeugeu, wanasiasa walaghai,wanasiasa wanaosema kanyaga twende kwenye mstakabali wa taifa.

Wanasiasa wanaobadili gia Angani kwa hatma ya Taifa. Wanasiasa wasiojua watanzania wanataka nini zaidi ya kuimba mabadiliko bila kuonyesha Taifa nini kitafuata baada ya mabadiliko.
Tulia na hizi ngonjera zako wewe mama Mshumbushi mumeo kesharudisha zile hela za Chama alizokopa?
 
Slaa siyo mwepesi wala lofa kama hao wengine anasimamia misingi yake ya kupinga ufisadi hawezi kuungana na mafisadi hata siku zote.
 
km ulifuatilia uzinduz wa ukawa utakubaliana na mm kuwa hakutoa ahad ya kupambana na ufisad, amezidiwa na magufuli... unategemea nn km anapata kigugumiz kupambana na ufisad
Upeo wako mdogo .ukawa kwanza tunakwenda weka rasmu ya warioba kama ilivyo.pili jaribu kupata picha.Waziri wa sheria Lisu ,waziri mambo ya ndani Lema.Waziri wa Ujenzi Mnyika ,waziri wa nishati Kafulila .waziri wa uchukuzi Wenje.kwa hao tuu.embu pata picha ya itakavyokuwa kwa Magufuli na ripoti ya cag.Sita na Mwakyembe na mabehewa chakavu kwa bei ya mapya.Wazee wa vijisenti escrow na pantoni chakavu.weka na juu na Richmond mamlaka ya juu.pata picha.
 
Isiwe tu sanaa maana kuna kama maswali mawili matatu labda tujiulize...

1) Slaa kuendelea kukaa kimya je inaisiadia UKAWA na Mgombea wao??

2) Je Slaa kujiunga kwenye uwanja wa mapambano nini itakuwa impact yake??

3) Tumewasikia ACT-Wazalendo leo wakiibeba agenda ya UFISADI Je Slaa akiamua kuvunja ukimya na kujiunga na hao wazelendo kusimamia kile anachokiamini yaani VITA DHIDI YA UFISADI nini itakuwa athari kwa LOWASA na UKAWA??
Kwa taarifa yako haiwezekani na wala haitakuja tokea Slaa akafanya Kazi pamoja na Zito.
 
Mkuu ondoa wasiwasi na sio rahisi kwa Dr.Slaa kuihama CHADEMA maana anajua nini anafanya na nahisi kati ya week mbili hizi atakuwa karejea kwenye kikosi cha UKAWA na alishakanusha kuhama CHADEMA na atabaki kuwa "katibu mkuu wa CHADEMA"...aliyasema haya tarehe-22 j'mosi kabla ya uzinduzi wa kampeni za CCM tareh-23 kwa kupinga kauli ya CCM eti wangempokea Dr. Slaa ile siku ya uzinduzi wa kampeni za CCM pale Jangwani...

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI.

Kwa siku kadhaa ndani ya mitandao ya kijamii wanachama wa chama cha mapinduzi (CCM) wamekuwa wakilitumia jina langu kwamba eti wamenishawishi kujiunga na chama chao na kuwa siku ya jumapili tarehe 23/08/2015 nitajiunga na chama chao, katika uzinduzi wa kampeni zao

WALIYOYAFANYA.

1. Ni kweli na dhahiri kwamba CCM wamenishawishi kwa fedha na vyeo ili nijiunge na chama chao.
2. Wamewatuma wazee wengi sana kuja kunishawishi akiwemo katibu mkuu wao, mkuu wa usalama wa taifa, wazee wa chama chao nk.

MASWALI YA KUJIULIZA.

1. Kwa nini CCM wananifuata wakati huu na sio wakati mwingine?
2. Je, mbona mwaka 1995 walinitusi sana nilipoamua kuhama CCM, hali kadhalika mwaka 2010?
3. Je, sio kwamba CCM maji ya shingo yamewafikia?
4. Je, kwa nini wananiahidi vyeo vikubwa na mapesa mengi wakati huu na sio wakati mwingine kama wao walitambua kwamba nilistahili kuyapata hayo miaka iliyopita?

TAHADHARI.

1. Kwa hatua hiyo ni kwamba CCM wanatambua kwamba wamepoteza mvuto kwa wananchi hivyo hatuna budi kuyatafuta mabadiliko nje ya CCM.
2. Sina mpango wala sifikirii kukihama chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) chini ya mwavuli wa UKAWA.
3. Baada ya CCM kuyaona mafuriko ya ukawa sasa wamegundua kwamba kuelekea uzinduzi wa kampeni zao walitumie jina langu ili angalau wapate watu wengi kwa sababu wanaelewa fika kwamba wamepoteza mvuto (MSIDANGANYIKE).
4. Siwezi kuyasaliti matumaini ya watanzania kwa maslahi yangu binafsi.
5. Hilo ndio goli la mkono wanalolisubiri kwa miujiza (Yesu atakapokuja kwa mara ya pili).

MWISHO.

Nawatakia kila la kheri katika kuyatafuta mabadiliko nje ya CCM, daima tusife moyo tupo pamoja na tutashinda kwa nguvu ya umma.

Wenu katika ukombozi,
Dr. Wilbrod Slaa,
KATIBU MKUU, CHADEMA.

aliongelea wapi haya hebu tukumbushe....pia kumbuka "Silence is best answer to a fool" Dr. Slaa amewajibu kwa kukaa kimya....
 
Isiwe tu sanaa maana kuna kama maswali mawili matatu labda tujiulize...

1) Slaa kuendelea kukaa kimya je inaisiadia UKAWA na Mgombea wao??

2) Je Slaa kujiunga kwenye uwanja wa mapambano nini itakuwa impact yake??

3) Tumewasikia ACT-Wazalendo leo wakiibeba agenda ya UFISADI Je Slaa akiamua kuvunja ukimya na kujiunga na hao wazelendo kusimamia kile anachokiamini yaani VITA DHIDI YA UFISADI nini itakuwa athari kwa LOWASA na UKAWA??

Majibu kwa mtazamo wangu:

1) UKAWA wateendelea kukaa kimya kuhusu jinsinya kupambana na ufisadi tofauti vyama vingine vinavyoahidi kuushughulikia kwa mikakati mbalimbali ikiwamo kuanzisha mahakama ya kushughulikia mafisadi.

2) Ni vigumu kwa Slaa kuingia ulingoni kwa sababu itamlazimu ama aje na ushahidi (kukidhi hitaji la ushahidi) au akiri yalikuwa maneno ya jukwaani tu.

3) Kama jibu la swali la 2) hapo juu ni kitendawili alichokitega Slaa na hakijapata mteguaji. Labda tumpe mji atutegulie.
 
Swala La Slaa Ndani ya wiki hii au wiki ijayo litatolewa taarifa rasmi na viongozi Wa Cdm

Mhhh una uhakika na unachoongea wacha mimi nijichekee maana hy kesho unayoisema utajificha
 
Back
Top Bottom