jmushi1
Platinum Member
- Nov 2, 2007
- 25,994
- 24,594
Wanajamvi,
Nafahamu humu kuna wakati issue ya Dr Slaa ilikuwa “So polarizing”, kwa maana imekuwa ni hoja “gawanyishi”, wenye kumpinga kabisa, na wenye kuamini kabisa msimamo wake!
Wengi wetu ambao tulikuwa mashabiki wake, tulitaka kufahamu kiundani haswa nini kilitokea. Mfano kuna thread hii..
Hivi Dr D.W Slaa alihama CHADEMA kwa sababu Lowassa alihamia au aligombea urais kwa tiketi ya CHADEMA? - JamiiForums
Sasa kuna taarifa “rasmi”, iliyoletwa na member Mwanahabari Huru , inayosema Dr Slaa anarudi chadema. Ndipo nikakumbuka kuhusu thread ya Salary Slip. Nilipoona lile, nikaonya kuwa Dr Slaa, kutokana na legacy yake, lazima atarudi chadema. Kwasababu nilipata jibu kwenye thread yangu ile kuwa sababu kubwa ilikuwa ni ujio wa Lowassa chadema, na wala siyo tu kugombea kwake urais. Hili likanifanya kuamini kama bado mtu mwenye principles, ili kulinda legacy yake, lazima atarudi, lakini nikaonya kuwa mawazo kama hayo yataleta mgogoro mwingine ndani ya chadema! Jambo ambalo hawalihitaji kwa sasa!
Suala la yeye kukubali ubalozi, halikuonekana kuwa ni baya. Hata hivyo leo kwenye thread inayozungumzia kurudi kwake rasmi chadema, kuna members Mfano Pythagoras na nyabhingi wakilgomea kabisa uamuzi huo na hata mmojawapo kusema atajitoa chadema.
Ndipo nikaamuwa kuanzisha uzi huu. Maana sioni kama ni jambo jema kwa chadema kugawanyika tena. Kama atapokelewa sioni shida yoyote.
Maoni yanakaribishwa...