Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,126
- 4,169
Huyu jamaa simuamini hata sec. Kesho akipewa cake atasifia
Huu ujinga wa kuita watu waliopigwa chini wastaafu ulianza kipindi Lowassa kajiuzulu uwaziri mkuu. Yaani ni uhuni fulani hivi.Dkt Slaa sio Balozi mstaafu. Alifutiwa hadhi ya ubalozi . Ni heri kumwita Balozi msaliti.
Wajinga wamekuwa wengi sana ukizingatia na kaelimu walikonako
Chadema ndio wahuni?Huu ujinga wa kuita watu waliopigwa chini wastaafu ulianza kipindi Lowassa kajiuzulu uwaziri mkuu. Yaani ni uhuni fulani hivi.
Ni kawaida Kwa wateuliwa kujipendekeza Kwa mabosi zao ili waendelee kula mema ya nchiEti Chalamila ni Mkuu wa Capital City. Serikali ina mambo ya hovyo kabisa
🤣🤣🤣Kuna mwingine huku ni CHAWA mwandamizi Lucas mwashambwa
Magufuri alikuwa mchapakazi, siyo huyu mpaka ripstikiMbona yeye alikuwa anamsifia magufuli kwa kila kitu!!
Aache unafiki
Uchapakazi unaupimaje?Magufuri alikuwa mchapakazi, siyo huyu mpaka ripstiki