Ritz,Slaa, yaani leo ndio unaomba hati ya muungano umekaa bungeni miaka mingi hata siku moja ujaomba hati.
Halafu nakushangaa utaki muungano wakati unagombea urais mgombea mwenza wako alitoka Zanzibar kupitia huu muungano.
Kwa nini mnakaa na mbunge wa Zanzibar Raya Ibrahimu ambae katokana na huu muungano.
Na wewe si ndio ulituambia mnakubalika Uzini sijui ulikwenda Zanzibar kufanyaje wakati huu muungano hautambui.
Tuipiganie Tanganyika kabla ya kutoa maoni ya katiba ya muungano.
ofcourse that's why wa-zenji wameamua kuivunja hii ndoa!
Bcoz wa zenji ndio wanaofaidika na huu muungano so why hawautaki?
Jamani, hapa swala sio Muungano unamnufaisha nani au nani anafaidika na huo Muungano.
Swala lilopo ni kwamba, viongozi wamechelewa kushughulikia Matatizo ya waZanzibar. Wamechoshwa ni zile kauli za Viongozi wetu "tulieni tutashughulikia" or "tupeni muda"
Wanzazibar wamechoshwa na story za ufisadi za Tanzania bara kila siku. Wanataka nchi yao. Wanaamini wakiimiliki asilimia 100% watapiga maendeleo. Kuliko kuisubiria story za CCM.
My take: kwenye ndoa mtu mmoja akisema anataka taraka. Ni bora kupeana mapema. Hakuna haja ya kung'ang'aniana, kama hakuna Mapenzi tena. Viongozi walikuwa wapi kushunghulikia matatizo ya waZanzibar mpka hali imeefikia hivi????
Bravo wazenji kwa kuonyesha ujasiri. Na kuchoshwa na siasa za Bara (story nyingi na ufisadi ndani)
Binafsi naona huu muungano unawacheleweshea hawa ndg zetu maendeleo.......nadhani ccm bara wanaogopa kuumbuliwa na kasi ya maendeleo ya wa zenji kama watajitenga.Wazenji, walianza ku_point siku nyingi Matatizo ya Muungano. Na matatizo yanajulikana. Ila serikali yetu sababu ni ya kibabe na huwa inafanya maamuzi kibabe na dharau. Huwa haisikilizi wananchi. Utawasikia eti "huu ni upepo wa kisiasa unapita"
Wazenji sasa wamechoka... Tuwape nchi yao jamaniiiii..
Utang'ang'aniaje ndoa wakati mke/mme hakutaki???? (Wewe kila siku akikuelezea matatizo yake unampiga, na dharau juu) amechoka sasa.
Binafsi naona huu muungano unawacheleweshea hawa ndg zetu maendeleo.......nadhani ccm bara wanaogopa kuumbuliwa na kasi ya maendeleo ya wa zenji kama watajitenga.
Ukweli mtupu ndoa gani haina cheti?
Jamani, hapa swala sio Muungano unamnufaisha nani au nani anafaidika na huo Muungano.
Swala lilopo ni kwamba, viongozi wamechelewa kushughulikia Matatizo ya waZanzibar. Wamechoshwa ni zile kauli za Viongozi wetu "tulieni tutashughulikia" or "tupeni muda"
Wanzazibar wamechoshwa na story za ufisadi za Tanzania bara kila siku. Wanataka nchi yao. Wanaamini wakiimiliki asilimia 100% watapiga maendeleo. Kuliko kuisubiria story za CCM.
My take: kwenye ndoa mtu mmoja akisema anataka taraka. Ni bora kupeana mapema. Hakuna haja ya kung'ang'aniana, kama hakuna Mapenzi tena. Viongozi walikuwa wapi kushunghulikia matatizo ya waZanzibar mpka hali imeefikia hivi????
Bravo wazenji kwa kuonyesha ujasiri. Na kuchoshwa na siasa za Bara (story nyingi na ufisadi ndani)
Slaa ameishiwa mistari arudi tena kwa majani!
sababu ni hizi hapa chini:Mkuu labda uniambie wewe kwa nini Chadema wamesusia sherehe za muungano?
Dr Willibrod slaa ameiomba serikali imuonyeshe hati ya muungano ili autambue muungano.Akiongea na waandishi wa habari leo amesema watanzania tuache unafiki na badala yake hati ya muungano inatakiwa ionyeshwe hadhali ili watanzania wa ione na kama inaitaji kufanyiwa marekebisho basi ifanyiwe.
Akimalizia mahojiano amewauliza waandishi kama kuna miongoni mwao aliyewahi kuiona hati hiyo ya muungano.
Chanzo:star tv.
Inamaana imefishwa?then why?kunani hapa???