Dr Slaa: Nionyesheni hati ya muungano ili nami niutambue muungano!

Slaa, yaani leo ndio unaomba hati ya muungano umekaa bungeni miaka mingi hata siku moja ujaomba hati.

Halafu nakushangaa utaki muungano wakati unagombea urais mgombea mwenza wako alitoka Zanzibar kupitia huu muungano.

Kwa nini mnakaa na mbunge wa Zanzibar Raya Ibrahimu ambae katokana na huu muungano.

Na wewe si ndio ulituambia mnakubalika Uzini sijui ulikwenda Zanzibar kufanyaje wakati huu muungano hautambui.
Ritz,
kwa kuongezea tu, hivi anakumbuka kuwa alikula kiapo wakati akiwa mbunge?
Angetueleza hicho kiapo kinasemaje na kwanini aliapa.
 
Kwanini hawa ccm wanakataa kura za maoni ya wananchi kujiamulia hatima yao wenyewe!! Hamuwezi kulazimisha ndoa kama hakuna maridhiano mtakuwa mnajidanganya!!
 
ofcourse that's why wa-zenji wameamua kuivunja hii ndoa!
Bcoz wa zenji ndio wanaofaidika na huu muungano so why hawautaki?

wakiwa wenyewe watafaidika zaidi...itakua nchi ya kiislamu ile kama uarabuni vile...
 
Jamani, hapa swala sio Muungano unamnufaisha nani au nani anafaidika na huo Muungano.

Swala lilopo ni kwamba, viongozi wamechelewa kushughulikia Matatizo ya waZanzibar. Wamechoshwa ni zile kauli za Viongozi wetu "tulieni tutashughulikia" or "tupeni muda"

Wanzazibar wamechoshwa na story za ufisadi za Tanzania bara kila siku. Wanataka nchi yao. Wanaamini wakiimiliki asilimia 100% watapiga maendeleo. Kuliko kuisubiria story za CCM.

My take: kwenye ndoa mtu mmoja akisema anataka taraka. Ni bora kupeana mapema. Hakuna haja ya kung'ang'aniana, kama hakuna Mapenzi tena. Viongozi walikuwa wapi kushunghulikia matatizo ya waZanzibar mpka hali imeefikia hivi????

Bravo wazenji kwa kuonyesha ujasiri. Na kuchoshwa na siasa za Bara (story nyingi na ufisadi ndani)
 
Wazenji, walianza ku_point siku nyingi Matatizo ya Muungano. Na matatizo yanajulikana. Ila serikali yetu sababu ni ya kibabe na huwa inafanya maamuzi kibabe na dharau. Huwa haisikilizi wananchi. Utawasikia eti "huu ni upepo wa kisiasa unapita"

Wazenji sasa wamechoka... Tuwape nchi yao jamaniiiii..

Utang'ang'aniaje ndoa wakati mke/mme hakutaki???? (Wewe kila siku akikuelezea matatizo yake unampiga, na dharau juu) amechoka sasa.

Mimi naamini matatizo yangeshughulikiwa Mapema. Leo wanzazibar wasingekuwa na kinyongo wala hasira.
 
Wazenji, walianza ku_point siku nyingi Matatizo ya Muungano. Na matatizo yanajulikana. Ila serikali yetu sababu ni ya kibabe na huwa inafanya maamuzi kibabe na dharau. Huwa haisikilizi wananchi. Utawasikia eti "huu ni upepo wa kisiasa unapita"

Wazenji sasa wamechoka... Tuwape nchi yao jamaniiiii..

Utang'ang'aniaje ndoa wakati mke/mme hakutaki???? (Wewe kila siku akikuelezea matatizo yake unampiga, na dharau juu) amechoka sasa.
Binafsi naona huu muungano unawacheleweshea hawa ndg zetu maendeleo.......nadhani ccm bara wanaogopa kuumbuliwa na kasi ya maendeleo ya wa zenji kama watajitenga.
 
Binafsi naona huu muungano unawacheleweshea hawa ndg zetu maendeleo.......nadhani ccm bara wanaogopa kuumbuliwa na kasi ya maendeleo ya wa zenji kama watajitenga.

Kaka, Wazenji wanaamini wakipewa uhuru wao wanaweza piga hatua kubwa kimaendeleo kuliko story za wabara na ufisadi wetu.

Matatizo madogo madogo, wanayapigia kelele kila siku. CCM wanaleta "sound" badala ya vitendo. Wamechoka sasa.

Viongozi wetu wa CCM wanogopa kuvunja Muungano kwa sababu ya personal interests zao. Viongozi wengi wana_shares kwenye ma_hotel ya Zanzibar. Kivumbi ni pale muungano utapovunjika.
 
Jamani, hapa swala sio Muungano unamnufaisha nani au nani anafaidika na huo Muungano.

Swala lilopo ni kwamba, viongozi wamechelewa kushughulikia Matatizo ya waZanzibar. Wamechoshwa ni zile kauli za Viongozi wetu "tulieni tutashughulikia" or "tupeni muda"

Wanzazibar wamechoshwa na story za ufisadi za Tanzania bara kila siku. Wanataka nchi yao. Wanaamini wakiimiliki asilimia 100% watapiga maendeleo. Kuliko kuisubiria story za CCM.

My take: kwenye ndoa mtu mmoja akisema anataka taraka. Ni bora kupeana mapema. Hakuna haja ya kung'ang'aniana, kama hakuna Mapenzi tena. Viongozi walikuwa wapi kushunghulikia matatizo ya waZanzibar mpka hali imeefikia hivi????

Bravo wazenji kwa kuonyesha ujasiri. Na kuchoshwa na siasa za Bara (story nyingi na ufisadi ndani)

hata sisi wabara tumewachoka sana wazenji
chukueni nchi yenu iwe ya kiislam itasonga mbele
 
Maadui huwa wanafurahia sana hii kitu; DIVIDE AND RULE!! Badala ya kufikiri jinsi gani AFRICA yote iungane, tunaanza kushabikia kutengana!
 
Hivi, kwa mfano, nani aliamua kilimanjaro na mtwara wawe nchi moja (Tanganyika)? Kulikuwa na referendum ili wachaga na wamakonde watoe maoni yao?

Nakumbuka hivyo ndivyo Mwl alivyojaribu ku argue for this union, ambao angalau waliofanya maamuzi ni miongoni mwa watanganyika/wazanzibari!

Lakini hata tukizungumzia dhana nzima ya referendum, nadhani nayo bado inakuwa na walakini kama haifanyiki mara kwa mara maana mazingira na jamii inabadilika (kizazi kilichopo leo ambacho pengine kinakubali muungano ni kwa nini kilazimishe kizazi kijacho kuendelea na muungano huo?).
 
Mkuu labda uniambie wewe kwa nini Chadema wamesusia sherehe za muungano?
sababu ni hizi hapa chini:
1. muungano unalalamikiwa na pande zote mbili, hivyo kushiriki sherehe za kitu kinacholalamikiwa ni unafiki.
2. nchi ina tatizo kubwa la fedha, hivyo kufanya sherehe katikati ya dimbwi la umaskini ni ufisadi.
3. muda wa kushiriki sherehe kwa sasa haupo kabisa, muda uliopo ni kuwaamsha mliolala tusonge mbele, M4C ni zaidi ya sherehe mkuu Ritz.
 
Dr Willibrod slaa ameiomba serikali imuonyeshe hati ya muungano ili autambue muungano.Akiongea na waandishi wa habari leo amesema watanzania tuache unafiki na badala yake hati ya muungano inatakiwa ionyeshwe hadhali ili watanzania wa ione na kama inaitaji kufanyiwa marekebisho basi ifanyiwe.
Akimalizia mahojiano amewauliza waandishi kama kuna miongoni mwao aliyewahi kuiona hati hiyo ya muungano.

Chanzo:star tv.

Inamaana imefishwa?then why?kunani hapa???

hapa ndipo mimi huwa natilia shaka wisdom ya Slaa ukizingatia umri na elimu yake. hivi aligombea urais wa nchi gani 2010? halafu alikuwepo CCM enzi za Mwalimu, nasikia mwalimu alikua anampenda sana kwa nini hakumuuliza swali hili? swali hili ageuliza mnyika, dogo janja, HM, na vijana wengine wadogo ningeelewa, for Slaa this is just too low for a states man of his calibre, just too low! assuming mwaka 2015 anagombea tena atagombea urais wa nchi gani?
 
Back
Top Bottom