Dr Slaa: Nionyesheni hati ya muungano ili nami niutambue muungano!

dr. slaa ni kiongozi mvumilivu na mzalendo sana ingekuwa mwanasiasa mwingine kaibiwa kura 2010 kama ilivyomtokea nchi isingetawalika
 
Jamani Jamani Jamani, Nyerere alikataza hiyo kitu Jamani!

Wafu hawawezi kuamua mambo ya walio hai-its tm sisi tujue mambo yetu
 
Unadhani watz wote tuna mawazo mafupi kama wewe? hiyo dhamira ipo wapi ktk huu muungano wa kinyonyaji? kwa hiyo huko kijijini kwenu kuna umeme wa uhakika,maji safi,huduma bora za afya,watoto wanapata elimu bora? Tunataka TANGANYIKA irudi ili ishughurike na hayo moja kwa moja!

Umeme, maji safi, huduma za afya na mengineyo we union yanaletwa au kutoletwa na muungano?
 
RASIMU YA KATIBA YA JMT
1.
(3) HATI YA MAKUBALIANO YA MUUNGANO iliyorejewa katika ibara ndogo ya(1),ndio msingi mkuu wa jamuhuri ya muungano wa tanzania na katiba hii,kwa kadiri itakavyo rekebishwa,itakuwa ni muendelezo wa makubaliano hayo.

IVI jamani msema kweli mpenzi wa mungu WANGANYKIKA NA WAZANZIBAR(WATANZANIA) tutakuwa wajinga kiasi gani ikiwa tutapitisha katiba hii bila ya kuona na kuisoma HATI ya makubaliano ya muungano. MM kama haikutolewa nikaiona na kuisoma niko mbali na mchakato huu.sita kuwa sehemu ya upumbavu huo.
 
Sina hakika kama kweli sasa ni muhimu kukazania kuona hati ya muungano, lakini majibu yanayotokea Dodoma yanawafanya watu kuwa na wasiwasi ikiwa hati hiyo ipo. Kuna maelezo kuwa iko Umoja wa Mataifa ambako tuna mwakilishi wetu, kwa nini asielekezwe kugomba na kutoa nakala itakayothibitishwa na mwanasheria na kuiscana na kuitamka huku. Wengine wanasema iko Mahakama Kuu imeifadhiwa. Mahakama kuu iko Dar ambako si mbali sana na inaweza tu kutolewa mara moja.

maoni yangu ni kuwa tuache kulikuza hili kwa kutunga uongo. Tukubali tuna muungano uliodumu miaka 50 na tuna dhamira ya kuuendeleza.
 
dr. slaa ni kiongozi mvumilivu na mzalendo sana ingekuwa mwanasiasa mwingine kaibiwa kura 2010 kama ilivyomtokea nchi isingetawalika

Na wabunge waliokuwa wanagombea mwaka 2010 nao waliibiwa kura? Maana kati ya majimbo yote CHADEMA iliambulia majimbo 23 tu! hii hekaya ya BABU kuibiwa kura haiaminiki hata na mtoto mchanga!
 
Na wabunge waliokuwa wanagombea mwaka 2010 nao waliibiwa kura? Maana kati ya majimbo yote CHADEMA iliambulia majimbo 23 tu! hii hekaya ya BABU kuibiwa kura haiaminiki hata na mtoto mchanga!

mwehu...mm
 
Dr Willibrod slaa ameiomba serikali imuonyeshe hati ya muungano ili autambue muungano.Akiongea na waandishi wa habari leo amesema watanzania tuache unafiki na badala yake hati ya muungano inatakiwa ionyeshwe hadhali ili watanzania wa ione na kama inaitaji kufanyiwa marekebisho basi ifanyiwe.
Akimalizia mahojiano amewauliza waandishi kama kuna miongoni mwao aliyewahi kuiona hati hiyo ya muungano.

Chanzo:star tv.

Inamaana imefishwa?then why?kunani hapa???

Kama hautambui muungano 2010 alikwenda Zanzibar kufanya Kampeni za nini? Kwa nini amekubali kupewa passport yenye kutambua muungano na siyo passport ya Tanganyika? Kwa nini anajiita ni Mtanzania na siyo Mtanganyika?
 
kny kamati hati ilikuwepo,sema wakawa wanadai ni hati feki,c unawajua chadomon kila kitu ni kupinga tu!!!!!!!!
 
Dr Willibrod slaa ameiomba serikali imuonyeshe hati ya muungano ili autambue muungano.Akiongea na waandishi wa habari leo amesema watanzania tuache unafiki na badala yake hati ya muungano inatakiwa ionyeshwe hadhali ili watanzania wa ione na kama inaitaji kufanyiwa marekebisho basi ifanyiwe.
Akimalizia mahojiano amewauliza waandishi kama kuna miongoni mwao aliyewahi kuiona hati hiyo ya muungano.

Chanzo:star tv.

Inamaana imefishwa?then why?kunani hapa???

Na asipoiona je?
 
Hiyo ya kuchapwa kwa kompyuta wewe umeiona wapi?

Jaribu kuzishughulisha akili zako japo kidogo kuliko kusubiri kutafuniwa.

Ok waulize wabunge wako wa bunge la katiba wakuonyeshe nakala waliyopewa ta huo mvungano wenu.
 
Back
Top Bottom