Dr. Slaa athibitisha kuwa hati ya muungano haipo umoja wa mataifa

Mr. Hussein Juma

Verified Member
Mar 5, 2012
729
1,000
Ni katika ziara yake ya UKAWA mkoani Geita, Dr. Slaa amesema hati hiyo ya muungano haipo umoja wa mataifa kama walivyokuwa wakidai kina naniii huku wakimwita Lissu majina mabaya kuwa ni mropokaji ana ugonjwa wa akili na mengine mengi.

Akihutubia mkutano wa hadhara, katibu mkuu wa CHADEMA amehoji swali muhimu sana kuwa, je, umoja wa mataifa wakidai hati hiyo,itapelekwa hati gani? Maana iliyoandaliwa na Nyerere ni ya Tanganyika na siyo ya muungano.

Asante sana Mh.Lissu,you are my hero of the day!

SOURCE: ITV, taarifa ya habari ya saa mbili
 

nditolo

JF-Expert Member
Jul 2, 2011
2,395
2,000
Hayo yamesemwa leo na Katibu mkuu wa Ukweli Mzalendo, wakati akihutubia umati wa maelfu ya wananchi waliojitokeza wenyewe kwenye mikutano ya UKAWA inayoendelea huko Mkoani Geita. Habari ndo hiyo, na ccm wameanza kupigana wenyew kati ya ccm Zanzibar na ccm Tanganyika. Leo Kessy wa Nkasi amenusurika kupigwa na Intarahamwe wenzake kutoka Zanzibar baada ya kuwambia kuwa wanapewa kila kitu kutoka Tanganyika na hivyo kufananishwa na koloni lisilokuwa na faida. Source; ITV leo katika taarifa ya habari saa mbili usiku.

May take; Ufalme wa uongo hauwezi kudumu kamwe.
 
  • Thanks
Reactions: jme

dalushi

JF-Expert Member
Apr 30, 2014
288
0
Ni katika ziara yake ya UKAWA mkoani Geita,Dr.Slaa amesema hati hiyo ya muungano haipo umoja wa mataifa,kama walivyokuwa wakidai kina naniii huku wakimwita Lissu majina mabaya kuwa ni mropokaji,ana ugonjwa wa akili na mengine mengi.Akihutubia mkutano wa hadhara,katibu mkuu wa Chadema amehoji swali muhimu sana kuwa,"je,umoja wa mataifa wakidai hati hiyo,itapelekwa hati gani? Maana iliyoandaliwa na Nyerere ni ya Tanganyika,si ya muungano".

Asante sana Mh.Lissu,you are my hero of the day!

SOURCE;taarifa ya habari ya saa mbili ITV.

Hamna jipua lolote hapo
 

nditolo

JF-Expert Member
Jul 2, 2011
2,395
2,000
Hiyo ni taarifa kutoka UN kuja kwa Wapigania uhuru UKAWA ambayo ameipokea Dr. huyo mwenye CANONE LAW. Hayo yamesemwa leo na Katibu mkuu wa Ukweli Mzalendo, wakati akihutubia umati wa maelfu ya wananchi waliojitokeza wenyewe kwenye mikutano ya UKAWA inayoendelea huko Mkoani Geita. Habari ndo hiyo, na ccm wameanza kupigana wenyew kati ya ccm Zanzibar na ccm Tanganyika. Leo Kessy wa Nkasi amenusurika kupigwa na Intarahamwe wenzake kutoka Zanzibar baada ya kuwambia kuwa wanapewa kila kitu kutoka Tanganyika na hivyo kufananishwa na koloni lisilokuwa na faida. Source; ITV leo katika taarifa ya habari saa mbili usiku.

May take; Ufalme wa uongo hauwezi kudumu kamwe.
 

nditolo

JF-Expert Member
Jul 2, 2011
2,395
2,000
Huo ndo ukweli hata mm namuamini sana huyu Dr. mwenye PhD ya darasani na sio zawadi kama wanavyopewa wengine.
 

nditolo

JF-Expert Member
Jul 2, 2011
2,395
2,000
Hati ya muungano haipo UN. Hayo yamesemwa na Dr. wa ukweli Peter Slaa leo kwenye mikutano inayoendelea ya UKAWA huko mkoani Geita. Amesema wameletewa taarifa toka UN iliyotumwa kwao UKAWA kama taarifa toka UN kuwa hawana hati ya muungano.

Source ITV; leo saa mbili usiku. Mods msiiondoe thread hii, watu wajadili kwa faida ya Nchi.

Uongo haufai na huwezi danganya watu wote wakati wote
 

chardams

JF-Expert Member
May 1, 2012
2,416
2,000
Wakati hati ianoneshwa bungeni, karatasi yake ilikuwa inang'aa; hivi unategemea karatasi iliotengenezwa miaka ya 60 na ing'ae kivile, Ile ilikuwa feki.
UKAWA JUUUUUUUUU
 

nditolo

JF-Expert Member
Jul 2, 2011
2,395
2,000
Songa mbele na kumsogelea adui UKAWA JUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU sana
 

KIDUDU

JF-Expert Member
Sep 17, 2012
2,562
2,000
Mkuu siku zote hizi hujazoea uzushi wa Dr.Slaa? Au wewe ni mgeni hapa Tanzania?

Hii username ulijipa au uliangalua kwanza akili yako ina uwezo gani? Inaonekana wewe ni geneous maana ulijiita username sawa kabisa na uwezo wako wa kufikiri. Hongera sana
 

swissme

JF-Expert Member
Aug 15, 2013
13,661
2,000
Hii username ulijipa au uliangalua kwanza akili yako ina uwezo gani? Inaonekana wewe ni geneous maana ulijiita username sawa kabisa na uwezo wako wa kufikiri. Hongera sana
Asante kwa kumuelimisha MSALANI yeye just buku 7 si unajua wanalipwa kwa wingi wa msg.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom