Dr Slaa: Nimelishwa maneno na magazeti

Dr Slaa: Nimelishwa maneno na magazeti

Status
Not open for further replies.
wakati ndo jina mnalolidiscuss kuliko yote kila siku,humuwezi Zitto na degree yako ya chuo cha kata india

Kama ni Chuo Cha Kata basi Serikali ya Tanzania iliyonitafutia Chuo kupitia Ubalozi wa Tanzania India basi Serikali hiyo pia ni ya Kata.
 
Punguza Hasira....JF ilishawahi kutafuta ukweli kwa kuwasiliana na verified Member mmoja hapa!

nani_MSHUMBUSI? yeye si alisema alitumia ID ya mzee kwsbb watu walimkasirisha sana kwssbb wamewekeza sana CDM hata hela yao haijarudi eti wanaanza kutaka uchaguzi, mara Tender Board, mara approval ya CC kwa ajili ya consultancy service yake, mara CAG matumizi, etc_akaamua awaonyeshe hiyo ni mali binafsi under TRADE NAME ya CDM_kama KAKOBE na kanisa lake
 
kapuya mbakaji na anayepakaza watoto wa wenzie ukimwi..shut up

MACCM BHANA ATI WANATETEA MATENDO HAYA YA UBAKAJI,, SIJUI NDIO MISUKUMO YA KISHIRIKINA HII ILI WAPATE KUKUBALIKA KT SIASA AU ATI UKITEMBEA NA KABINTI VVU INAPONA.

NASIKIA KUNA LIBUNGE LAO LIMAMA LIZEE NALO ATI LIMEOLEWA NA KA KIJANa? USHIRIKINA WA CCM BHANA MAJANGA KWA TAIFA
 
Hivi ile Report dhidi ya Zitto ni kweli uliitoa Makao makuu ya Chadema au mnyika ni Mzushi kwa kukukana hadharani!

wapi hiyo ripoti iliponitaja Mimi kuwa ninahusika?

Mimi nimeiona mitandaoni kama engine walivyoiona,

lete ushahidi kuwa Mimi "ninahusika"
 
Mnapofanya Kazi na Slaa muwe makini kutunza ushahidi, aliwahi kumkana Mzazi mwenzio Rose Kamili kuwa hajawahi kuwa Mkewe japo wamepata Watoto wawili na Mama anadai walikuwa na Ndoa Rasmi Tatizo Hati za Ndoa alitunza Slaa, Yericko angepokea ile Report kwa ku sign kwenye Despatch na kubaki na Nakala ya ile Despatch leo wasingemkana, aliwahi kusema humu kuwa Chadema kwenye katiba yake haijawahi kuwa na kipengele chenye ukomo wa Uongozi kwa Mwenyekiti akaja kuumbuka humu humu kupitia kwa Chabruma aliweka hicho kipengele hadharani, Hata Ludovick si bure walimtuma akatoswa kwa uzembe wake wa kutotunza kumbukumbu, Hata nyie Waandishi muwe mnaenda na Recorder mnapoongea na huyu Mzee maana kukana kwake ni jambo Rahisi kuliko kukubali!
 
wapi hiyo ripoti iliponitaja Mimi kuwa ninahusika?

Mimi nimeiona mitandaoni kama engine walivyoiona,

lete ushahidi kuwa Mimi "ninahusika"

Hahahaa! Sasa kila mmoja anaikana ile Report toka Makao makuu basi itakuwa imejileta yenyewe! Kazi iliyopo mbele yako ni kuthibitisha ile Report, Mlango wa kukana na kutubia Uongo umeshafungwa na Fungua zimetupwa chooni
 
Juzi alhamisi limesema lema alijengwa na mwigamba, Mwigamba ambaye katika siasa zaArusha hajulikani kabisa. LEMA aligombania ubunge mwaka 2005 kupitia Tlp na kupata kura 42250 dhidi ya CCm 44780 juzi nilishangaa nilivyoona makala ya ajabu kwenye gazeti hilo.Siasa za Arusha za Chadema zimejengwa na kamanda lema. Mawio fanyeni utafiti kwani heshima yenu ni kusema ukweli

Siasa za CHADEMA. ZIMEJENGWA NA LEMA? KWELI? HADI 2008 LEMA ALIKUWA NI KIONGOZI WA TLP!! UNATAKA KUSEMA YA LEMA KUJIUNGA NA CHADEMA HAKUKUWA NA CHADEMA ARUSHA?
 
wapi hiyo ripoti iliponitaja Mimi kuwa ninahusika?

Mimi nimeiona mitandaoni kama engine walivyoiona,

lete ushahidi kuwa Mimi "ninahusika"

wewe b.w.e.g.e kweli kweli_umeanza kuruka wakat ulikuwa ukijinasibu hapa_tulia uone kaz halaf uone kama waliokuwa wanalkupa kichwa kama utawaona_matatizo ni ya kwako peke yako_wewe unaetumika kama condom kwa maslah ya watu ndo utaipata
 
"Sikuzungumza na chombo chochote kuhusu kinachoitwa ripoti, Mawio waliniomba nizungumze nikawaambia chama tayari kishatoa kauli kupitia msemaji wa chama ndugu John Mnyika, nashangaa niliyoyaona wameyaandika"

My take:

Katika hali hii sass inaonekana hata Mwanasheria wa chama Mh Marando na Mzee wetu mzee Mtei nao wamelishwa maneno katika mkakati huo huo.
Kama ni kulishwa maneno huwa analishwa kweli. Hata hapa alilishwa na alishangaa aliyoyaona yameandikwa!.

WanaJF,
Pamoja na kuwa sitaki kuingilia mjadala katika hatua hii, naomba kuthibitisha kuwa:
I) Katibu Mkuu wa Chadema, kwa mujibu wa Katiba na Kanuni ya Chadema, ndiyo mhimili mkuu na mwenye jukumu la kutunza na kuhakikisha Katiba ya Chama inatunzwa.

2) Nataka kuwahakikishia wanachadema wote, kuwa nilikuwepo nimekuwa ndani ya Chadema kuanzia 1998 ambapo nilikuwa Makamu Mwenyekiti Bara, na baadaye 2003 Kaimu Katibu Mkuu, na hatimaye Katibu Mkuu. Hivyo nimeshiriki kikamilifu kuandaa Katiba ya 2004 na pia Katiba ya 2006 baada ya Rebranding ya Chama. Nataka niwahakikishie wanachadema, hakuna toleo lolote la Katiba ndani ya Chadema imeweka " muda wa Uongozi kuwa vipindi viwili tu", kuanzia Katiba aliyoiasisi Mzee Mtei na kupitishwa na Mkutano Mkuu, wala si ya 2004 au ya 2006. Kama kuna mtu anasema ilikuwepo na imeondolewa kinyemela, basi aonyeshe kifungu hicho kwenye Katiba yeyote ile, au miniti za kikao chochote kile.

3. Mimi Dr Slaa, ndiye niliyewasilisha Miniti za Mkutano Mkuu wa 2006 kwa Msajili ikiambatana na Katiba iliyopitishwa na Mkutano Mkuu. Tulichobishana Mimi na Msajili, na kwa maandishi, ni kuwa Msajili alit aka nimwasilishie nakala ya Katiba kwa Kiingereza. Nilimkatalia kwa msingi kuwa Katiba yetu ilipitishwa na Mkutano Mkuu kwa kiswahili na Mkutano Mkuu na hivyo siwezi Mimi kumpelekea kwa Kiingereza. Msajili alidai kuwa ni hitaji la kisheria. Nilimjibu kuwa sheria hiyo inapaswa kufanyiwa marekebisho. Hata hivyo, baadaye tulikubaliana kuwa nitengeneze " literal translation" lakini kwa mahitaji ya kisheria itatumika Katiba ya Kiswahili ambayo ndiyo iliyopitishwa na Mkutano Mkuu. Hivyo, ninathibitisha kuwa hakuna kipengele chochote kilichoingizwa kinyemela.

Wanachadema, wapenzi, na wananchi kwa ujumla, huo ndio ukweli. Kama mtu anadhani kuna utata aende kwa Msajili akague Katiba ya 1992, 2004 na 2006, nadhani utaratibu wa Msajili itaruhusu ukaguzi huo. Ndio njia pekee ya kuacha kabuni na kuwa watabiri kwa misingi ya waganga wa kienyeji. Tufanye kaki kisayansi, na tusiwatie hofu wananchi bila sababu.

Kama mtu Ana ajenda yake ya siri, huyo hatuwezi kumsaidia! Wananchi, tuna mambo ya muhimu zaidi kuliko hizi propaganda, tunahitaji kutumia muda wetu kwa mambo hayo, mathalan madai ya Katiba Mpya, kupigania maslahi ya Taifa na Watanzania hasa walala hoi ambao kila siku wanazidi kupigika, kupambana na manyanyaso Kama yaliyotokea Serengeti na Babati ambao wananchi wameteswa viajabu katika nchi inayojitangaza kuwa na utawala wa sheria nk.
 
Ni mchafu sana huyu dogo anaitaji mgadi

Walioileta ile report iliyokufanya uamini unahitaji magadi wote wameikana hata Yericko kanijibu hapo juu hahusiki, Sasa inakuaje wasafi wanaogopa kuja ku defend research yao toka Mtaa Ufipa? JF tamu sana huhitaji CT Scanner kujua mijitu Miongo
 
wewe b.w.e.g.e kweli kweli_umeanza kuruka wakat ulikuwa ukijinasibu hapa_tulia uone kaz halaf uone kama waliokuwa wanalkupa kichwa kama utawaona_matatizo ni ya kwako peke yako_wewe unaetumika kama condom kwa maslah ya watu ndo utaipata

mwamnieni atangulie mahakamani, huko ndiko haki hutolewa,
 
Hahahaa! Sasa kila mmoja anaikana ile Report toka Makao makuu basi itakuwa imejileta yenyewe! Kazi iliyopo mbele yako ni kuthibitisha ile Report, Mlango wa kukana na kutubia Uongo umeshafungwa na Fungua zimetupwa chooni

Mda wa kuweweseka jf umekwisha, mwambieni atangulie mahakamani, tutalutana huko huko
 
Kama ni Chuo Cha Kata basi Serikali ya Tanzania iliyonitafutia Chuo kupitia Ubalozi wa Tanzania India basi Serikali hiyo pia ni ya Kata.

Kumbe Elimu yako ni Zao la Juhudi ya Serikali ya CCM,
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom