Dr Slaa: Nimelishwa maneno na magazeti

Dr Slaa: Nimelishwa maneno na magazeti

Status
Not open for further replies.
Akae tu kimya ,akae kimya kabisa mzee,yaaani asiseme! !!!!!!!

Matendo ya viongozi lazima yapewe maana na wanaowaongoza,ndio maana ilikuwa ni muhimu kusema japo "tumeyasikia na kuyasoma chama kitatoa tamko rasmi" ingetosha sana!!!!!!!!

Ukiwa kimya watu watakulazimisha kusema hata kwa njia isiyo sahihi!!!!!!!
Atajifunza sasa!!!
 
Politics my foot, tunauana kwa kwa vitu haramu, posho na ruzuku za vyama. I hate politics
 
mzee slaa utalishwa sana maneno mwaka huu pole mpaka utashiba na yale ya kusema hapa jf kuwa katiba ya mwaka 2004 haina kipengele cha ukomo wa uongozi nayo ulilishwa?
 
slaa hana jipya siyo mara yake ya kwanza kuropoka na baadaye kuukana ujumbe aliosema mwenyewe.
 
kama tanzania daima wanavyomchafua kapuya bila kumsikiliza.

Kwahiyo unakanusha hii kauli sio ya KAPUYA ?

[h=5]MAJIBU YA PEDESHE KAPUYA?

Eti asema Line yake ya Simu alimpatia mtu atumie....hivyo msg za Vitisho sio yeye aliyetuma"
[/h]
 
Huyo ana utetezi wa kitoto kweli.Vipi tuhuma za ubakaji ni mtu alivaa mask yenye sura yake?Illiterate Prof.
 
MAWIO imefanya jambo la aina hii tena?

Juzi alhamisi limesema lema alijengwa na mwigamba, Mwigamba ambaye katika siasa zaArusha hajulikani kabisa. LEMA aligombania ubunge mwaka 2005 kupitia Tlp na kupata kura 42250 dhidi ya CCm 44780 juzi nilishangaa nilivyoona makala ya ajabu kwenye gazeti hilo.Siasa za Arusha za Chadema zimejengwa na kamanda lema. Mawio fanyeni utafiti kwani heshima yenu ni kusema ukweli
 
Duh.Mwandishi wa Habari hiyo alikua nani?
 
Duh Sasa MAWIO imekuaje tena?

Kama ndio hivyo nashauri JF iwasiliane na Dr.Slaa kama ambavyo imewahi kufanya kutafuta ukweli ili isijekuwa hapa pia amelishwa maneno

Arudi huko huko MAWIO ili wao ndio wakanushe lakini sio kupitia hapa jf!

JF sio mahali pa watu kuja kukanushia ama kuwekea sawa habari zao hata kama walivurunda huko.

Mawio wakikanusha tutaamini zaidi kwa sbb wao ndio wameandika,halafu pili kama ni kweli kwa mujibu wa haya maandishi yako,Basi Dk Slaa aje hapa kwanza akanushe hiyo ya Mawio lakini pia akanushe hili lililobandikwa hapa,kwa sbb wewe ni mbinafsi sana,unataka yako tu ndio ysaminiwe!!
 
mzee slaa utalishwa sana maneno mwaka huu pole mpaka utashiba na yale ya kusema hapa jf kuwa katiba ya mwaka 2004 haina kipengele cha ukomo wa uongozi nayo ulilishwa?

Kapuya wa CCM kabaka na kulawiti na kumuambikiza mtoto wa miaka 14 HIV!

CCM ni wauaji
 
Arudi huko huko MAWIO ili wao ndio wakanushe lakini sio kupitia hapa jf!

JF sio mahali pa watu kuja kukanushia ama kuwekea sawa habari zao hata kama walivurunda huko.

Mawio wakikanusha tutaamini zaidi kwa sbb wao ndio wameandika,halafu pili kama ni kweli kwa mujibu wa haya maandishi yako,Basi Dk Slaa aje hapa kwanza akanushe hiyo ya Mawio lakini pia akanushe hili lililobandikwa hapa,kwa sbb wewe ni mbinafsi sana,unataka yako tu ndio ysaminiwe!!

Punguza Hasira....JF ilishawahi kutafuta ukweli kwa kuwasiliana na verified Member mmoja hapa!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom