Dr Slaa: Nimelishwa maneno na magazeti

Dr Slaa: Nimelishwa maneno na magazeti

Status
Not open for further replies.
lakini na yeye kama kiongozi tungependa atoe msimamo wake wazi wazi kama kiongozi mkuu wa chama because the issue is so serious au hadi afe mtu ndo aamini the situation in chadema is so hot?

You are the one who makes it so serious by dancing to the tune
 
Serikali ilikulipia masomo yako ili uisaidie familia yako kuondokana na dhiki sio kuja kuitumikia.Cha ajabu badala ya kupunguza dhiki ya familia wewe ndio kwanza unaiongeza maradufu. Nasikitika kodi yangu ilitumbukia shimo la choo kwa kulipa tuition fees. Tukirudi kwenye mada sishangai kuropoka kwa Dr.Slaa tumeshamzoea na Double Standard zake alishawahi kukana kwamba hakuna toleo lolote la katiba lenye kipengele cha ukomo wa madaraka kitu ambacho alikuja kuumbuliwa humu na CHABRUMA au umesahau braza???Tusiotumika kama wewe hatuna tabu na Dr slaa tumeshamzoea

Unalipa wapi kodi wewe maana posho za buku 7 hazikatwi kodi.Usipende kujikweza sana
 
wapi hiyo ripoti iliponitaja Mimi kuwa ninahusika?

Mimi nimeiona mitandaoni kama engine walivyoiona,

lete ushahidi kuwa Mimi "ninahusika"
Yericko wewe ni mtu wa ajabu sana! Ulikuwa unachangia kwa vijembe ati Leo unapata gats za kukana ulichokiandika?

Usituchezee akili hapa Subiri tuzi retrieval post zako soon! We are the men of facts!
 
Kama ni Chuo Cha Kata basi Serikali ya Tanzania iliyonitafutia Chuo kupitia Ubalozi wa Tanzania India basi Serikali hiyo pia ni ya Kata.

Haitakuwa ajabu kwa serikali hii kukupeleka kwenye chuo cha kata nje,kwa sababu ni serikali hii hii yenye shule za kaya ndani ya nchi.
 
Kwa hili Yericko umepitiza mipaka yaani unakana hapa JF? Tunategeneza thread zako zote za kumkejeli ZZK na uje utoe ushuhuda! Usituchezee hapa unadhani sie Kama wewe hautunzi kumbukumbu?

Subiri kiama chako Chaja
 
"Sikuzungumza na chombo chochote kuhusu kinachoitwa ripoti, Mawio waliniomba nizungumze nikawaambia chama tayari kishatoa kauli kupitia msemaji wa chama ndugu John Mnyika, nashangaa niliyoyaona wameyaandika"

My take:

Katika hali hii sass inaonekana hata Mwanasheria wa chama Mh Marando na Mzee wetu mzee Mtei nao wamelishwa maneno katika mkakati huo huo.

Mzee Slaa waonee huruma hawa vijana usiwakane mapema hivyo.
 
Thibitisha kwanza kuwa wewe ndio umeileta ile Report toka Makao Makuu ya Chadema inakuaje unasema huhusiki wewe umeiona kama mimi nilivoiona halafu unasema Mtakutana Mahakamani?, maana inaonekana Ukifika Mahakami kazi yako itakuwa kuikana ile Report kuwa huhusiki nayo badala ya kuthibitisha kuwa kuwa Dkt Kitila Mkumbo alihongwa Fedha na Zitto toka Dkt Charles Kimei kama ilivooneshwa kwenye Report uliyoikana kama walivoikana waliokutuma wakakuingiza Mkenge na kusingizia eti wewe ni CCM na Usalama wa Taifa

Akuthibitishie wewe kama nani w/hore?
 
mzee muongo huyu eti kawekewa maneno mdomoni alikuwa kalala au uongo mwingine wakutisha kweli.
 
99% ya wanaojiita waandishi wa habari ni makanjanja na waandishi wa maneno kwenye vyombo vya habari wanaodhani wao ni waandishi wa habari
 
Unalipa wapi kodi wewe maana posho za buku 7 hazikatwi kodi.Usipende kujikweza sana
Kulipa kodi ni kujikweza? duh braza unageuka kituko sasa na labda naanza kuamini unahitaji matibabu coz kuna abnormality kwenye ubongo wako.Tangu lini mtu anayelipa kodi anaonekana kajikweza? Hii ndio tabu ya kulipiwa kila kitu yaani hujui kuwa kulipa kodi ni wajibu? DAH USHALIPIWA WEYEEE MANA KILA KITU WEYE WALIPIWA ADA WALIPIWA,KODI WALIPIWA N.K
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom