Dr Slaa: Nimelishwa maneno na magazeti

Dr Slaa: Nimelishwa maneno na magazeti

Status
Not open for further replies.
lakini na yeye kama kiongozi tungependa atoe msimamo wake wazi wazi kama kiongozi mkuu wa chama because the issue is so serious au hadi afe mtu ndo aamini the situation in chadema is so hot?
Mimi niko arachuga nimeona jinsi mawio ilivyojaribu kupotosha kuhusu mh lema kwa wiki tatu mfululizo na likiendelea hivi tutaanza kuli treat kama uhuru na habari leo
 
Punguza Hasira....JF ilishawahi kutafuta ukweli kwa kuwasiliana na verified Member mmoja hapa!

Mkuu hakuna hasira hapa,halafu kwenye Mawio hilo hilo umeona ile Makala ya kurasa mbili iliyochambua namna ambavyo Lema amekuwa anakihujumu chama pamoja na viongozi wake?!

Imeandikwa Mwigamba :Mfuga nyoka aliyegongwa na nyoka wake.
 
Uzembe wa kufikiri wa baadhi ya viongozi wa chadema ni chanzo cha huo muonekano wa kutojipanga. Kama wameanza ugomvi wao kwa wao ndani ya chama na kutumia mitandao ya kijamii kutatua migogoro Yao badala ya kutumia vikao ni dalili ya anguko kama ilivyokuwa kwa NCCR.
 
Ugomvi upi mkuu?
 
Cdm sio nccr wewe, no more wasaliti
 
Mkuu hakuna hasira hapa,halafu kwenye Mawio hilo hilo umeona ile Makala ya kurasa mbili iliyochambua namna ambavyo Lema amekuwa anakihujumu chama pamoja na viongozi wake?!

Imeandikwa Mwigamba :Mfuga nyoka aliyegongwa na nyoka wake.

Alikua wapi siku zote hizo?
 
Last edited by a moderator:
Akina Yericko wamekanwa kuwa ni CCM na Usalama wa Taifa kwa kuleta utafiti walioshindwa kuutetea dhidi ya Zitto, Sasa ni Zamu ya Mawio la Saed Kubenea kuitwa la CCM na Usalama wa Taifa.Hali ya Hewa ikibadilika hata hii Taarifa nayo itasemwa imeletwa na CCM na Usalama wa Taifa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom