Dr Slaa: Nimelishwa maneno na magazeti

Dr Slaa: Nimelishwa maneno na magazeti

Status
Not open for further replies.
Kazi ya kuthibitisha ile Report sio ya Dola ni kazi yenu nyie mlioileta mnataka kumtupia nani zigo la kuthibitisha Uongo wenu? Aliekwenda kufungua kesi ni Bosi wa Chadema Naibu katibu Mkuu, au wewe sio Chadema siku hizi?


ccm acheni ulaghai pia ujanja wa kizamani, mbona ishu ya lwakatale dola waliitolea mimacho wkt nayo chanzo ni mtndaoni?
au kwa kuwa ňchemba ndo alihiasisi na kuhamuru felesh aifanyie kazi akitaraji ingekua na advantage kwa ccm?
mmeula wa chuya chadema aiteteleki kivyovyote na bado mtakuja na santuli mpya v soon
 
Hata Mrs Mushumbuzi Mlimdanganya ivo ivo akamuacha Mumewe sasa kutwa kucha analea Libabu.

mwacheni mama watoto kwani leo tumekesha, mtamchanganya. Ni shemeji yenu halali heshima tafadhari japo muda mwingine dishi lake hupoteza chanel.
 
Kapuya ana crooked past ; alipokuwa mwalimu chuo kikuu aliwahi kubaka mfanya kazi wake lakini mambo yakafunikwa, kwani wakati huo wakina mama hawakuwa na mwamko kama hivi leo!!!

Huyo Mfanyakazi aliebakwa atakuwa anatumia user name ya Bulesi mtandaoni
 
ah ah chuki binafsi izo bhana, wamuonea wivu j.mushumbusi, uyu ni dokta wa ukwel mtaalam wa kutafakari kabla ya kutenda, na si yule alogeuzwa (poyoyo)na wazungu wanampa miPHD kwa ulaghai wanaompa ili ahachie rasilimali zetu bwelele na pia awaruhusu wapitishe unga Tz, yatakushinda wewe,

sasa jibu umeolewa? natmai naweza kukuGuide accordingly Dr

Sifa ya kusomea PHD ni kuwa na Shahada ya Awali na Uzamili, Slaa hakuwa navyo vyote yeye alitumia Certificate akachukua PHD inalijua hilo? Rejea CV yake utajua hili ninalokwambia then ndo akarudi kuchukua shahada ya kwanza
 
lakini na yeye kama kiongozi tungependa atoe msimamo wake wazi wazi kama kiongozi mkuu wa chama because the issue is so serious au hadi afe mtu ndo aamini the situation in chadema is so hot?

Afe mtu kwni watu wanapigana ngumi, ninyi vijana angalieni tu-degree twenu tusiwafanye mkakosa hekima , watu wazima (Dr. Slaa and Mbowe) wanatafakari sio kukurupuka kama vijana(Zitto) kutafuta umashughuli
 
hawa waandishi wanafanya kazi kiccm wajinga na wanafiki kama ccm.
 
Sifa ya kusomea PHD ni kuwa na Shahada ya Awali na Uzamili, Slaa hakuwa navyo vyote yeye alitumia Certificate akachukua PHD inalijua hilo? Rejea CV yake utajua hili ninalokwambia then ndo akarudi kuchukua shahada ya kwanza

Mwana Ma<<c>>no chene walipo pano wasomanga we chipungani?
 
MAWIO nalo limewageuka Chadema ni gazeti dada la Mwanahalisi, linamilikiwa na Komu.
 
hawa waandishi wanafanya kazi kiccm wajinga na wanafiki kama ccm.

Leo Mawio la Kubenea limekuwa CCM? Hata Slaa atakuwa CCM kwa ku like Thread na Comment za kumponda Zitto mwishowe anazikana nq kujifanya hajui report zimetoka wapi?
 
Mwana Ma<<c>>no chene walipo pano wasomanga we chipungani?

Hta ukibadili Lugha inabidi Muombe radhi memba wa JF kwa kulivunjia heshima kwa kuleta Report mliyoshindwa kuitetea na hatimae Jukwaa letu kuonekana halina tofauti na Magazeti Pendwa.
 
Chadema ni taasisi Slaa kasema keshatoa kauli kupitia kwa msemaji wa chama.

Tanzania ndio nchi pekee inayoweza kuandikwa habari kama ile ya kapuya ambayo imeegemea upande ya mlalamikaji na bila kupata ukweli wa upande wa mlalalamikiwa na bado wasomaji wakawa majaji na kuamua kilichoandikwa mwanzo ndio kweli bila hata ya kuwa na chembe ya kutaka kusikia upande wa pili..shame on us
 
Mda wa kuweweseka jf umekwisha, mwambieni atangulie mahakamani, tutalutana huko huko

Mashauzi yote uliyokuja nayo kwa mbwembwe kwishney, leo CDM nzima mnaanza kukanana kuanzia ulioileta hiyo ripoti hadi vibaraka wako Slaa na Mbowe wote mnaweweseka
CDM zito hamumuwezi
 
naunga mkono hoja, wamtafute dr slaa kupata uhakika wa manenom yake, kwani kila mtu anasema lake tuuuuu
Duh Sasa MAWIO imekuaje tena?

Kama ndio hivyo nashauri JF iwasiliane na Dr.Slaa kama ambavyo imewahi kufanya kutafuta ukweli ili isijekuwa hapa pia amelishwa maneno
 
Rejea kwenye mada.Mlidhani ningekuja kuwapigia magoti?
Serikali ilikulipia masomo yako ili uisaidie familia yako kuondokana na dhiki sio kuja kuitumikia.Cha ajabu badala ya kupunguza dhiki ya familia wewe ndio kwanza unaiongeza maradufu. Nasikitika kodi yangu ilitumbukia shimo la choo kwa kulipa tuition fees. Tukirudi kwenye mada sishangai kuropoka kwa Dr.Slaa tumeshamzoea na Double Standard zake alishawahi kukana kwamba hakuna toleo lolote la katiba lenye kipengele cha ukomo wa madaraka kitu ambacho alikuja kuumbuliwa humu na CHABRUMA au umesahau braza???Tusiotumika kama wewe hatuna tabu na Dr slaa tumeshamzoea
 
Dr. Slaa anajulikana kuwa ni mtu MUONGO. Ushahidi - kakataa uwepo wa kifungu cha katiba kinachoweka ukomo wa awamu za uongozi. Kifungu hicho kimethibitika kuwa kipo.

Kuwa makini na maneno anayosema Slaa. Usilaghaike kirahisi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom