Kubwajinga
JF-Expert Member
- Jan 23, 2008
- 2,194
- 297
..kama ataamua kumbwagia zigo andrew chenge na kusepa that is fine.
..lakini nadhani kashfa hii ikipata mtu anayejua kuikoleza basi inaweza kumpa matatizo makubwa john magufuli.
..unajua hata kina mramba na yona walijaribu kumbwagia zigo raisi mkapa lakini hawakuchomoka.
..sasa hata kama andrew chenge ndiye aliye "initiate" suala hili, jina la Magufuli ndilo linalojitokeza zaidi kama jemedari-mtekelezaji wa ktk kashfa hiyo.
..sasa maswali yanakuja: je magufuli alijiuzia nyumba hizo? Alijiuzia ngapi? Je serikali iliingia hasara? Hasara kiasi gani? Je magufuli alisema nini bungeni kuhusu nyumba hizo? Je alisema ukweli bungeni?
..ushauri wangu ni ukawa waendelee kulitaja-taja suala hili. Pia wafukue zaidi kwasababu nyumba zimeuzwa nchi nzima.
..ila mgombea uraisi wa ukawa asilizungumzie suala hili, bali awaachie wapambe wake wafanye kazi ya kumshambulia Magufuli.
Mkuu Joka,
Hili suala ingawa alilitekeleza Magufuli, kum-bambikizia kuwa yeye ndiye aliyelibuni ni kumfanya yeye kuonekana kuwa ana nguvu kupindukia, kiasi cha yeye kuweza kuuza nyumba na bado Raisi Kikwete aliyesema atazirudisha, akashindwa kutimiza hiyo ahadi.
Kinachotakiwa ni kum-bana kwa maswali yenye kuona mbali badala ya kuendelea kupigia kelele msiba wa miaka 10 iliyopita
Magufuli bado anaweza kubanwa kuhusiana na madhambi mengine yote ya CCM, hata kama ya yeye hakushiriki kwani sasa hivi yeye ndiye mwakilishi wao na alikuwepo kwenye serikali zote mbili zilizopita.