Dr. Slaa: Nikiwa Rais nitamtia Magufuli ndani kwa kuuza nyumba za Serikali

Hebu upitege huku kidogo umuone Magufuli wako 'muadilifu'.
cc DuppyConqueror

Hakika watanzania ninashindwa kukielewa chama tawala CCM kuwadanganya watanzania kuwa eti Magufuli ni MUADILIFU huku ikijua kuwa no MTU huyu huyu Aliyeziuza na kuzigawa Nyumba za Serikali Alizozijenga Hayati Baba Wa Taifa la Masikini Mwl.Nyerere.Uadilifu Wa Magufuli ni Kule KUZIGAWA KWA NDUGU ZAKE KUZIUZA/KUPEANA kwa VIONGOZI WASIO NA HURUMA NA WATANZANIA.CCM ONENI AIBU MMEWADHURUMU VYA KUTOSHA MASIKINI WA NCHI
Hiyo hoja ilishajibiwa na Zero...kumbukumbu hazifutiki

Watch "SUMAYE AKIFAFANUA UUZWAJI WA NYUMBA SERIKALI SWALI LA SAED KUBENEA" on YouTube - https://youtu.be/LofQGOS0bCM
 
Last edited by a moderator:
Ndo maana nzee wa watu kachukua chake mapema kasepaa kula bataaa...hangaikeni na makanikua yenu.
 
Slaa umeshidwa kuongoza wake zako wawili adi unapelekwa memukwa kwa walibereri je,utamuweza Magufuli kweli
pole sana ila unawatengenezea njia wakina mbowe ili waje kuwa rais miaka ijayo sio wewe hata kidogo,

Sahau kabisa habari ya Mbowe kuwa rais
 
Hizi ndizo siasa za maji taka. Askofu mzima anawaza kwenda Ikulu ili aweke watu ndani! Magufuli naye akisema akiingia Ikulu atamuweka ndani Slaa kwa kuchukua mke wa mtu hali itakuwaje?

Enyi viongozi mnaogombania kwenda Magogoni kilio cha Watanzania siyo visasi, tunataka kuona Shilingi yetu ikipanda thamani dhidi ya sarafu nyingine mfano nitafurahi kuona 1$=20TZS, tunataka kuona matumizi makubwa ya serikali yakishuka na fedha hizo kuelekezwa katika miradi ya maendeleo na mambo mengine mengi lakini siyo vitisho na visasi kama anavyovitoa Slaa.

Kila anayetaka kwenda Magogoni na ajipime mwenyewe kwanza aone kama ana uwezo wa kuyafanikisha matarajio ya Watanzania. Visasi aachiwe Mwenyezi Mungu.
Miuu umeiona hii "comment" yako?
 
Hivi huyu mwanamke kabla ya kwenda kwa slaa alikua mke wa nani?
 
Ha ha ha; kiko wapi leo hii kushangilia ka ubalozi. Utahoji nyumba tena
 
Back
Top Bottom