Dr. Slaa: Nikiwa Rais nitamtia Magufuli ndani kwa kuuza nyumba za Serikali

..kama ataamua kumbwagia zigo andrew chenge na kusepa that is fine.

..lakini nadhani kashfa hii ikipata mtu anayejua kuikoleza basi inaweza kumpa matatizo makubwa john magufuli.

..unajua hata kina mramba na yona walijaribu kumbwagia zigo raisi mkapa lakini hawakuchomoka.

..sasa hata kama andrew chenge ndiye aliye "initiate" suala hili, jina la Magufuli ndilo linalojitokeza zaidi kama jemedari-mtekelezaji wa ktk kashfa hiyo.

..sasa maswali yanakuja: je magufuli alijiuzia nyumba hizo? Alijiuzia ngapi? Je serikali iliingia hasara? Hasara kiasi gani? Je magufuli alisema nini bungeni kuhusu nyumba hizo? Je alisema ukweli bungeni?

..ushauri wangu ni ukawa waendelee kulitaja-taja suala hili. Pia wafukue zaidi kwasababu nyumba zimeuzwa nchi nzima.

..ila mgombea uraisi wa ukawa asilizungumzie suala hili, bali awaachie wapambe wake wafanye kazi ya kumshambulia Magufuli.

Mkuu Joka,

Hili suala ingawa alilitekeleza Magufuli, kum-bambikizia kuwa yeye ndiye aliyelibuni ni kumfanya yeye kuonekana kuwa ana nguvu kupindukia, kiasi cha yeye kuweza kuuza nyumba na bado Raisi Kikwete aliyesema atazirudisha, akashindwa kutimiza hiyo ahadi.

Kinachotakiwa ni kum-bana kwa maswali yenye kuona mbali badala ya kuendelea kupigia kelele msiba wa miaka 10 iliyopita

Magufuli bado anaweza kubanwa kuhusiana na madhambi mengine yote ya CCM, hata kama ya yeye hakushiriki kwani sasa hivi yeye ndiye mwakilishi wao na alikuwepo kwenye serikali zote mbili zilizopita.
 
hivi ni wapi mafisadi wa nchi hii wanapostahiki kuwepo ? dawa pekee ni kuwakamata na kuwasweka jela .

Suala si hilo. Siku Dk Slaa akiwa Rais, nitamtarajia kabisa awachukulie mafisadi hatua stahiki. Lakini wakati anapoendesha harakati za kisiasa kukijenga chama kikubalike na kuchaguliwa kushika madaraka si wakati muafaka kutamka hatua utakazo wachukulia watu binafsi tena kwa majina yao (sema tu utakavyoshughulikia mafisadi). Kazi ya siasa ina tofauti na ya utendaji. Wajuzi wanasema "ongea taratibu huku nyuma umeshika rungu kubwa". Sio unamwaga karata zako zote mezani. Ni suala la mikakati ya kisiasa. Upayukaji hausaidii sana kwa mwanasiasa aliyedhamiria kuchaguliwa kushika madaraka.
 
Blood Hurricane watanzania wanamshangilia Magufuli kwakuwa tayari ameonesha kutenda kazi iliotukuka kwa vitendo huku akipambana na wana rushwa.

JK aliitwa chaguo la Mungu. Je, anavyomalizia muda wake atastahili kuitwa chaguo la Mungu?

Je Mungu anakosea? La hasha Magufuli ni walewale hana lolote. Tusubiri wakati tu.
 
Mkuu Joka,

Hili suala ingawa alilitekeleza Magufuli, kum-bambikizia kuwa yeye ndiye aliyelibuni ni kumfanya yeye kuonekana kuwa ana nguvu kupindukia, kiasi cha yeye kuweza kuuza nyumba na bado Raisi Kikwete aliyesema atazirudisha, akashindwa kutimiza hiyo ahadi.

Kinachotakiwa ni kum-bana kwa maswali yenye kuona mbali badala ya kuendelea kupigia kelele msiba wa miaka 10 iliyopita

Magufuli bado anaweza kubanwa kuhusiana na madhambi mengine yote ya CCM, hata kama ya yeye hakushiriki kwani sasa hivi yeye ndiye mwakilishi wao na alikuwepo kwenye serikali zote mbili zilizopita.

well said mkuu
 
Dr. Slaa akihojiwa na Radio five ya Arusha jioni hii nini maoni yake kuhusu uteuzi wa Magufuli kuwania Urais.

Ameongelea mengi lakini amesema iwapo UKAWA wakimpa nafasi na Watanzania wakampa kura za kutosha kushinda Urais atamtia Magufuri ndani ili kujibu tuhuma za uuzwaji wa Nyumba kwa bei ya kutupa.

Chanzo: Radio five, Arusha

Kama ndo hivyo kura yangu kwa Magufuri maana baba yangu ni mstaafu na nimiongoni mwa waliouziwa nyumba na serikali, siwezi kujichoma kisu mwenyewe.
 
atakua rais tukihamia kwenye sayari nyingine na siyo hii dunia,AMEKATWA....
 
Baada ya kukosa nafasi ya kugombea uraisi hii kashfa ya magufuli sio muhimu tena kwa dk Slaa.Ni Lowassa tu kwa kwenda mbele
 
Akiwa rais lini na kwa namna gani? Hata baada ya huyu ajaye tunamngojea apatikane Oct 25, hatutamhitaji tena yeye kwa vile naye vilevile ana uroho tu wa madaraka.
 
Mara hii tu Dr Slaa amesahau kauli yake juu ya Magufuli miezi mitatu tu iliyopita????
 
Mara hii tu Dr Slaa amegeuka na kuwataka wananchi wamchague Magufuli????? Ama kweli!!!
 
Mkuu Joka,

Hili suala ingawa alilitekeleza Magufuli, kum-bambikizia kuwa yeye ndiye aliyelibuni ni kumfanya yeye kuonekana kuwa ana nguvu kupindukia, kiasi cha yeye kuweza kuuza nyumba na bado Raisi Kikwete aliyesema atazirudisha, akashindwa kutimiza hiyo ahadi.

Kinachotakiwa ni kum-bana kwa maswali yenye kuona mbali badala ya kuendelea kupigia kelele msiba wa miaka 10 iliyopita

Magufuli bado anaweza kubanwa kuhusiana na madhambi mengine yote ya CCM, hata kama ya yeye hakushiriki kwani sasa hivi yeye ndiye mwakilishi wao na alikuwepo kwenye serikali zote mbili zilizopita.
Mkuu kwa mtazamo huu Richmond na uuzwaji wa nyumba zina utofauti gani?
 
Mara hii tu Dr Slaa amesahau kauli yake juu ya Magufuli miezi mitatu tu iliyopita????

.
Rushwa imempofusha huyu babu mme haramu wa mke halali wa ndg Mahimbo.
fisadi ndani ya biblia haijamaanisha kingine chochote ila mtembea na wake za watu. kwa maana hiyo katika zama zetu hapa nchini Slaa ni fisadi lililokubuhu.
.
 
Hakika watanzania ninashindwa kukielewa chama tawala CCM kuwadanganya watanzania kuwa eti Magufuli ni MUADILIFU huku ikijua kuwa no MTU huyu huyu Aliyeziuza na kuzigawa Nyumba za Serikali Alizozijenga Hayati Baba Wa Taifa la Masikini Mwl.Nyerere.Uadilifu Wa Magufuli ni Kule KUZIGAWA KWA NDUGU ZAKE KUZIUZA/KUPEANA kwa VIONGOZI WASIO NA HURUMA NA WATANZANIA.CCM ONENI AIBU MMEWADHURUMU VYA KUTOSHA MASIKINI WA NCHI
 
Back
Top Bottom