Dr.Slaa ndani ya Mwanza.

Swali kuhusu wanafunzi kukosa mkopo, amedai kila mwanafunzi chuo kikuu ana haki ya kupata mkopo na kuwaasa wanafunzi kudai haki zao hata kwa maandamano kwani serikali hii ya JK ni vipofu na viziwi. Swali kuhusu wamejiandaa vp kuingia madarakani 2015, amedai chama kina mkakati mathubuti amesema hawezi kuutaja hapa kwani ni kutoa mbinu kwa maadui. Amemgeukia mayor wa jiji la Mwanza na amemwambia yeye ndiye bosi wa manispaa anayetambulika kisheria. Mkuu wa mkoa yupo chini yake kwani mkuu wa mkoa na mkuu wa wilaya kazi yake ni ku-facilitate tu hawana lolote ndomana chama kimependekeza ktk katiba mpya ya sasa iwaondoe wakuu wa mkoa na wilaya kwani hawana tija ktk maeneo yao.
 
Naona wanapiga mnada wa kuuza picha ya Dr Slaa. Wamefikia hadi laki 3, bado watu wanaendelea kupanda bei. Naona mayor ametoa laki 340,000 kununua picha. Naona watu mbalimbali wanachangia, dhumuni la michango hii naambiwa hapa ni kununua kiwanja na kujenga ofisi za tawi la SAUT. Wakuu ngoja nikanywe maji nitarudi.
 
Asante sana mkuu endelea kutujuza
 
...samahani kwa kukuita "mkuu"...nia yangu ili kuwa ni kujaribu kukuomba ujaribu kupunguza ukali wa maneno unayotumia ili heshima ya JF isishuke...humu JF wanapita watu wa kila aina wakubwa kwa wadogo,tukieendelea hivi itafika wakati kujitambulisha kama mwana JF itakuwa aibu,tustahimiliane,tushindane kwa hoja ili na wadogo zetu wanaopita humu wapate mazuri ya kujifunza...

Pamoja sana.....tuendelee kufuatilia updates.
 
Chadema ni tumaini jipya la watanzania..binafsi nikihudhuria mikutana ya chadema huwa najihisi kama cku zangu za kuishi zinaongezeka maana huwa napata matumaini na ujasiri..VIVA CHADEMA!

mbona unapenda kuniongelea ? me sipendi usinielezee nilivyo kwa watu
 
Baada ya hapo anakuja kuhutubia Kirumba katika viwanja vya Kabuoro.Picha nitawawekea baadaye make watu ni wengi viwanja vimejaa saa 9 .
 
Mkutano unategemewa kuanza saa kumi.Mpaka sasa viwanja vya Kabuoro vimeshajaa.Nawaomba radhi kuhusu picha baada ya mkutano nitaanzisha thread kuwajuza kilichotokea.Nawasilisha.
 
Katibu mkuu wa CDM Dr Wilbroad Slaa muda huu anaunguruma katika viwanja Kabuoro maeneo ya Kirumba Mwanza.Kwa mujibu wa taarifa kutoka Mwanza kuna umati mkubwa wa watu kuwahi kushuhudiwa Mwanza.
 
Katibu mkuu wa CDM Dr Wilbroad Slaa muda huu anaunguruma katika viwanja Kabuoro maeneo ya Kirumba Mwanza.Kwa mujibu wa taarifa kutoka Mwanza kuna umati mkubwa wa watu kuwahi kushuhudiwa Mwanza.
Molemo asante kwa taarifa..... sisi tunajenga chama wao wanajenga majungu.
 
Kuna uz mwingine ulianzishwa hapa kuhusu hil tukio naomba hii iunganishwe na ile nyingine then mtupe updates kwa walioko kwenye eneo la tukio.
 
Walaaniwe wote waliomushauri Jack Masamaki kugombea udiwani Kirumba...Ikitokea akafa kwa pressure(sipendi itokee hivyo) nila zima washitakiwe...inamaana hawakujua kweli nguvu ya CDM Mwanza?!!Yaani CDM wanamushushia muziki mnene mno..Juzi hapa Zitto,Hignes,Machemuli waliitikisa Kirumba ile mbaya pale Magomeni...Leo tena Slaa na Wenje tena wamelikita Kabuhoro kwenye wapiga kura wengi.Dah.Yangu macho.
 
Mkuu tafadhari mshauri aache kuwanyima usingizi Magamba!! Watamsababishia mada kesi wakifa kwa presha!!
 
Molemo asante kwa taarifa..... sisi tunajenga chama wao wanajenga majungu.

Ni kweli mkuu naona wamepangana wanapost utumbo kwenye ile thread ya kizushi na sasa posts zinakaribia 600.Watahangaika sana lakini mwisho wao uko karibu sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom